Yaani polisi wanafurahi kuonea wanaogopwa badala ya kuwa rafiki na ukaribu na raia
Yaani mtu akisema haogopi polisi anakamtwa?
Kwanini polisi wanataka wananchi waogope chombo Chao cha kulinda raia na Mali zetu
Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
Anonymous (c723)
Thread
business
sekondari
shule
shule za sekondari
somo
studies
tumetume ya utumishi
utumishi
walimu
Anaandika Jebra Kambole
AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC.
Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
Wanabodi,
Hii ni mada ya Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa, kukuomba ushirikiano wako kwa ushirikishwaji, kutoa maoni yako na mawazo yako kumshauri mwana jf mwenzenu, ikitokea ni wewe umeitwa kufika mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani...
Dar es Salaam, 23 Februari 2026 — Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amepongeza kwa ushirikiano wa kimkakati kati ya Benki ya CRDB na Tume ya Madini, akieleza kuwa mpango maalum wa kifedha uliozinduliwa leo kwa ajili ya wachimbaji wadogo ni hatua ya kihistoria itakayobadili kabisa mfumo wa...
Jamaa wameimgia Mitini kwa sababu WANAJUA Watanzania tunawasubiri kwa Hasira walete ushenzi wao wa kutupia jumba bovu Chadema ya Lissu.
Sasa wameona wataingia kwenye 18 za WATANZANIA.
NAO Wameamua kuingia Mitini, Lengo wanataka kusubiri MAHAKAMA YA SAMIA SULUHU, Mahakama ya kipuuzi, itoe...
Jamhuri imeshindwa kuthibitisha Uhaini wa Lissu, lkn Mahakama itakuja na maamuzi kuwa Lissu ana kesi ya kujibu. Kwa vile wanajua watashindwa kesi na mmoja wa mashahidi wa utetezi ni Samia Suluhu, kuliko kumdhalilisha Samia watasema DPP hana nia ya kuendelea na kesi.
Tume ya Chande haina kazi ya...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo
Declaration of Interest
Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais, Balozi Dr Emmanuel Nchimbi, tusiendelee kuzungumzia kile kilichotokea October 29, ili tusizidi...
Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana.
Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama.
Soka na wenzake uchunguzi...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
Tukumbuke Samia aliunda tume ya kuchunguza matukio ya October 29, tume hii iliundwa tarehe 18 November na kupewa muda wa miezi 3 ambapo Bado takribani saa 24 siku iwadie, kuchunguza na kutoa ripoti hiyo
Ila Nina maswali najiuliza
1. Tume hiyo itatoa idadi halisi ya watu waliouliwa? Au hata...
Hii tume nayo inamuogopa mafwele!?
Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu
ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama
Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja
Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
Ni kwamba hakuna chochote kipya kitachosaidia taifa letu.
Watu wameuwawa hadi wakiwa majumbani na kwenye vijiwe vya kahawa wakiangalia Luninga.
Mbona Tume ya Jaji Feleshi ilifunua ukweli wa wauaji Mabwe Pande na wakaachiwa huru?
Hii nchi jamani, yaani hii tume useless ata aibu haina, Kwa kilichotokea MO29 unaanzaje kupoteza muda kufanya investigation Kwa kuwahoji kina
Majaliwa
Nape Nauye
Chalamila
Dr.Mpango
Makalla
Wassira
Jaji Mtungi
Ma polisi
Hivi hii nchi ina viongozi wenye akiri kweli? Yaani unafanya...
CHAMA CHA ACT WAZALENDO TUNALAANI NA KUPINGA MPANGO WA ZEC WA KUCHOMA USHAHIDI WA WIZI WA KURA
ZANZIBAR – 4 FEBRUARI, 2026 – Wakati timu yetu ya Wanasheria ikiwa mbele ya Mahakama Kuu kuomba Kukagua na Kupata nyaraka muhimu za uchaguzi (Application for Discovery and Inspection), Tume ya...
act
act wazalendo
kura
mpango
tumetume ya uchaguzi
tume ya uchaguzi zanzibar
uchaguzi
uchaguzi zanzibar
ushahidi
wapinga
wazalendo
wizi
wizi wa kura
zanzibar
zec
Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao.
Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
"Rais alisema ataunda tume jambo jema kabisa na mimi nikaona kwa uzoefu wangu tuunde tume ya kijaji, ukienda Kwenye account ya X utaona kwamba nilipendekeza i iundwe tume ya kijaji.
Sasa kama ilivyo mambo mengi labda haikueleweka tangu Tanzania iundwe haijawai kuunda na tume ya kijaji...
Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.
Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna wanavyosimamia mchakato wa ajira kwa uharaka, uwazi na weledi mkubwa. Hili ni jambo la kuigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.