tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yashauri marekebisho Tume ya Uchaguzi (INEC)

    Pamoja na kuthibitisha kushiriki uchaguzi mkuu wa 2025, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimependekeza na kuishauri Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) baadhi ya mambo ya kufanyiwa marekebisho kabla ya shughuli hiyo. Tanzania inatarajia kufanya uchaguzi mkuu Oktoba 25, 2025 kuwapata...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume kufungua kesi dhidi ya Tume ya Uchaguzi kupinga ubaguzi kwenye Ajira ya Msimamizi wa Uchaguzi

    Fatma anahoji kwa nini Tume inawabagua wasio watumishi wa watu umma? anahoji pia, kwa nini wenye ajira wanaongezewa ajira na kuwaacha vijana wengi wasomi wasio na ajira mitaanani. Tume ya Uchaguzi imetangaza ajira za Msimamizi wa Uchaguzi sharti mojawapo lazima uwe mtumishi wa Umma. Hizi ndizo...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi ina maslahi gani na watumishi wa umma mpaka itake kuwaajiri wao tu kusimamia Uchaguzi?

    Wakuu, Kuna hizi ajira mpya zimetolewa na tume huru ya Uchaguzi Zanzibar siku ya jana. Nafasi ambazo zilitangazwa ni Mratibu wa Uchaguzi (Unguja na Pemba), Msimamizi wa Uchaguzi (kila wilaya), na Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi (nafasi tatu kwa kila jimbo) Soma pia: Tume Huru ya Taifa ya...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanisa Katoliki lahoji uhalali wa Tume ya Uchaguzi, lasema wajumbe ni wateule wa Rais

    Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
  5. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BASATA & Tume ya uchaguzi zuia tapeli Msama na tamasha lake la kuombea uchaguzi

    Huyu tapeli ana rekodi mbaya kwenye utapeli wa ardhi na madawa ya kulevya. Nawasihi BASATA au Tume ya uchaguzi (NEC) msimruhusu kamwe ajihusishe na uchaguzi mkuu wa 2025. -- TAMASHA la kuombea Uchaguzi Mkuu linatarajiwa kufanyika katika mikoa 26 ya Tanzania, likianza jijini Dar es Salaam mwaka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Ambao hawana changamoto na Kadi zao za 2015 na 2020 wasiende kwenye vituo

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewakumbusha wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam waliojiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2015 na 2020 na kadi zao za mpiga kura hazijapotea, hazijaharibika au hawajahama maeneo yao walikojiandikisha awali wasiende kwenye vituo vya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Wapigakura milioni 34.7 wanatarajiwa kushiriki Uchaguzi mkuu Oktoba

    Akizungumza leo Machi 5, jijini Dar es Salaam katika Mkutano wa Tume na wadau wa Uchaguzi, Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Bw. Kailima Ramadhani Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imesema kuwa jumla ya wapigakura 34,746,638 wanatarajiwa kushiriki katika Uchaguzi Mkuu...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Waliohukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, kuondolewa kwenye daftari la Wapiga Kura

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani amesema kuwa mtu yeyote anayehukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi sita jela, anapoteza sifa za kuwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Hatua hii inalenga kuhakikisha kuwa wapiga kura wanaostahili kushiriki...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam "Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi kupunguza majimbo ya Zanzibar, itawakilishwa na wabunge 5 au 6?

    Heshima sana wana jamvi. Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi. Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo. Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa kuanzia watu 600,000 huku majimbo ya Vijijini idadi ya watu itakuwa kuanzia 400,000. Idadi ya jumla...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Wafula Chebukati afariki dunia

    Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, ameaga dunia. Pia soma: Kenya 2022 - Chebukati asimulia yaliyomkuta kabla ya kutangaza matokeo urais Kenya Jumatatu, Bw. Chebukati alilazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali moja jijini Nairobi baada...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Wafula Chebukati amelazwa ICU

    Vyanzo vya taarifa nchini Kenya vinaeleza kuwa Wafula Chebukati yupo mahututi na amelezwa ICU == Familia ya Mwenyekiti mstaafu wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati imethibitisha kuwa amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi ICU katika hospitali moja ya Nairobi. Bw...
  13. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Mdude kuhusu reform ya tume ya uchaguzi kabla ya uchaguzi mkuu 2025

    Kwamba tume ya uchaguzi Tanzania @TumeUchaguziTZ imepoteza sifa za kusimamia uchaguzi huru na haki kutokana na mapungufu ya kikatiba yanayompa mamlaka Rais kuteua viongozi na watendaji wa tume hiyo. Kumbuka kwamba Rais anayeteua viongozi na watendaji wa tume pia ni kiongozi wa chama mojawapo...
  14. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi: Mfumo wa Upigaji Kura wa Kibaha, secondary ni Njia nzuri ya Kuondoa Wizi na Malalamiko Katika Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katika mwaka wa uchaguzi mkuu wa 2025, kuna haja ya dharura ya kuboresha mfumo wa upigaji kura nchini Tanzania. Kila uchaguzi umekuwa na kadhia ya wizi wa kura, hali ambayo inakosesha uaminifu na uhalali wa matokeo. Katika juhudi za kukabiliana na tatizo hili, shule ya sekondari ya Kibaha...
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Afisa Mwandikishaji Handeni ataka waandikishaji wasaidizi kutunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha

    Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Handeni Mjini Maryam Ukwaju amewataka waandikishaji wasaidizi,kuhakikisha wanatunza siri za wananchi watakaojitokeza kujiandikisha kwenye Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Ukwaju amesema hayo wakati akifungua Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi ngazi ya...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Washiriki wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya bayometriki Tanga wakila kiapo kabla ya kuanza mafunzo

    Wakuu, Ukishaanza kuona picha kama hizi ujue kabisa Uchaguzi umekaribia. Hawa ni moja watu watakaoenda kuamua nani ataenda kuwa diwani, Mbunge au Rais wako. Wasiende tu kurudia yale mambo tuliyoayaona kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa =============================================...
  17. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa upendo kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)

    Kama inavyofahamika kuwa mwaka huu 2025 ni Mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mmesikia Vyama vya Upinzani wakilalamika jinsi wanavyohujumiwa kwenye chaguzi zilizopita na hasa chaguzi za Serikali za Mitaa 2024 na Vyama vingine vikitamka...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jopo la kamati ya uteuzi wa Tume ya uchaguzi na Mipaka ya Kenya IEBC waapishwa

    Tujiulize wa jumbe wa Tume yetu ya Uchaguzi wanapatikana vipi? Wenzetu wapo mbali sana.
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sio dhambi! Tume ya Uchaguzi wakajifunze kwa CHADEMA namna ya kuendesha chaguzi

    Hawa wanalipwa mishahara na posho kwa kodi zetu sisi watanzania. Ila kwa kifupi hawaendeshi chaguzi ila wanafanya maigizo ya kaole tena kwa fedha za watanzania ili kuonyesha upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kupitia sanduku la kura. Rai yangu leo. Naomba wafanye study tour ofisi za CHADEMA Makao...
  20. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Unadhani kama tungekuwa na tume ya uchaguzi kama ya USA, Samia angeweza kutoboa hata kwa 10%?

    Well, ni hakika USA inakwenda kumkataa mwanamke kwa mara ya pili, Surprisingly walimpa Biden. That means angewekwa Harris na jiwe, USA wangechagua jiwe. It is not that wanampenda sana Trump, it is because wanajua woman was never made to lead. Kuongoza nchi na kuwa mlezi ni vitu 2 tofauti...
Back
Top Bottom