Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32).
Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo yatakayosaidia kufahamu ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
GTs,
Kwa mwenendo wa kesi ya ICC, wale wote waliouliwa ndugu zao au kujeruhiwa kwenye maandamano epukeni sana kwenda kwenye tume iliyoundwa na Samia.
Yaani iko hivi, mkienda mtakuwa mmejimaliza kwa sababu watajua nani mwenye ushahidi wa kuwamaliza wao kule ICC, baada ya hapo mtauawa kabla au...
Alianza nasisi vizuri tu. Hata ile Oct 29 aliifanya kuwa siku nzuri kwa makundi yote. Waliotoka na waliotiki. Haikunyesha mvua siku hiyo.
Kisha damu nyingi sana ya wasio na hatia ikamwagwa ndani ya siku hizo tatu. Bila shaka kitendo hicho kilimsononesha na kumuudhi sana.
Usiku wa oct 31...
Kila mara ninapomsikiliza rais Samia, naona wazi ana uhakika kabisa kuwa alipigiwa kura kwa asilimia 97. Haoneshi kuwa na wasiwasi wala mashaka. Japo ni kweli kuna maeneo vurugu zilitokea katika vituo vya kupigia kura. Na ni kweli mabox ya kura yaliharibiwa.
Je, tume ilipaswa kufanya nini...
Mambo yote aliyozungumza leo yamejibu maswali mengi sana.
Sasa, kama yeye ndiye aliyetoa maagizo aliyoyatoa na kama anasema nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi.
Sababu ya kuunda tume ya uchunguzi ya yaliyotokea ni ipi sasa?
Samia has an IQ of an amoeba 🦠.
Rais Samia Suluhu Hassan amewahutubia wazee wa Dar es Salaam leo Desemba 2. Kiini cha ujumbe wake kilikuwa ni maandamano yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Kwa kiasi kikubwa hotuba yake ni kama alikuja kutema nyongo iliyomjaa kifuani pake.
Ameeleza chanzo cha maandamano na vurugu zilizoanza Oktoba...
1. Tume ya Nyalali
2. Tume ya Bomani ya Ardhi
3. LRCT – Mapendekezo ya Katiba
4. Tume ya Haki za Binadamu – Kisanga
5. Tume ya Sheria Kandamizi – Kisanga
6. Tume ya Uchaguzi – Ramadhani
Ongeza nyingine hapo chini
Mtake msitake, walio andamana ni vijana na walikuwa na mahitaji Yao
Tunakubali umeunda tume kweli nchi hii hatuna wawakilishi wa vijana wangekuwa kwenye tume hiyo Ili wazungumze nasi?
Ebu muulize IGP Mwema enzi akiwa IGP aliwai kutana na vijana wangapi walio nje ya Jeshi la POLISI na...
Moja ya Kundi ambalo linatakiwa kuhijiwa ni walisimamia uchaguzi, huku mtaani walimu Wengi wanaduku lao kusema yaliojiro kwenye vituo vya kupigia kura.
Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti.
Serious, sio kwa...
MH RAIS NATUMAH u salama salimini na UNAENDELEA SALAMA salimini heko kwako.
Mh Rais Mimi ni miongoni mwa vijana wa kitanzania ambao kuwa mkweli siku ya uchaguzi sikutoka kuandamana Wala KUPIGA kura, lakini ningeulizwa nilikuwa nachagua njia ipi hakika ningechagua ya kuamdamana kuliko KUPIGA...
Wadau,
Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali .
Taarifa ya gazetini inapaswa...
Tume iliyoundwa inatafuta mtu wa kumbambikizia kesi ya mauwaji yaliyofanyika, walio uwa watu ni mamlaka ya samia haibadiliki na ushahidi upo.
Ndugu Samia kwa ile hotuba yake ni wazi anajaribu kutaka kujivua na kumbambikizia mtu, NGO, au upinzani kwa mauwaji yaliyofanyika chini yake na vyombo...
Kukwepa aibu: Sefue, Chande na Mwema jitoeni kwenye tume fake. Kesho CNN wanatoa report yao ya mauaji Dunia nzima.
Je ni nani atawapa viza, nani atawapa kazi za kimataifa na mtabaki kuonekana ni machawa na kuvunja heshima zetu mlizojenga kwa muda mrefu
MUNGU ni mkubwa sana kama kuna mtu anaweza kukaa anasubilia majibu ya tume kwamba yanaweza kuja na kitu cha maana huyo inatakiwa kuwahi Mirembe hospital mara moja na kupata matibabu.
Nianze kwa kucheka kidogo😊
Kama na wewe ni mtu wa kufikiri naamini hili swali umejiuliza pia
Hii nchi hata mtoto wa miaka 10 ukimuuliza kwanini watu wameandamana tarehe tajwa atakuwa na majibu hata kama siyo ya kujitoshereza ila majibu atakuwanayo.
Sasa kama tunajua kwanini vijana...
Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tume Huru ya Uchunguzi iliyoundwa itaanza kazi na Tume nyingine kutoka nje ya nchi zitakapokuja kwa ajili ya Uchunguzi zitaikuta Tume yetu ikiendelea.
*** Ni kama kuna shinikizo fulani, vinginevyo angesema hatuhitaji tume yeyote kutoka nje.
Pia Soma: Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.