tume

Tume Parish (Latvian: Tumes pagasts) is an administrative unit of Tukums Municipality, Latvia. The administrative center is Tume.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Jaji Othman awasilisha Ripoti Tume ya Amani

    Mwenyekiti wa Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma Muhtasari wa Ripoti ya Tume hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23, Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Tume: Ghasia za Oktoba Zilipangwa, Z

    Tume ilibaini kwamba, ghasia na maandamano yale yalipangwa, yaliratibiwa na yalifadhiriwa….na wale walio ratibu na kufadhiri, wali train pia watu wa kufanya ghasia zil Mfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, bodaboda etc walipewa fedha kati ya TZS 10,000-50,000 katika kipindi cha...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Wanaume: 490 Wanawake: 28 Askari: 16 Watoto: 21 Kati yao, Miaka 15-17 walikuwa 15. Miaka 7-10 walikuwa 4. Chini ya miaka 5 walikuwa 2. Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani. Wengi...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA nao waunde tume Yao ya uchunguzi

    CHADEMA nao waunde tume yao ya kuchunguza kilichotokea Oktoba29 na kuendelea kisha watoe majibu yake.
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchunguzi Oktoba 29: Ripoti Huru

    AMEONYESHA UWEZO WA KUTOA HAKI KATIKA MAZINGIRA MAGUMU Kutoka uongozi wake kama Jaji Mkuu wa Tanzania hadi majukumu ya Umoja wa Mataifa, Jaji Chande ameonyesha uwezo wa kutoa haki katika mazingira magumu. Tume ya Uchunguzi ya matukio ya 29 Oktoba chini yake itatoa ripoti yenye mamlaka na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chande. Imevunja Umoja wa Tanganyika na Zanzibar

    Tunzeni hii kumbukumbu
  7. S

    JamiiForums Tanzania Moja ya mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande itakuwa ni kuachiliwa kwa wafungwa wote wa kisiasa mlengwa mkuu akiwa Tundu Lissu

    Huu ndio utabiri wangu huku Tundu Lissu akiwa ndio mlengwa mkuu ili tu isionekane ameshinda kesi ya uhaini bali ametoka kutokana na mapendekezo ya Tume. Pia, mtarajie habari ya maridhiano kupitiia hii tume. All in all, wajue hatudanganyiki.
  8. Kibanga Ampiga Mkoloni

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe: Ripoti ya tume ya haki - Jaji Chande

    MAPENDEKEZO YA TUME YA HAKI JINAI NCHINI YAANZA KUTEKELEZWA Kamati ya Kusimamia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Kurekebisha Mifumo ya Haki Jinai nchini imekutana na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchi na taasisi zao nchini. Kamati hiyo imewahakikishia...
  9. tpaul

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mambo muhimu ambayo Tume ya Uchunguzi ya Jaji Chande imeyapuuza

    Wakuu naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Yafuatayo ni mambo nyeti ambayo tume ya uchunguzi wa mauaji ya MO29 imeyaepuka kwa sababu ambazo wanazijua wao wenyewe: 1. Chanzo cha machafuko Tume haijataja chanzo cha tatizo ni nini kwa kuwa kinagusa mamlaka moja kwa moja...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje?

    Wanaosema matumaini na tume! Je mna matumaini na Mama! Ile ya jinai ilikuwaje? Hata tume iseme nini kama hakuna utekelezaji na Mama akaendelea kudanganya na kujidanganya hii tume itakuwa imepoteza muda. Mtaitwa itasomwa kama ile tume ya jinai halafu hakuna utekelezaji. Hii nchi imetekwa na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya Chade ni ya Rais na sio tume huru

    Tume ya Chade ni ya Rais na sio tume huru. Yaani anaweza kuamua chochote kuhusu hiyo tume anaweza kuamua kuiweka kwenye makabati na kufungia mandazi au kuchagua sentensi mbili za wapinzani wake au kujisafisha. Tunataka tume ya kitaifa
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sheria za tume ya uchunguzi Tanzania

    Sheria ya Tume za Uchunguzi ya Tanzania, Sura ya 32 Toleo Lililorekebishwa 2002, inampa Rais mamlaka ya kuanzisha tume za kuchunguza masuala ya maslahi ya umma, ikiwa ni pamoja na mwenendo wa watumishi wa umma, idara za serikali, na masuala ya rushwa. Sheria hii inaruhusu uteuzi wa makamishna...
  13. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tukubali Tume ya Chande Inapoteza Muda , hivi inachunguza nini kisichojulikana?

    Nadhani ujinga wa watanzania upo kwenye akili. Sijawahi kuona watu wakichunguza majawabu Kwenye historia ya Tanzania, Samia aandikwe kwa red pen Vijana waliandamana ili kupaza sauti baada ya katiba ya nchi na katiba ya CCM kuvurugwa . Samia kwa makusudi na kwa kujua analolifanya ni kosa na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Taasisi 14 zapinga ripoti za Tume za Rais kuhusu Ngorongoro, Loliondo

    Mtandao wa asasi za kiraia na watetetezi wa haki za binadamu Tanzania umekosoa matokeo ya ripoti zilizotolewa na tume mbili za Rais zilizoundwa kutathmini masuala ya mgogoro wa ardhi na utekelezaji wa zoezi la uhamaji wa hiari wa wakazi kutoka eneo la Hifadhi ya Ngorongoro, zikisema tume hizo...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Danadana za Tume ya Jaji Chande na matokeo yanayotarajiwa

    Tangu Tume ya Uchunguzi wa matukiuo ya Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ilipoanzishwa Novemba 20, 2025, watu waliitilia shaka utendaji wake na kwamba haiwezi kuwa huru. Tume hiyo inaongozwa na Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akisaidiwa na wajumbe saba (7): Profesa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Serikali yatoa ufafanuzi uteuzi wa Angela Kizigha kuwa Mbunge, yadai taarifa ya LHRC ni potofu

    Serikali imetoa ufafanuzi kwa umma kufuatia taarifa iliyoelezwa kuwa potofu iliyotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kuhusu uteuzi wa Mbunge uliofanywa na Rais Samia Aprili 2, 2026 chini ya Ibara ya 66(1)(e) ya Katiba. Katika ufafanuzi huo, Serikali imeeleza kuwa ni kweli...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Tume haingiliwi, hatuna madalali

    Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Chande amekanusha uvumi wa kuwa Tume hiyo imeongezewa muda ili ripoti yao ichakachuliwe. Jaji Chande ametaja sababu za kuomba nyongeza ya muda wa siku 21 kuwa ni Ukubwa, Uzito, Kina cha kazi na ushahidi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walisema Hawaitambui Tume Iliyoundwa Kuchunguza Matukio ya Uchaguzi. Lakini Kwa Sasa Wapo Kimbelembele Kuulizia Kwanini Tume Inachelewa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika CHADEMA wana akili za Kinyumbu,hawajitambui kabisa, ni Watu wenye matatizo makubwa sana ya kiakili . Hawanaga Kumbukumbu ya kukumbuka hata nini walizungumza siku moja iliyopita . Ubongo na vichwa vyao havina uwezo wa kutunza kumbukumbu na kukumbuka ya Awali...
  19. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Siku zilizoongezwa kwa Tume ya MO29 zimeisha, kwanini wanakaa kimya kama wameongeza tena siku?

    Wahusika toeni taarifa siku ya kutoa ripoti. Kama siku zimeongezwa tena semeni!
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi watanda, Tume ya Jaji Chande ikikamilisha ripoti yake

    Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani. Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
Back
Top Bottom