tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya itamke wazi, mtumishi wa tume ya uchaguzi akose sifa za kugombea au kuwa mtumishi wa umma.

    Ni lazima tuweke standard kama taifa, haiwezekani wewe uwe mjumbe au mtumishi wa tume ya uchaguzi kwa ngazi yoyote ile halafu kesho na keshokutwa uende kwenye uchaguzi kugombea. Hiyo hapana. Tukatae. Iwekwe wazi kabisa, ukiamua kutumikia tume ya uchaguzi moja kwa moja ukose sifa zingine zote za...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama kweli haya ni mapokezi halali ya Samia Simiyu CCM inaogopa nini kuicha Tume ya uchaguzi kuwa huru?

    GT Katika mitandoa kunaonekana mafuriko ya watanzania Ngosha na bakima huko Simiyu. Tafasiri ya haraka haraka ni kwamba S100 na CCM Wanakubalika 100%. Kwa Sisi wadaidisi tunaamini huu mkusanyiko ni wa kupangwa na umetumia pesa na nguvu nyingi sana kuihadaa dunia juu ya uungwaji mkono wa sa100...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Jaji aliyesoma hukumu ya CHADEMA ni Mzanzibar? Aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar

    Nauliza tu huyu mtu ni Mzanzibar? kama ndiyo, vipi kuhusu mahusiano yake na hukumu aliyotoa ambayo iligubikwa na utata? Huyu Jaji aliwahi kuwa kamishina wa tume ya uchaguzi Zanzibar kabla hajawa Jaji wa mahakama kuu ya Tanzania. Hata kama ni suala la kurafsiriwa kama ubaguzi potelea mbali...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya uchaguzi yapongezwa maandalizi uchaguzi mkuu 2025

    Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonaz ameipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa kukamilisha zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na kuendelea vyema na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Dkt. Yonazi ametoa pongezi hizo leo...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kiburi na Jeuri ya CCM ni Tume ya Uchaguzi Kuwa Upande wao la sivyo wangekuwa na Adabu kwa watanzania

    GT Ukifuatilia kwa ukaribu utaona CCM kwa sasa wana lugha kandamizi na za kibabe sana ambazo ndani yake zimejaa jeuri na fitina. Pamoja na.mambo ya hovyo ya CCM kama ubadhilifu, bado kinaona kina uhalali wakufanya yote hayo mambo ya hovyo. Amini nawaambia kama tungekuwa na tume huru ya...
  6. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche asema wamemuandikia barua Mwenyekiti Tume ya uchaguzi wakiomba mazungumzo

  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama unaishi Dar, Zanzibar na mikoa ya Pwani, Tume ya uchaguzi itapita kuandikisha wapiga kura kuanzia Tarehe 16 Mei

    Wakuu, Zoezi la kujiandikisha halijaisha! Kuna wale watu ambao walikuwa hawajajiandikisha kwenye awamu ya kwanza zoezi la kusajili wapiga kura. Tume kwa sasa ipo kwenye awamu ya pili ya zoezi la kuandikisha wapiga kura baada yaawamu ya kwanza. Kuanzia Mei 16 hadi Mei 22, Tume itapita kwenye...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba, ikiwa Serikali, Tume ya Uchaguzi na CCM hawataki kukusikiliza, kinachofuata ni nini, unaacha uje useme niliwaambia hamkusikia?

    Mfano wa matokeo ya kiburi cha kiongozi wa Bangadesh, mama Hasina Hakuna mtu anakataa kwamba ushauri na jitihada za za Jaji Warioba kutafuta suluhu kutokana na kinachoendelea hapa nchini katika suala la uchaguzi ujao, kutia ndani na hizi kesi za kisiasa dhidi ya Lisu na hata kupotea na kutekwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wanaoutufundisha kasoro za Tume ya Uchaguzi na Wizi wa Kura wanashindwa tu kusema "no reform no election"

    Nimemsikia Kitima na viongozi wengi wa Dini na hata wanasiasa wengine wa uoinzani na hata WanaCCM wenzangu, wanawafanya watu waone wanatenda dhambi sana kushiriki Uchaguzi ambao straight forward kuna madosari kibao. Kailima anajua fika mikono yake itakuwa na harufu ya damu mwaka huu. So bad...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA Yaomba Tume ya Uchaguzi Kuwaruhusu Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Polisi, Tume ya Uchaguzi, na Kamati za Ulinzi na Usalama Dar vinara wa kufanya uovu wa kimfumo: Tunakwenda wapi baada ya hapa?

