tume ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Madaktari kuchunguza mwili wa Afisa wa Tume ya Uchaguzi Kenya

    Madaktari wa Uchunguzi wataufanyia uchunguzi mwili wa afisa wa IEBC, Daniel Musyoka aliyekutwa amefariki baada ya kutoweka kwenye kituo cha Kura. Mchunguzi wa serikali pamoja na Daktari aliyeteuliwa na familia watafanya shughuli hiyo ili kubaini sababu za kifo cha Afisa huyo aliyetoweka kwa...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi imemebaki Tume ya Uchaguzi ya Tanzania

    Huwa siamini hata kidogo kama upo uwezekano wa kupata tume huru ya uchaguzi kwa namna kama Kenya walivyofanya; au hata Zanzibar walivyowahi kufanya. Kwa kilichotokea Kenya kupitia baadhi ya wajumbe kuyakana matokeo ya kazi yao natangaza kuwa Tanzania tuna tume bora na huru ya uchaguzi
  3. Mbaga Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi wa Kenya: Mkutano wavurugika kwa fujo, watu wapigana

    Inasikitisha sana wakuu
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Maafisa 3 wa Tume ya Uchaguzi Wafikishwa Mahakamani

    Esokon Bernard, John Nabian na Ekori waliokuwa wasimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Laisamis katika Kaunti ya Marsabit, wameshtakiwa kwa kutelekeza vifaa vya uchaguzi baada ya kufungwa kwa zoezi la kupiga kura Agosti 9 Maafisa hao wanadaiwa kukataa kupeleka vifaa hivyo, zikiwemo karatasi za kura...
  5. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

    Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa. Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya. Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi ya Kenya (IEBC) inajitengenezea bomu kupitia kile wanadhani ni Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Habari wakuu! Najua kwa siku mbili tatu baadhii yetu tumekuwa tukifuatilia kile kinachoendelea katika uchaguzi wa Majirani zetu Kenya. Kwa tathmini fupi utabaini kwamba watu wengi nchini kenya na Tanzania wamepongeza kile ambacho IEBC imefanya kwa kuruhusu vyombo vya habari kujumlisha na...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Tume ya Uchaguzi Kenya yavitaka vyombo vya habari kuongeza kasi kuripoti matokeo

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Wafula Chebukati, amevitaka Vyombo vya Habari kuongeza kasi ya kujumlisha matokeo na kuyawasilisha kwa wakati. Vyombo vya habari vimeonesha takwimu tofauti za matokeo ya Uchaguzi wa Rais, na kusababisha wasiwasi kuhusu hitilafu hizo...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama: Uamuzi wa Tume ya Uchaguzi wa Kutumia Usajili wa Kilektroniki Pekee katika uchaguzi wa Agosti 8 ni batili

    Mahakama ya Juu imebatilisha uamuzi wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) wa uandikishaji wa Wapiga kura kwa Kielektroniki pekee katika uchaguzi wa Agosti 9, na kusema kuwa sababu zilizotolewa na tume hiyo hazitoshi Tume hiyo ilisema kuwa Usajili wa Wapiga kura kwa Makaratasi unaweza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 KUELEKEA UCHAGUZI MKUU 2025: Tume huru ni muhimu kuliko Katiba mpya?. (Katika mtazamo wangu)

    Utawala bora unajengwa kwa kuwa na katiba imara na madhubuti, inayoendana na wakati. Katiba yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, ni miongoni mwa katiba kongwe ambayo pasi na shaka yako mambo kadha wa kadha yanayohitaji mabadiliko ya haraka sana. Hili linajidhihirisha kupitia mapendekezo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe kuwa Tume ya Uchaguzi na Wakurugenzi ni watu, wakidhibitiwa 2025 hili genge linalowadharau Watanzania halishindi uchaguzi kwa namna yoyote

    CCM ni mali ya baba zao na familia zao. Watanzania ni wajinga sana ndio maana wanawadharau. Hata kama inasemekana Tiss na tume huwa wanaiba na kuisaidia CCM kuiba uchaguzi lakini wanadhibitiwa kirahisi sana. Kuwa na wasimamizi waaminifu wasiohongeka kuanzia ngazi ya kata, jimbo mpaka taifa...
  11. Replica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kumekucha Kenya: Tume ya uchaguzi yaidhinisha wagombea binafsi 38 wa Urais. Tanzania tuna mpango gani?

