Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,623
Reaction score
14,363
20250718_095343.jpg

Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.

Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.

Cc Nyani Ngabu
 
Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umeivunja tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni chombo cha ufujaji wa fedha.

Badala yake wizara ya mambo ya ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti.

Tangu utawala huo ulipoingia mamlaka mnamo Septemba 2022, viongozi wake mapinduzi wameanzisha mageuzi makubwa, ikiwa ni pamoja na kuahirishwa kwa uchaguzi ambao ungesababisha kurejea kwa utawala wa kiraia.

Uchaguzi mkuu ilitarajiwa kufanyika mwaka jana, lakini serikali ya kijeshi iliongeza muda wa mpito kwa demokrasia hadi Julai 2029, na kumruhusu kiongozi Kapteni Ibrahim Traoré kusalia madarakani na kuwa huru kugombea uchaguzi ujao wa urais.

Shirika la habari la AFP linamnukuu Waziri wa Utawala wa Wilaya Emile Zerbo akisema kwamba tume ya uchaguzi "iligharimu" serikali takriban dola 870,000 kwa mwaka.

Kufuta tume hiyo "kutaimarisha udhibiti wetu wa mchakato wa uchaguzi na wakati huo huo kupunguza ushawishi wa kigeni", aliongeza.Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umevunjalia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji wa fedha.

Shirika la habari la AFP linamnukuu Waziri wa Utawala wa Wilaya Emile Zerbo akisema kwamba tume ya uchaguzi "iligharimu" seriklai takriban dola 870,000 kwa mwaka.

Kufuta tume hiyo "kutaimarisha udhibiti wetu wa mchakato wa uchaguzi na wakati huo huo kupunguza ushawishi wa kigeni", aliongeza.
 
View attachment 3409637

Yetu nani ataifuta wajameni?
 
Kuna namna democracy ni pure scam
 
Binafsi bado niko upande wa Traore na Sahel Nations brothers hadi pale watakaponi prove wrong baadae. Ukizingatia nchi iko kwenye kipindi cha vuguvugu la mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na kisera, si sahihi kufanya chaguzi na mkaishia kuwekewa pandikizi mkarudi nyuma tena.

Demokrasia ya ulaya sio ya AFRIKA. Huku kwetu wanasiasa wanaingia madarakani kutafuta kula na sio kuwaletea wananchi maendeleo. Hivyo ni rahisi sana mtu kushawishika na kuanza kusukuma ajenda za wakubwa badala ya mustakabali wa maisha ya raia wao.

Kinachotuponza Afrika ni kutokuwa na malengo ya kitaifa kiasi kwamba kiongozi haijulikani anapimwa ,afanikio kwa vigezo gani, matokeo yake wanasiasa wanaahidi t shirt kwa wapiga kura wao kama moja ya mafanikio ya ndani ya kipindi cha miaka 5.

Tujifunzeni kwa Rusia, China, North Korea, Iran, Saudi Arabia, kama kweli hiyo demokrasia ina maana kubwa kama tunavyoaminishwa sasa.
 
Unajua maana ya standard?
Ulitaka Mobutu atawale mpaka mauti? Au ulitamani wakoloni waendelee kutawala Afrika sababu Democrasia siyo mambo yenu hivyo mwenye nguvu ndiyo atawalw? Au unatamani vita kule Somalia, Congo, Burundi Sudan na Afrika ya kati ziendelee hadi mwenye nguvu apatikane na aliyeshindwa akubali kushindwa? Siyo ndiyo maana yako?
 
Ukizingatia hoja yangu ya kipindi cha vuguvugu ilicho nacho nchi ya Burkina, maendeleo yanayolenga watu na kukubalika kwake kwa jamii ya wengi, huwezi kumfananisha Traore na Mobutu kwenye hoja hii mkuu.

Xi anaongoza China inayopiga hatua kila uchwao, Putin ameitoa Russia chini na sasa inasonga mbele, n.k lakini hawapigiwi kelele kama anavyofanyiwa Traore sasa.

Kama nchi inakuwa na vision na akaingia mtu akaitekeleza vizuri hata kama amekaa miaka 100 madarakani sioni shida ila kama anaenda kinyume na hapo, tun ahaki kumjadili.
 
Back
Top Bottom