tulia ackson

Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika wa Bunge Tulia Ackson na Foundation yake azidi kumwaga misaada kwa wananchi wa Mbeya Mjini

    Wakuu, Kama unafuatilia ukurasa wa Instagram wa Tulia, Mbunge huyo wa Mbeya Mjini amezidi kumwaga misaada kwa Wana Mbeya. Hivi sasa ukurasa wake umejaa video za watu wakiwa wanapewa na kugawiwa nguo pamoja na majengo ambayo foundation yale imejenga. Sugu anaona lakini mambo haya anayofanya...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Tulia Ackson akusanya waandishi wa habari ili kutoa msaada wa tani mbili za chakula kwa wasiojiweza

    Wakuu, Hivi kuna ulazima gani wa Tulia kwenda na media kila sehemu anapoenda kutoa misaada? Kwenye hii video anasema anaita vyombo vya habari kila anapotoa misaada ili awape motisha mwingine. Hivi kweli kuna mtanzania wa kawaida unayemjua ambaye ataenda kutoa misaada kwa sababu ya motivation...
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson wewe ni kiongozi mkubwa sana wa Dunia punguza kuposti picha zako Facebook

    Jamani mimi sijui ni mshamba au ninamaarifa kidogo, huwa napata sana shida kuona kiongozi mkubwa kama Tulia Acksoni, Spika wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, na spika wa Dunia, mtu anae ongoza maspika wote wa Dunia hii. Najiuliza anapata wapi muda wa kujipost FaceBook. Wewe kama mwasheria...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

    Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema: "Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi...
  5. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali Ifanye Uchunguzi Wa Kifo Cha Dkt Faustine Ndugulile Na Kuongeza Ulinzi Mzito Kwa Dkt Tulia Ackson

    Ndugu zangu Watanzania, Ifike mahali kama Taifa tusikubali kila kifo kipite hivi hivi au kuacha mambo yaende hivihivi kana kwamba hakuna kilichotokea vile au kusema ni Mapenzi ya Mungu au kuona ni kawaida.Mungu ametupatia akili kwa ajili ya kufikiri na kufanya tafakari kwa msaada wake Mungu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt.Tulia Ackson: Kuna kushinda na kushindwa, tuwe watulivu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt.Tulia Ackson ameshiriki zoezi la kupiga kura na kumchagua kiongozi amtakaye huku akisisitiza wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kuwa watulivu baada ya kutangazwa matokeo. Dkt. Tulia ametoa rai...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbeya: Spika Tulia ashiriki zoezi la kupiga kura

    Wakuu, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 27 Novemba, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga kura kuwachagua Viongozi wa Serikali za Mitaa. Kupata taarifa na matukio ya...
  8. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbona Tulia Ackson kaanza kampeni mapema hivi? Azindua ofisi ya Chama cha Madereva na Wamiliki wa Bajaji Mbeya Mjini

    Wakuu, Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu? Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii kampeni yote kumuhusu yeye. Na hii benki iliyompa Tulia hizi bajaji nane kwa ajili ya Tulia Trust, mna...
  9. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Spika Tulia ashiriki ibada ya madhabahu ya sauti ya uponyaji. Mkienda na kwa waganga pia mturushie na picha!

    Wakuu, Huu ndio muda wa kujipendekeza kwa kila mtu mradi wapate kura, safari hii mkienda na kwa waganga mtupigie pia na picha. Msiwafiche fiche wakati tunajua na huko mnafika, kweli uongozi mtamu :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKWlaugh:. ==== Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Spika Tulia Ackson ajitosa kampeni za Serikali za Mitaa

    Ama kweli kampeni zimeshika kasi. Spika wetu Dk. Tulia Ackson sasa ni mtaa kwa mtaa Mbeya mjini. Baada ya kumaliza mitaa kadhaa sasa amejikita Mtaa wa Ilindi akimpigia kampeni mgombea wa CCM Ndugu Abdul Kilasi na wajumbe wake. "Wana Ilindi twendeni na Abdul Kilasi na wajumbe wake. Huyu ni...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia Ackson akabidhi nyumba kwa Mkazi wa Mbeya kupitia Tulia Trust

