tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baraza la katiba nchini Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kumuondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa Urais

    Baraza la Katiba la Cameroon limeunga mkono uamuzi wa tume ya uchaguzi ya nchi hiyo wa kumwondoa kiongozi wa upinzani Maurice Kamto katika uchaguzi wa urais wa tarehe 12 Oktoba. Wakati mwanasiasa huyo machachari akiondolewa, Rais Paul Biya mwenye umri wa miaka 92 — ambaye pia alikumbana na...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dorothy Semu: Tume ya Uchaguzi Zanzibar, msijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Uchaguzi yaweka wazi ratiba ya Uchukuaji Fomu kwa Wagombea wa Urais na Makamu Rais

  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania GE2025 Matokeo ni mali ya tume ya uchaguzi ama ni mali ya wananchi?

    NO REFORMS NO ELECTION. Kama kanuni za uchaguzi zinaelekeza kuwa majina ya mawakala wa vyama vya siasa yatapelekwa vituoni na msimamizi wa uchaguzi. Jee mawakala wanawajibika kwa wagombea ama Tume ya uchaguzi? Kama si lazima matokeo kubandikwa kituoni na si lazima pia wakala wa mgombea kupewa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Polepole aulizwe. Katiba ya nchi na tume ya uchaguzi viko sawa? Mbona hahangaiki kudai reforms?

    Kwa wananchi na wapenda haki wote. Polepole amekerwa na mchakato wa uteuzi wa rais na mgombea mwenza ndani ya chama chake tu. Lkn uporaji wa uchaguzi kama ule uliofanywa 2019, 2020 na 2024 Polepole anaona sawa tu. Na wala siyo shida zake hizo. Polepole na kundi lake hawapiganii haki ya...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yatangaza nafasi za watendaji wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa visiwani Zanzibar

    Wakuu, Mchongo huo hapo kutoka kwenye Tume
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume ya Uchaguzi (INEC) inazungumza na Wazalishaji wa Maudhui ya Mitandaoni, leo Agosti 3, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=64HPMN4PvDU&pp=ygULdWNoYWd1emkgdHY%3D Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) inaendelea na mchakato wa maandalizi kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Tume imekuwa ikifanya vikao vya Wadau mbalimbali, leo Agosti 3, 2025 kikao kinafanyika...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti INEC: Si kweli kwamba wananchi hawaiamini tume ya uchaguzi

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jacobs Mwambegele, amepinga madai kuwa wananchi na vyama vya siasa hawana imani na tume hiyo, akisisitiza kuwa wadau wote muhimu wanashirikishwa kikamilifu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Akijibu swali la mwandishi...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi ya Tanzania na utata wa takwimu zake katika daftari la kudumu la wapikura vs takwimu za sensa ya 2022

    Msio uelewa ndo mwelewe maana ya movement ya kutaka mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi Tanzania chini ya slogan ya #NoReformsNoElection. Maana yake ni kuondoa udanganyifu na uchafu kama huu👇👇 Na mnaweza kuelewa sasa ni kwanini mpaka leo NEC hawajawahi kuchapisha matokeo ya kura za u - Rais...
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na Tume ya Uchaguzi kutoa ratiba. Lakini dalili ziko wazi Uchaguzi Mkuu hautakuwepo

    Walau jahazi lingekuwa na hitilafu ndogo lingeweza kuvutwa mpaka fuoni ili lirekebishwe.. Lakini jahazi letu limetapa hitilafu kubwa kwenye engine na kule kwenye nyufa kunazidi kutanuka na matobo yanazidi kuongezeka Hali ni mbaya sana huko mtaa wa pili.. Kama ni ugonjwa basi umeshakula mpaka...
  11. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sensa 2022, watanzania umri miaka 15+ wapo 29,842,718 na hao ndio wanasifa kupiga kura 2025. Tume ya uchaguzi itujibu 37,655,559 wanatoka wapi?