    RC Chalamila akipiga marufuku mikutano ya kisiasa eneo la Kariakoo pasipokuwa na mamlaka ya kisheria kufanya hivyo Uovu binafsi hutendwa na mtu mmoja mmoja kutokana na maamuzi ya mtu mmoja huyo. Lakini, uovu wa kimfumo hutendwa na watumishi wa taasisi kutokana na maamuzi ya vikao vya ndani ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema atetea Maamuzi ya Tume ya Uchaguziji dhidi ya CHADEMA

    John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi. Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi. Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha...
  13. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kama hakuna muda wa kuifanyia Tume ya Uchaguzi marekebisho UN yaweza kusaidia

    Kama hakuna muda wa kuifanyia Tue ya uchaguzi marekebisho, UN yaweza kusaidia: Utaratibu wa kufuata ili UN kuunda tume huru ya kusimamia uchaguzi katika nchi yenye kufanya uchaguzi kama sio huru na wa haki? Utangulizi: Umoja wa Mataifa (UN) hauna mamlaka ya moja kwa moja kuingilia uchaguzi wa...
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kanuni za maadili za Tume Ya Uchaguzi: Marufuku kutumia simu kwenye kituo cha kupigia kura

    Wakuu, Hizi ni baadhi ya kanuni ambazo ACT Na vile vyama vingine 14 walienda kusaini last week. Kwa kweli No Reforms No Election. This is too much! =============== Mtu yeyote hatoruhusiwa kutumia simu ya kiganjani au kifaa kingine cha mawasiliano ndani ya kituo cha kupigia kura, kuhesabia au...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Msije mkamdanganya Mama abadili vipengele vya tume ya uchaguzi. Hatatoboa

    Kwema Wakuu! Kuna watu nimeona wanamshawishi Mama akubali pendekezo la kufanywa Reforms kwenye vipengele vya uchaguzi wakimwambia ati anakubalika na watu watamchagua. Asije akathubutu hata kuwaza hivyo achilia Mbali kufanya. Akifanya hivyo hatoboi kwenye boksi la Kura. Ukiwekwa Uwanja Sawa na...
  16. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa LHRC asema Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mhe. Kailima amekiuka Katiba ya JMT

    https://youtu.be/cfHzDQSD8vs?si=8UR5XPRjzS4yzanv Mwanasheria msomi na Wakili wa LHRC amempinga Mkurugenzi wa Tume isio Huru ya Uchaguzi Tanzania Bwana Ramadhani Kailima kuwa ati CHADEMA wameondolewa kwene Uchaguzi wa 2025 kwa kukataa kusaini Kanuni za maadili ya Uchaguzi. Wakili msomi Maduhu...
  17. Mathias Byabato

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema kutoshiriki Uchaguzi, hasara kwa CCM, Tume na jamii hizi hapa

    Na:Mathias Byabato Binafsi uwa siandiki sana kuhusu mambo ya siasa. Leo nimeona nisaidie muktadha kadri ya uelewa wangu. Kwa watu wanaojua mantiki na umuhimu demokrasia katika taifa lolote wanajua hasara kadhaa zitazojitokeza iwapo itasalia hivi hivi Kwa chadema kutoshiriki uchaguzi wowote 2025...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awalipua Chadema, asema Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Mr. Kailima hajawahi kuwa mwana CCM

    Chadema waache kukurupuka. Bahati mbaya wengi wao elimu yao ya kuunga unga hawajafika Chuo Kikuu.... Wangemjua huyu profesa =========== Huyu ni Prof Michael Ndanshau, Mhadhiri Mwandamizi wa Uchumi wa muda mrefu wa UDSM, Amenifundisha mimi, amemfundisha Zitto Kabwe na wanafunzi wote...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkurugenzi INEC Kailima: Tume ya Uchaguzi haihusiki na sheria, malalamiko ya Vyama yapelekwe Bunge au Serikali

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima ameweka wazi kuwa: Tume ya Uchaguzi haihusiki na uandishi wa sheria, hivyo kwa wale wanaotishia kususia uchaguzi kutokana na kutoridhishwa na marekebisho ya baadhi ya sheria, wanapaswa kuelekeza malalamiko yao...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwanini Tume ya Uchaguzi (INEC) inatangaza mambo yanayogusa wananchi kwa Azam TV pekee wakati wana chaneli yao ya YouTube?

    Wakuu Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, alipaswa kutoa taarifa muhimu kwa umma kuhusu masuala ya uchaguzi kupitia vyombo vingi vya habari ili kuhakikisha taarifa hizo zinawafikia Watanzania wote kwa uwiano na uwazi. Kwa kuwa uchaguzi ni suala...
Back
Top Bottom