tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Soul21

    JamiiForums Tanzania Je, mnataka kukwamisha tume ya uchunguzi ila propaganda zenu za chuki zishinde?

    Rais kwa utu ameunda tume ya uchuguzi juu ya vurugu za oktoba 29. Watu walipoteza maisha ila mpaka sasa ilianzia idadi ya 1000 ikaja 2000 - kwa sasa 10,000. Je, lengo la kupandisha data hizi ni nini? au kuendelea kukuza hasira na chuki ili mshinde kisiasa.? *Mlisema watu walipigwa riasi wakiwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: iitwe Tume ya Maridhiano na Muafaka wa Pamoja wa Kitaifa

    Heri ya Mwaka mpya 2026 kwa kila mmoja, Mungu awe pamoja na kila mmoja kwa mwaka mzima. Katika hotuba ya Mhe.Rais ya kuaga mwaka 2025 na kukaribisha mwaka 2026 alizungymzia suala la kuanzisha TUME YA MARIDHIANO YA KITAIFA mwaka 2026. Niungane na wote waliopongeza hotuba hiyo iliyojaa matumaini...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya Maridhiano-Haya ni mauzauza kwa kweli watanzania tunachezewa akili

    Muuaji anakuja mbele ya runinga za watanzania Milioni 65 anawaambia nimeshaunda Tume ya Maridhiano, kama hili ndilo alilomuitia Mzee wetu Warioba Ikulu naomba wamshauri tu Mzee Warioba akae mbali na majukumu yote atakayopewa na Serikali hii iliyomwaga damu za raia wake Yaani wanajizima data...
  4. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  5. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, you're still lost in your own denial mode. Taifa linahitaji TRUTH & RECONCILIATION COMMISSION na sio TUME YA MARIDHIANO TU!

    Rais Samia Suluhu Hassan bado yumo katikati ya tatizo kubwa na tishio la maisha yake mwenyewe... Rais Samia Suluhu Hassan bado anatafunwa na kufunikwa na KIBURI na JEURI kwa sababu ya madaraka, fedha za wizi na ufisadi, bunduki za Polisi na majeshi yake ya siri akidhani zitaepusha anguko la...
  6. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wana CCM wote tujaze Ile form ya Tume ya uchunguzi inaeleweka vizuri sana

    Tumetoka kujaza Ile form ya Tume ya uchunguzi wa matukio ya tar. 29 Tumeijaza kabla hatujatawanyika kwenda kwenye majukumu ya kujitafutia riziki hii form siyo ngumu inaeleweka watanzania tujaze. Unaweza ukajaza hata ukiwa kwenye boda Wana CCM na watu wa vyama vyote tujaze Ile form inaeleweka...
  7. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwananchi usijichanganye kutuma ushahidi Tume ya Chande, ni mtego kupoteza mashahidi ICC

    Mange kimambi ameandika yafuatayo "Samia, Wambura, Mombo, Mafwele, Murillo, na washirika wenzao hawa wote safari yao ni ICC mahakama ya makosa ya jinai . Hawa wote mwisho wao ni kuhukumiwa kunyongwa. Na huko ICC watakaofanya wakuhumiwe kunyongwa ni mashahidi walioshuhudia mauwaji na...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yakutana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda. - Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya...
  9. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameunda Tume ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri

    Wameunda tuma ili kujua walio na ushidi ni akina nani, muhusika wa mauwaji na ndie chanzo hawezi kuunda tume kwa lengo zuri.
  11. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Enyi Tume ya uchunguzi, nendeni kwa Chacha Dereva aitwae na watawala AFISA msafirishaji, aliyevunjwa miguu na polisi ana mengi

    Nimepokea ujumbe wenu WA kunitaka niwape USHAIDI kama kweli Nini najua kabla na baada ya uchaguzi kilichagiza machafuko? Kwanza niwambie siji. Pili niwambie nawajua nyinyi ni watii wake huyu RAIS. TATU nawasaidia nendeni kwa chacha awaeleeze alivyokamatwa ndo mtajua yakuwa tarehe 29 nchi YETU...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Aliyetoa amri ya majeshi kuua raia ndiye ameunda tume kuchunguza mauaji hayo

    Rais aliyeapishwa na jeshi lililomsaidia kuiba kura, ndiye aliyetoa amri kutangazwa kwa hali ya hatari iliyopelekea mauaji ya raia zaidi ya 10,000. Ameunda tume anayoìtuma kuchunguza mauaji hayo. Aliyekuwa Waziri wa Afya ambaye alikuwa mbunge wa Peramiho amekufa katika mazingira tatanishi...
  13. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tuhuma dhidi ya Tume ya Jaji Chande kutaka kumsaidia Hangaya dhidi ya mauaji ya Mo29

    KUTOKA kwa Hilda Newton Baada ya kuona watu wamegoma kwenda kutoa maoni sasa wameanza kufuata watu inbox. Mnataka watu waje kutoa maoni ili mumsaidie Idd Amin Mama kujua mashaidi ambao anajua wataenda kumkaanga ICC ili awamalize kabla kesi haijaanza. Kwanza si Idd Amin Mama keshawambia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Message za tume ya uchunguzi wa mauwaji ya 29/10/2025 - 3/11/2025

    Nimepokea messages kwa namba zote ninazotumia Wanataka nitoe/tutoe maelezo au ushauri, juu ya kilichotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi, kuisaidia tume. Sina tatizo na massages hizo. Shida yangu, ni,, je wako tayari kuupokea ukweli na watauandika ulivyo, watauwakilisha ulivyo na...
  15. Vedasto Prosper

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu tume ya taifa ya umwagiliaji akagua bwawa la ujenzi Mkomazi

    <Ujenzi wafikia asilimia 85, <Asisitiza kuzingatia muda na ubora wa ujenzi Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji(NIRC), Bw. Raymond Mndolwa, amefanya ziara ya kikazi katika bwawa la kilimo cha Umwagiliaji la Mkomazi lililopo kijiji cha Manga Mtindiro, Wilaya ya Korogwe, mkoani...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Angalia Tume HURU ya KUJICHUNGUZA

    TUMÉ HURU YA KUJICHUNGUZA......
  17. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa wajuzi wa protocol za usahili katika Tume ya utumishi wa mahakama.

    .
  18. 888I

    JamiiForums Tanzania Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tume iliyoundwa inaomba taarifa za uvunjifu wa amani sio matukio ya mauwaji?

    Jambazi anaweka wezi kuomba wananchi wajue kilichotokea ndio haya. Hii tume inataka kujua nani kavunja amani tu ?. Kama mumeona wanacho kisema ni wazi vifo sio kazi yao.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 (KUMBUKIZI) Jenista Mhagama: Katiba mpya na Tume ya Uchaguzi, Kutokutenda Haki sio maeneo ya kipaumbele kwa Watanzania

    Ukiona mtu anadharau, anashusha na kudogosha umuhimu wa katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, ni mwana mtandao! si sehemu ya kilio cha wananchi.
Back
Top Bottom