tulia ackson

Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    PreGE2025 Tulia Ackson afanye nini wananchi wa mbeya wamwonee huruma? Amefanya matamasha mengi ila Wanyakyusa wamemkazia

    Kama kuna Mbunge ameandaa matamasha na kurekodi matukio anayofanya ni Tulia Ackson. Ameandaa wasanii wakubwa , ameandaa mpira , ameandaa vikundi vyakusaidia nakadhalika . Ila hadi sasa bado wananchi wa Mbeya awataki kumwelewa mama wa watu. Amezunguka Mbeya mjini hali ngumu ameenda Rungwe nako...
  2. Erythrocyte

    Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

    Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu). Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe...
  3. R

    Kwa wapinzani wa Tulia Ackson ni dhahiri hakuna chakushangilia?

    Maspika waliogombea na TULIA Ackson wanatoka bara la Afrika. Nchi wanazotoka na hata mshawasha wa wapiga kura umekaa kwa nchi za ulimwengu wa kwanza zaidi. Lakini pia bunge hili halina impact yoyote kiuchumi kwani mchango wake siyo mkubwa katika Taifa moja moja.
  4. Replica

    Sugu baibai Mbeya Mjini? Ili Tulia aendelee na urais IPU anatakiwa asipoteze ubunge miaka mitatu

    'The IPU Governing Council elects the IPU President for a term of three years. He or she must be a sitting Member of Parliament throughout the term of the presidency' Leo Tulia Ackson amechaguliwa kuongoza umoja wa mabunge duniani kwa kipindi cha miaka mitatu. Moja ya sifa ya kuendelea kuwa...
  5. mama D

    Dkt. Tulia leo 26.10.2023 ameshiriki mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais IPU

    Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU. Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023 Mungu ibariki Tanzania
  6. Lord Denning

    Rasmi: Kwa alivyotetea ukweli kwenye suala la Bandari, Tulia Ackson Mwansasu apewe kijiti 2030 kuongoza Tanzania

    Ukweli umekuwa bidhaa adimu sana Tanzania na upotoshaji umekuwa kama sehemu kubwa ya maisha. Nimefuatilia sana siasa za Tanzania na nasema kweli, hakuna mtu aliyenifurahisha kwenye suala la Mkataba wa Bandari kwa kutetea ukweli tena kisheria kama Spika wa Bunge Bi Tulia Ackson Mwansasu Kama...
  7. Mr Lukwaro

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Acksoni, achukua fomu kugombea Urais IPU

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, anatarajiwa kushiriki Mkutano wa 147 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Angola. Katika Mkutano huo pamoja na mengineyo utafanyika Uchaguzi wa Rais mpya wa Umoja huo ambapo Dkt. Tulia ni miongoni mwa Wagombea.
  8. sky soldier

    This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  9. B

    Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson ziarani Morocco

    18 September 2023 Rabat, Morocco https://m.youtube.com/watch?v=nxCJ2dl-PN8 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyeji wake Spika wa Bunge la Morocco, Mhe. Rachid Talbi El Alami katika ofisi za Bunge hilo zilizopo...
  10. Roving Journalist

    Tulia Ackson: Serikali itafute utaratibu wa mpito wa kuwatazama watu wanaojitolea kwenye kada Mbalimbali ili wapewe kipaumbele kwenye ajira

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 5, leo Septemba 4, 2023. Ratiba: Dua Hati za kuwasilisha Bungeni Maswali https://www.youtube.com/live/McEXteLWlfE?si=sfX1wV4hU3L7zPOS === Serikali imesema ipo miongozo mbalimbali inayoongoza suala la kujitolea kwa watu wa kada...
  11. R

    Dr. Tulia Ackson- kupotelea kwenye sanduku la kura; mkakati waandaliwa kuachana naye bila tashwishwi

    Mkakati waliachana na Dr. Tulia Ackson- umekamilika ambapo wenye chama chao na ambao wakati wa regime iliyopita alitumia madaraka yake kuwaumiza wanaenda naye taratibu kuelekea 2025. Wanafahamu kwamba hatoweza kutoka katika sanduku la kura kwa sababu hakuna anayemkubali kulinganisha na wapinzani...
  12. Erythrocyte

    Spika Dkt. Tulia: Rais mimi ndio Mbunge wa Mbeya Mjini, Wananchi wameniambia Wanakuunga mkono Uwekezaji wa Bandari!

    Spika Dr. Tulia amesema anaowawakilisha yaani wananchi wote wa Mbeya Mjini wanaunga mkono Uwekezaji wa Bandari. Dr. Tulia amesema Mkoa wa Mbeya ni wakulima hivyo Uwekezaji wa Bandari utasaidia Mazao yao kufika kwenye Masoko kwa haraka. Nanukuu Baada ya kuitaja Bandari, maneno mengi yametoka...
  13. ChoiceVariable

    Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  14. M

    Mwanasheria Phillipo Mwakilima amtaka Spika Tulia Ackson aache kuchanganya sheria na siasa

    Akihojiwa na chombo kimoja cha habari, Mwanasheria Phillipo Mwakilima anemkosoa vikali Spika Tulia Ackson kwa staili yake ya kujifanya ni mtafsiri sheria na mwalimu wa sheria kila sehemu anayokuwepo. Wakili Mwakilima, akaponda kauli za spika kuwa eti bungeni walipitisha makubaliano na siyo...
  15. Chachu Ombara

    Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

    Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila...
  16. CONSISTENCY

    Spika Tulia, umetuaibisha Wanyakyusa kupitisha Mkataba wa Bandari. Jisahihishe haraka

    Spika wa Bunge Dr Tulia Mwansasu umetuaibisha na kutushushia heshima wanyakyusa wenzako kwa kitendo chako cha kukubali kutumika na kupitisha mkataba wa kitapeli wa bandari. Unatufahamu wanyakyusa hatutaki ujinga kwenye mambo ya msingi, umepewa dhamana kubwa ya kuendesha chombo kikubwa katika...
  17. D

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri Je, ndoto yake ya kuwa Rais...
  18. John Gregory

    Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  19. K

    Video: Nyumba ya Tulia Ackson

    Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
  20. Replica

    Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
Back
Top Bottom