tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    JamiiForums Tanzania Libya: Tume ya Uchaguzi yakataa maombi ya Urais ya Saif al-Islam Gaddafi

    Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria Tume hiyo imesema Saif al-Islam Gaddafi anakosa vigezo kwasababu alihukumiwa. Mahakama Jijini Tripoli ilimhukumu...
  2. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi tangazeni kuanza kwa kampeni ili mwaka 2025 iwe ni kuchukua fomu tu

    Naona kampeni za Uchaguzi 2025 zimeanza kwa kasi chama tawala CCM kimeshateua mgombea wake na safari hii "wanaume no kugombea" ni zamu ya wanawake tu Ni vema Tume ya Uchaguzi ikatangaza rasmi kuanza kwa kampeni kwani CCM tayari wameanza mapema kabisa. Suala la uchukuaji fomu ndio lifanyike...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi wapewe ajira za kudumu

    CHADEMA wametaka wajumbe wanaoteuliwa kuwa katika Tume ya Uchaguzi waangaliwe historia yao ili kujua weledi wao kabla ya kuteuliwa kuwa wajumbe. Kama ilivyo kwa majaji wa Mahakama Kuu ambao hawawezi kuondolewa muda wowote kabla ya kipindi chao kuisha, wametaka wajumbe wa Tume ya Uchaguzi nao...
  4. John Manoni

    JamiiForums Tanzania Kwa hukumu ya Sabata naona kivuli cha sababu Za CCM kupora kila chaguzi

    Wakuu,hukumu ya DC aliyesimamishwa ndg.kada Ole Sabaya inatangulia mbele ya uporaji na uvunjaji wa sheria unaofanywa na CCM kwenye uchaguzi. Hata akitoka kwa rufaa au msamaha wa rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM bado makusudi na mpango mahsusi upo palepale. Historia...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mdogo Ushetu. Waliopiga kura 106,000+. Ambao hawakupiga kura ni wangapi?

    Lipo tatizo la tume ya uchaguzi kuacha kuendesha uchaguzi na kubaki na taarifa za copy and paste kwa kiwango Cha data wanachoamua wao. Huko Ushetu CCM na ACT pekee wamepigiwa kura zaidi ya laki moja na elfu sita. Kwa tuliokuwa tunafuatilia kampeni na baadaye siku ya kupiga kura lazima tujiulize...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa NEC ni bomu linalosubiri kulipuka; Wagombea 10 Upinzani Shinyanga waenguliwa kuwania Udiwani kwa kukosa sifa

    Ipo siku Tanzania italipuka kupitia hujuma za uchaguzi! Ipo siku yaliyomkuta Nikolae ceacescu wa Romania tarehe 25 December, 1989 tutayaona Tanzania Ipo siku Watanzania wataigeuka CCM na wana CCM wataukimbia utambulisho wao kwa sababu ya kuitumia tume kuchezea demokrasia; --- NIPASHE...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye majina ya viongozi wa tume ya uchaguzi Tanzania atusaidie kuna tatizo

    Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020? Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na kufanya kazi ofisi ya umma ikiwemo ofisi ya president? Nauliza cv kwa sababu wanayofanya...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo Majimbo ya Konde na Ushetu kufanyika Oktoba 9, 2021

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema Uchaguzi Mdogo katika Majimbo ya Konde (Mkoa wa Kaskazini Pemba) na Ushetu (Shinyanga) utafanyika Oktoba 09, 2021 Wagombea watachukua fomu kuanzia 13-19 Septemba, uteuzi utafanyika Septemba 19 na Kampeni zitaanza 20 Septemba hadi 08 Oktoba Jimbo la Konde...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

    Tume ya Taifa ya UCHAGUZI (NEC) inapendekeza yafuatayo:- 1. Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuongeza ufanisi. 2. Tume iwe na watumishi wake mpaka ngazi ya Wilaya. 3. Kuwe na sheria moja ya Uchaguzi. 4. Uchaguzi wa Serikali za Mitaa usimamiwe na Tume. 5. Wanaopita bila kupingwa Wabunge na...
  10. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na NCCR Mageuzi zakataa mwaliko wa Tume ya Uchaguzi, ACT Wazalendo bado wanatafakari!