    Mgombea binafsi ni yule ambaye hatumii tiketi ya chama chochote ili kuweza kugombea nafasi ya kisiasa kama Urais na Ubunge. Kenya Walipitisha sheria hii March mwaka huu na wameidhinishwa wagombea Urais na ugavana bila kupitia chama chochote. Wagombea 38 wameidhinishwa nafasi ya Rais nchini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kushinda urais 2025 kirahisi kama Wakurugenzi na Tume ya Uchaguzi watadhibitiwa

    Pamoja na kuwa mpaka sasa hakuna mpinzani makini na uhakika walio makini wamejificha na wanasubiri 2025 ikaribie na watajitokeza. Lakini wakurugenzi wadhibitiwe kuchakachua matokeo na tum ya uchaguzi idhibitiwe kuchakachua matokeo. Rais Samia hatashinda. CCM imegawanyika na wanaCCM wengu ndio...
  13. beth

    JamiiForums Tanzania Tunisia: Rais Saied aingilia Tume ya Uchaguzi, ateua wajumbe wapya

    Rais wa Tunisia, Kais Saied ameendeleza nia yake ya kujiimarishia Mamlaka baada ya kutoa amri ya kubadilisha Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na kuwaweka watu 7 wapya aliowateua mwenyewe Tume hiyo ni miongoni mwa Vyombo huru vya mwisho Nchini #Tunisia, na kubadilisha wanachama wake kwa amri ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC), kwa hali ilivyo bado wewe na wakurugenzi wenzako mnaamini mnapaswa kuendelea kuwepo ofisini?

    Wakurugenzi wa tume ya uchaguz Tanzania nadhani Kuna mnapaswa kuendelea kujitafakari; hakuna namna nchi itakuwa na maridhiano mkiwa ofisini kwa sababu ninyi ni Moja ya Watu waliotumika vibaya kutweza utu wa Watanzania 2020. Mzee Warioba anaposema mbele yenu Kwamba ni mwaka 2020 ndipo wagombea...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yoyote ya kuboresha Tume ya Uchaguzi yatainufaisha CHADEMA zaidi dhidi ya vyama vingine

    Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi. Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Sababu za CCM kutoanguka tangu Uhuru hadi sasa

    CCM ni chama cha ukombozi, na vyama vingi vilivyopigania Uhuru wa nchi zao havipo tena madarakani lakini CCM bado ipo tu. Yafuatayo ni baadhi ya michango iliyosababisha CCM iendelee kubaki madarakani: 1. Haina ubaguzi mkubwa wa wananchi wake: Baada ya uchaguzi kwisha Hakuna tofauti kimaisha...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Jaji Jacob Mwambegele amrithi Kaijage. Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Jacob Casthom Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Pia, Rais...
  18. Ntozi

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi iliyopo ingeonesha uadilifu kwa kujiuzulu

    Kila kona waelewa wote wanataka iwepo tume huru ya uchaguzi, yamesemwa hata na wana CCM wakongwe na wenye heshima zao ndani ya nchi. Kuna wakati hata Rais wetu alikemea mambo fulani yaliyofanywa na tume, kuwa yasijirudie katika chaguzi zijazo Kwa kuwa hayana mashiko. Sasa hivi kuna kikosi kazi...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Zitto, hii ndiyo timu ya kupitia masuala ya Tume Huru ya Uchaguzi uliyotegemea au wamekuchakachua?

    Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu wakumleta kwenye hoja nyeti wakati alishatoa kauli mbili tofauti juu ya uchaguzi uliopita? Ana kauli...
  20. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali Rais mgombea kuteua Tume ya Uchaguzi itakayomtangaza yeye?

    Kwa mujibu wa katiba, Tume ya Uchaguzi ambayo ndio inayotoa uhalali wa Mamlaka ya watawala, inateuliwa na Rais, je kimantinki na kiuhalisia ni sawa Rais ambaye naye ni mmoja wa wagombea atakayewekwa kwenye mamlaka na Tume hiyo awe na mamlaka ya kuiteua" Sheikh Issa Ponda
Back
Top Bottom