    Wakuu Kama ilivyo kawaida kipindi cha uchaguzi, zawadi za kimkakati ndizo hutawala kwa Wabunge kuelekea uchaguzi. Leo, tarehe 11 Novemba 2024, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa awasilisha pongezi kwa Dkt. Tulia Ackson kwa utendaji wake katika Bunge la IPU

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa, imempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson, kwa Uongozi wake mahiri na ujasiri aliouonesha katika tukio lililotokea...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson aibana Serikali kuhusu ajira kwa wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma

    Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Leo October 27, ni mwaka mmoja toka Dr. Tulia Ackson achaguliwe kuwa rais wa IPU

    Ni wakati ambao kuna mambo makubwa yanatokea. Sijui kwa nini viongozi wa Dunia wakaamua kuwaweka Watanzania in the centre of this. Mkutano ujao utafanyika Uzbekistan. Maybe it is the only place which is going to be peaceful mambo yanavyokwenda hivi sasa. Sijui tunaipima vipi kazi ya Spika...
  15. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia akionesha umahiri wake kwenye kuchanganya saruji na kupangilia tofati, watafika 2025 wakiwa wamechoka sana!

    Wakuu, Hapa ni Spika Tulia kwenye one and two akituonesha alivyobobea kwenye kuchanya saruji na kupangilia tofali kama picha zinavyoonesha. Nakumbuka na msanii Kigwa alipoenda kula kwa mama ntilie na yule aliyejifanya mkulima wa nyanya, na ukulima ukaisha aliporudishwa kwenye sistimu :KEKLaugh...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi wa Tanzania 2025 ni vita vya kijasusi ya mashirika makubwa ya Ulaya, Amerika dhidi ya Russia na Mataifa ya kiarabu

    Nimeiona clip ya dokta Tulia alivyojibu Kwa jazba ,nikagundua ndugu yetu huyu hakujua Yale maswali hakuulizwa yeye kama Dr.Tulia Bali msimamo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuihusu ukraine na washirika wake, akajibu kama anavyowajibu chadema Hapo dodoma mjengoni, kifupi amerusha sandakalawe...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania The famous Tulia Ackson's meltdown at the IPU meeting, was it legit and justifiable?

    On October 14, 2024, Dr. Tulia Ackson, the President of the Inter-Parliamentary Union (IPU) and Speaker of the Parliament of the United Republic of Tanzania, officially opened the 149th General Assembly of the IPU at the International Conference Centre (CICG) in Geneva, Switzerland. The...
  18. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson umetuinua Waafrika na kuwaonyesha watu wa mabara mengine kuwa Mtanzania si wa kumchezea

    https://www.youtube.com/watch?v=kMc6CYfZzZE Nikifikiri kizazi cha watanzania wenye jeuri ya nchi yao kiliishia na Mwalimu Nyerere. Wakati wa Mwalimu, hakuna mwanasiasa wa nje ambaye alikuwa hajitayarishi vilivyo kuongea na mwanadiplomasia wa Tanzania. Wanadiplomasia wabobevu kama Mzee Mahiga...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa IPU Dkt. Tulia Ackson akifunga shughuli za Bunge Ajutia Sintofahamu iliyotokea

    17 October 2024 Geneva, Switzerland 🇨🇭 KIKAO BUNGE CHA 149 CHA IPU (Inter Parliamentary Union) CHAMALIZA SHUGHULI ZAKE GENEVA, RAIS DR. TULIA ATOA HOTUBA https://m.youtube.com/watch?v=LAYwfFWdwDI Mabibi na Mabwana nawashukuru sana , Hakika mambo ndani ya bunge yalikuwa moto, pia mgawanyiko...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Wana Mbeya mnatakiwa kutembea kifua mbele kwa kumchagua Tulia, tusikubali kulipoteza hili jembe

    Msanii na mfanyabishara mkubwa sana nchini Tanzania, Diamond Platnumz amewataka watu wa Mbeya kujivunia Spika wa Tanzania na Duniani Madam Tulia Ackson. Diamond ameonekana kuvutiwa na namna Madame Tulia alivyoongoza mjadala mgumu wenye hisia kali kutoka kwa watu wenye weredi duniani aliongoza...
Back
Top Bottom