    Nimepitia takwimu ya Sensa ya taifa iliyofanyika 2022, katika jedwali la mgawanyo wa idadi watu kiumri katika makundi ya miaka mitano mitano ( Population Distribution by Age Group). Ukianzia na kundi la chini kabisa la miaka (15 - 19) mpaka la wale zaidi ya umri 85 . Jumla ni watanzania...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

    Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura". Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo Kuna mambo matatu! 1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo...
  13. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Tume ya uchaguzi INEC haijatoa tamko wala kuchukua hatua dhidi ya CCM licha ya kuvunja katiba

    Inasikitisha kuona tume inayojiita huru, wamekuwa wepesi sana kutoa matamko na kuchukua hatua dhidi ya CHADEMA mfano siku si nyingi walipinga mchakato uliompitisha Tundu Lissu kama Mwenyekiti, Ila Mpaka sasa haijachukua hatua yoyote licha ya CCM kuvunja katiba katika kumpata mgombea wao, Na si...
  14. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri: Tume ya uchaguzi iwateue Mahakimu wakazi na Mahakimu wa wilaya kuwa wasimamizi wa uchaguzi mkuu kwenye maeneo yao kuondoa hii sintofahamu

    Uchaguzi mkuu ni mchakato nyeti wa kisheria. Ndiyo maana hata huko juu kwenye ngazi za makamishina wa Tume ya uchaguzi unaongozwa na majaji waandamizi. Mtiririko huo ungaliteremka hadi kwenye ngazi za wilaya na manispaa kwa kutumia mahakimu wakazi na mahakimu wa wilaya kama watumishi waandamizi...
  15. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa kijeshi Burkina Faso wavunja tume ya uchaguzi, jukumu la chaguzi lawekwa chini ya wizara ya mambo ya ndani

    Uongozi wa kijeshi nchini Burkina Faso umevunja tume ya uchaguzi, hatua ambayo imeibua mijadala mikali kuhusu mustakabali wa demokrasia nchini humo. Kwa mujibu wa tamko rasmi, serikali ya kijeshi imesema kuwa tume hiyo ilikuwa inasababisha upotevu mkubwa wa fedha bila kuleta ufanisi wa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tume Ya Uchaguzi Inatakiwa Kumfuta Kwenye Orodha ya Wagombea.

    Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa. Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni mgombea pekee wa nafasi ya Urais kupitia chama haramu, amegawa mitungi ya gas nchi nzima, amegawa pikipiki...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT yalalamikia utaratibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar unawakosesha Wananchi wengi haki ya kupiga kura

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI ACT-Wazalendo, tumeshangazwa na kushtushwa na Ujumbe mfupi wa SMS, kutoka Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ambao wanatumiwa wananchi, kufika katika Ofisi za Uchaguzi za Wilaya kuchukua Vitambulisho vyao vya kupiga kura (Vote I'd), kuanzia tarehe 17/07/2025, katika Siku na...
  18. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

    Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely. Madaraka yakianza kulevya. Sababu alizotoa hazina mashiko. Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa. Cc Nyani Ngabu
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salum Mwalimu: Hatuwezi kuwaondoa CCM kwa kubadili tume ya uchaguzi

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalimu amesema hakuna maana ya kupoteza muda kwenye mjadala wa kutegemea CCM iandae mazingira ya haki yatakayowawezesha wapinzani kushika dola, kwa kuwa haijawahi kuwa hulka ya chama hicho tawala kufanya hivyo. Akihutubia mamia ya...
  20. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niishauri TUME YA UCHAGUZI mwaka huu 2025 mchukue takwimu halisi za watakao piga kura ili mjifunze kitu. Achaneni na feki zilizo zoeleka miaka yote

    Huo ni ushauri wangu kwa tume ya uchaguzi, takwimu nyingi mnazo toa huwa hazina ukweli wowote ndio maana hamjui wananchi wanajitokeza kwa uhalisia kwa asilimia ngapi na asilimia ngapi hawapiki kura kabisa , ili mjue ni kwa namna gani wananchi wana mwitikio wa kupiga kura nchini kiuhalisia...
Back
Top Bottom