tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa za Makazi, Mali na Familia za Jaji Mwambegele na Ramadhani Kailima wa Tume ya Uchaguzi atusaidie

    Mwenye taarifa za makazi yao, ndugu zao, familia zao kama mke na watoto au wazazi na mali zao hawa watu wawili atusaidie tukawasalimie
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Dodoma tumeni salamu hapo Bungeni na Ofisi za Tume ya Uchaguzi

    Wananchi wa Dodoma, ccm wamelitumia sana hilo jengo kupitisha sheria mbovu za kidhalimu zilizotukandamiza wananchi vibaya sana. Tunawaomba mliopo Dodoma, katumeni salamu hapo Bungeni na kwenye jengo la Ofisi za Tume ya Uchaguzi. Jeshi likichukua nchi tutawaomba tangazo la kwanza liwe ccm ni...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania JWTZ, Wakamateni Mwenyekiti na Mkurugenzi na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. Msiwasahau Mafwele, Murilo na Ma RPC wote

    Kwanza kabisa chukueni hii Nchi na iwe chini yenu. Pili wakamateni leo hii Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mwambegele, Mkurugenzi wake Kailima na Makamishna wote wa Tume ya Uchaguzi. wawekeni ndani kwenye selo zenu Tatu Wakamateni Mafwele, Muliro na Ma RPC wote wanaoendesha mauaji ya...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Vodacom na mitandao mingine zuieni sms za Tume ya Uchaguzi ni kero kwa watanzania

    Ni jambo la kushangaza na kusikitisha kuona Watanzania wengi wakilalamika kuhusu wimbi la jumbe zinazotumwa kila siku zikiwa na ujumbe wa “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025 kumchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Kura yako ni haki yako.” Wengi wanasema ujumbe huo, unaoonekana kama...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Tume isitengeneze masanduku ya kura yanayoweza kuharibika (Disposable ballot boxes)

    Wakuu, Kwa nini Tume ya Uchaguzi isitengeneze masanduku ya kura yanayoweza kuharibika ili kulinda mazingira? Ni wazo la kufikirisha, hasa ikizingatiwa kuwa uchaguzi hufanyika kila baada ya miaka mitano. Najiuliza ni kwa sababu gani bado tunatumia masanduku ya kura ya plastiki badala ya kutumia...
  6. JF Analyst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Kenya wanapatikanaje? Je, Rais ana nguvu kiasi gani?

    Je, Umewahi kujiuliza jinsi viongozi wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya Kenya (IEBC) wanavyopatikana? Jaji Mkuu Martha Koome (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na wajumbe wa Jopo la Uteuzi la Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) baada ya kuapishwa Januari 27, 2025 Katika taifa ambapo uchaguzi ni...
  7. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Brr!! Brrr! SMS mpya, najua MSHAHARA kumbe TUME, wazee acheni utani najua haki zangu someni alama za nyakati

    Muda wa maigizo umeshapita nahisi ilichokifanya mwezi wa 11 mwaka jana kilawapa jeuri sana, yaani mnawaondoa wagombea wa upinzani na kuiba kura wazi wazi (ushahidi upo humu humu Mods msifute uzi). Ule ujinga hautojirudia, na hii ni milele, chaguzi za hii nchi zitaheshimiwa na hazitokuwa teuzi...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paschal Mayala: Pongezi kwa Serikali ya CCM, Tume ya Uchaguzi kwa kuweka Usawa

    Paschal Mayala ameipongeza Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kuweka usawa kwa vyama vyote vinashiriki Uchaguzi Mkuu 2025. Pia soma GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umoja wa Upinzani yatoa Madai 21 dhidi ya Tume ya Uchaguzi (IEBC) kwa kukiuka katiba kabla ya uchaguzi

    Upinzani Umeungana umetuma orodha ya madai kwa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), wakidai kuwa tume hiyo imekiuka masharti ya Katiba. Kupitia barua yao, upinzani umesema kuwa kufichua taarifa hizo ni muhimu ili kuhakikisha IEBC inatekeleza wajibu wake ipasavyo na kuimarisha haki ya uchaguzi...
  10. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Endapo Nchi yetu itashindwa kusonga mbele kwa miaka 5 ijayo,nyinyi mnaosombwa kwenye Malori tutawauliza

    Inakuwaje mnaosombwa kama mizoga? Mnataka ishara Gani zaidi kuamini kwamba huyu mgombea wa CCM uwezo wake ni mdogo.? Kila ishara mmepewa lakini mnaosombwa kwenye Malori na mmeridhika kabisa. Jana kaongea haongozi wanyonge Leo kasema yeye ni mnyonge. Sasa wewe unaelewa Nini hapa.? Je,sheria za...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya;Mahakama ipewe mamlaka kuhoji Tume ya uchaguzi na matokeo ya Urais.

