tundu lissu

  1. Sikubaliani na Tundu Lissu kuhusu Hayati Magufuli

    Ndugu Tundu Lissu, ingawa yuko CHADEMA na mimi CCM, ni zaidi ya rafiki kwangu. Nimemzidi umri na uzoefu katika siasa lakini amenizidi maarifa ya kisasa. Lissu nipo naye kwenye shida na raha kisiasa na kimaisha. Ni zaidi ya ndugu yangu. Tunafurahi wote na kuhuzunika pamoja. Lissu, mwanzoni...
  2. J

    Tundu Lissu: Bajeti ya kwanza ya Magufuli imefeli kuliko bajeti zote katika Historia

    Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akiwa anahojiwa na Mwananchi amezungumzia maswala ya Lipumba na CUF na future ya upinzani Amedai Lipumba kutumiwa na CCM ni kutawafanya wapinzani waungane kuliko hata mwazoni Akaziungumzia bajeti amedai kati ya bajeti ya trilioni 29 ambazo 11 ni za fedha...
  3. Tundu Lissu ana ushawishi gani TLS, Mbona kila anayempendekeza anashinda?

    Fatuma Karume, Lugemeleza Nshala na Sasa ni Dr Edward Hosea, hawa wote ni pendekezo lake, ama yeye ndiye aliwashawishi kugombea au aliwaunga mkono. Huyu Mtu ana ushawishi gani ndani ya chama cha Wanasheria wa Tanganyika?
  4. Video: Tundu Lissu aliwahi kunena haya kuhusu mfumo wa kodi

  5. Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  6. Tundu Lissu: Bila kuweka taxpayers bill of rights walipa kodi wataendelea kuonewa na kupata dhuluma.

    Ni ushauri mzuri kabisa ambao kama ukifuatwa basi mambo ya kubambikia kesi watu na walipakodi kuonewa kutakwisha. Hii kitu Lissu aliisema sana wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu
  7. Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

    Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America. Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake...
  8. Next on Straight Talk Africa: Tundu Lissu alongside Professor Lumumba - PLO

    Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa Kesho saa 3 unusu usiku
  9. UVCCM yaomba radhi vijana, yaahidi kumpa ushirikiano Rais Samia Suluhu Hassan

    Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika majukumu yake ya kuiongoza nchi. Kauli hiyo ilitolewa jana Jumapili Machi 28, 2021 na mwenyekiti wa...
  10. Tundu Lissu shujaa anayelindwa na Mungu, silaha za kibinadamu hazikuweza kutoa uhai wake

    Ni mmoja kati ya watanzania wenye Iq kubwa maana ana uwezo mkubwa wa kudadavua masuala ya kila aina,kuanzia uchumi mpaka masuala ya kisheria. Huu uwezo wake wa kuchambua mambo ya kiuchumi, kutetea haki za binadamu na kuchambua masuala ya kisiasa ilifanya watu wasio na utu wammiminie risasi...
  11. Tundu Lissu: Legacy ya hayati Magufuli imeanza kusambaratika,uchunguzi usiishie TPA na ATCL

    Kupitia ukurasa wake wa Twita ndugu Tundu Lissu amedai kuwa sasa kuwa kile watanzania wengi walidhani watarithi mambo mazuri yaliyoachwa na JPM ni kama hakuna. Maana mengi yana uozo na yameanza kusambaratika. Kama uchunguzi ukifanyika mengi sana yataibuka.
  12. Tunaomlaumu Tundu Lissu hebu basi tuvae viatu vyake

    Wasalaam wapendwa! Kila mara humu mtu ukisoma vizuri comments za kila mada huwezi kupita bila kukutana na neno UNAFKI. Hili neno linasemwa kulingana na sisi wenyewe tulivyo na vitabia vyetu. Hivi Tundu Lissu kabla haijapigwa risasi akachungulia kaburi na kurudi tuwahi kusikia akiitwa msaliti...
  13. S

    Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo: Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
  14. Miundo ya utawala wa Tundu Lissu na Magufuli inaweza kufanana, tofauti ndogo ni kwenye matumizi ya sheria na diplomasia

    Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli. Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi; 1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
  15. Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

    Akihojiwa na kituo cha KTN news cha Kenya Tundu Lissu amesema huu ni wakati wa kuanza na ukurasa mpya kama taifa la Tanzania. Maana tayari tumepoteza Kiongozi. Tundu Lissu amesema kuwa mapema tarehe 7 mwaka huu alihoji kuwa yupo wapi rais Magufuli baada ya kutoonekana kanisani na mitaani...
  16. Mzee Uledi na Msafisha Viatu wamuonya Tundu Lissu vita alioanzisha imeingia kwenye "Grey Zone", kutoka itakuwa shida

    Juzi jioni bila kutarajia niliwakuta hawa wazee mtaa wa Tandamti ndo wanafunga biashara mapema saa 10. Nawauliza imekuwaje? wakanambia kuna kikao cha dharura. Nikawauliza kuna nini? Msafisha viatu akasema alitaka kusoma ujumbe wa WhatsApp ulosema kwamba uvumi na uzushi dhidi ya kiongozi wa...
  17. Tundu Lissu ametumia haki yake kikatiba kuhoji alipo mkuu wa nchi. Sio jambo jema kumshambulia kana kwamba amefanya kosa

    Tundu Lissu kama Mtanzania mwenzetu alikuwa na haki zote kuhoji alipo Rais wa JMT. Maana ibara ya 18 (b) imebainisha wazi kuwa mtanzania yoyote anayo haki ya kikatiba, kutafuta habari, kupokea habari na kushirikiana na watanzania wenzake kupata habari kwa manufaa ya taifa letu. Tundu Lissu ni...
  18. Tundu Lissu, hana mapenzi mema na Watanzania

    Habari wana JF, huwa sipendelei sana kuiongelea siasa wala hata kutembelea huku upande wa siasa lakini dah Tandu Lissu leo kanileta huku. Tundu Lissu hana mapenzi mema na nchi yake wala wananchi wa nchi yetu Tanzania. Kwa haya yafuatayo • Hamtakii mema Rais anaye waongoza wananchi ambao na...
  19. Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Yaani inaudhi tumepitia huku kila baada ya miezi kadhaa sijui wapi wanaombea au kumngojea Rais aumwe? Ili kiwe nini? Kama anaumwa vya kutisha mnasema, kama ni uzushi mnasema na hata kumwonyesha kama alivyofanyiwa Dr. Mpango. Nililisema hili hata wakati wa zile tetesi nyingine wakati ule. Rais...
  20. Ninyi watu mliompiga Tundu Lissu mlifanya kosa kubwa sana. Hamuoni Taifa halina mtu wa kusema ukweli juu ya uvunjifu wa Haki za Binadamu?

    Tundu Lissu aliwahi kusema taifa letu linakwenda pabaya. Alisema huko magerezani kuna watu wanaoza kwa makosa ambayo hawajayafanya. Mbaya zaidi kuna watu wanapigwa na kuteswa na vyombo vya dola bila kufikishwa mahakamani. Tundu Lissu aliwekwa selo central Dar ea salaam hapo alikuta vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…