    NCCR Mageuzi imeungana na CHADEMA kugomea mwaliko wa Tume ya uchaguzi kuhudhuria hafla ya usomaji wa ripoti ya uchaguzi mkuu wa 2020. ACT wazalendo bado wanatafakari. CUF mhhh.... Mungu ni mwema wakati wote!
  11. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania National Interest: Viongozi na Watendaji wa Tume ya Uchaguzi Wajiuzulu au Waondolewe

    Kabla sijasahau, let me remind my government that mobile money businesses are dying. Namaanisha vile vibanda. Baada ya hapo naomba nimpe shikamoo mama yetu. 1. Uchaguzi wa mwaka jana ulikuwa wa kishamba na wa kipuuzi sana. Ulituvua nguo. JPM was my hero. Alikuwa mzalendo. Lakini hili alilofanya...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa hakuhoji uhalali wa tume ya uchaguzi kwenye kitabu chake. Wanaomnukuu hivyo wanapotosha

    An objective and fair electoral commission, which is acceptable to all parties is an essential pillar in the evolving democratic culture on the African continent. The composition of the electoral commission is often disputed in African countries, yet someone must appoint them. Then you must have...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kunakucha au Kumekucha ,hakuna tena kulala si shwari tena - Tume ya uchaguzi huru

    Sasa sio shwari tena,Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi ,CCM wakitaka au wasitake hii sio nchi yao na kama haitoshi watambue hawana hati miliki, Tume huru ya uchaguzi ni lazima kuliko kifo maana kifo kinaweza kuchelewa ,ila Tume huru inahitajika sasa na hakuna sababu ya kuchelewa na...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi yawataka mawakala wa vyama vya siasa na wasimamizi kuzingatia sheria za Uchaguzi katika Uchaguzi mdogo wa muhambwe, buhigwe na kata 5

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi imesema vyama vya siasa vinavyoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge katika majimbo ya Muhambwe na Buhigwe mkoani Kigoma na Uchaguzi wa Udiwani katika kata tano za Tanzania Bara, vina wajibu wa kuweka mawakala kwenye vituo vya kupigia na kujumlisha kura lakini mawakala hao...
  15. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais aunde tume mbili kuchunguza shutuma za watu kudhulumiwa mali zao awamu iliyopita pamoja na kifo cha Hayati Dkt. Magufuli

    Nimemsikia Raia Samia anasema watahakikisha wanakusanya kodi halali na sio ya dhuluma na huko nyuma amekemea TRA kunyang'anya watu mitaji na hela zao kwa kisingizio cha kodi. Hapa tuseme ukweli kuwa tuhuma kuwa miaka mitano iliyopita watu 'wamedhulumiwa' na kunyang'anywa hela zao' zimezagaa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo, Rais siyo Tume ya Uchaguzi

    ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais? Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni vyema wawe na msimamo tu kwamba Kama walivyoshinda Zanzibar ndivyo watakavyoshiriki uchaguzi huko...
  17. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania GE2020 Marekani: Kuanzia leo, tunaweka vizuizi kwa waliohusika na kuvuruga Uchaguzi nchini Tanzania

    Kupitia akaunti yake ya Twitter, Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje, Mike Pompeo ameandika "Kuna matokeo ya kuingilia mchakato wa kidemokrasia. Kuanzia leo, tunaweka vizuizi vya visa kwa wale wanaohusika na uvurugaji wa uchaguzi nchini Tanzania. Tunabaki kujitolea kufanya kazi pamoja kuendeleza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba aishangaa Tume ya Uchaguzi kwa kitendo cha kuengua Wagombea wa Vyama mbalimbali vya upinzani bila kufuata utaratibu

    Jaji Joseph Sinde Warioba ameishangaa tume ya uchaguzi ya Tanzania kwa kitendo chake cha kuengua wagombea wa vyama mbalimbali vya upinzani bila kufwata utaratibu. Ameishangaa kuengua wagombea wa vyama mbalimbali bila kuzingatia katiba badala yake kutumia vigezo dhaifu ktk kumuengua mgombea...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Tume ya Uchaguzi Uganda yatishia kumuadhibu Museveni endapo hafuati masharti katika kampeni

    Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda jaji Simon Mugenyi Byabakama, amesema kwamba tume hiyo haitasita kumchukulia hatua rais Yoweri Museveni ambaye ni mgombea urais kupitia chama cha National Resistance Movement – NRM, endapo hatafuta sheria za kampeni zilizowekwa na tume. Kulingana...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mgombea wa upinzani wa Uganda ashinda Tume ya Uchaguzi kulalamikia manyanyaso ya Polisi

    Mgombea urais nchini Uganda Robert Kyagulanyi ameshinda katika makao makuu ya tume ya uchaguzi kwa ajili ya kuwasilisha lawama za namna wanavyohujumiwa na kunyanyaswa na vyombo vya usalama. Mgombea huyo maarufu kama Bobi Wine alisitisha kampeni zake hapo jana wakati walinzi wake wawili...
Back
Top Bottom