    1. Matokeo ya Raisi yahojiwe Mahakamani kama yaliyo ya Diwani na ubunge.kwa kuwa wagombea wa urais wanaweza kufanya makosa ya kiuchaguzi. 2. Tume ihojiwe na Mahakama inapo enda kinyume ktk kutimiza majukumu yake. 3. Itungwe sheria ya kuwezesha INEC kufanya Kazi za kusimamia uchaguzi Kwa sasa...
  12. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakala wa Vyama Malawi Wasipewe Nakala za Matokeo ya Kituo Husika Kama Uchaguzi Ni Huru na Tume ya Uchaguzi ni Huru Pia?

    Kwakuwa Tume ya Uchaguzi ya watu wa Malawi ni Huru , basi hakuna sababu ya kuzuia mawakala kupata nakala ya matokeo waliyoshuhudia. Kunyima nakala ni uhuni, uwazi unahitaji kila chama kuthibitisha takwimu... Tume Huru haipaswi kuogopa ushahidi, kwani ukweli hudumu kupitia uwazi na usawa. Ila...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma Mjini: Aisha Madoga apitishwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea Ubunge

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Dodoma Mjini kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa chama hicho na Mwenyekiti wa CHAUMMA Mkoa wa Dodoma, Aisha Madoga, amerejesha fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo hilo leo Agosti 27, 2025. Madoga na wagombea...
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Vazi la mtumishi wa Tume ya Uchaguzi linaongea

    Jionee labels kama zote. Halafu hawa wanajiita INEC. Chadema waliona parefu sana
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar

    Chadema Zanzibara yagoma kusaini Kanuni za Maadili Tume ya Uchaguzi Zanzibar. Yasisitiza msimamo wa chama wa No Reforms No Election
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi imeficha taarifa za wapiga kura?

    GT Ni maajabu hawa wanaojiita tume huru ya uchaguzi huku majina ya wapiga kura yamefichwa Mi najiuliza kwa nini wanahitaji namba ya kadi ya kupiga kura ili niweze kuona jina langu? Hii ina maana kwamba hakuna mtu yoyote anaweza kuona majina ya wapiga kura isipokuwa tume yenyewe ah aha ah 😅 😄 😆...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Poleni sana Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Polepole amekuja kututhibitishia tu kwa nini Viongozi wa CCM wamekuwa na kiburi cha Uchaguzi

    Ramadhani Kailima Polee sana Imeandikwa hadi kwenye vitabu vitakatifu kuwa kweli itatuweka huru. Utetezi uliotoa Kailima hauwezi kubadilisha chochote, zaidi unazidi kuongeza hasira zetu Wananchi dhidi yenu nyie Madhalimu na Wahuni mnaohujumu maamuzi ya Wananchi. Kwa muda mrefu tulikuwa...
  18. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Kuunganishwakwa taarifa za NIDA Tume ya uchaguzi na CCM

    Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM...
  19. toriyama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

    https://www.youtube.com/live/QhmqcI-asWc?si=VAYw0M7vJFDx-3-A Polepole : Viongozi wanakwenda kwenye uchaguzi sababu wanauhakika kushinda uchaguzi sababu kuna mifumo inawabeba Mfumo unaotumika kuiba uchaguzi kwa sasa ni NIDA, na ndio lengo ambali serikali ya Samia inayotaka kutumia kushinda...
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nashauri Tume ya Uchaguzi isiyo huru itangaze CCM washindi kuepuka kupoteza fedha na muda

    Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura. Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo Huru ya Uchaguzi (Indifferent National Electoral Commission-- INEC) itangaze CCM washindi...
Back
Top Bottom