tulia ackson

Dr. Tulia Ackson (born November 23, 1976) is the Speaker of the National Assembly of Tanzania, in office since 2022. She was appointed as a Member of Parliament by President John Magufuli.

View More On Wikipedia.org
  1. John Gregory

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Timu ya Bunge inapiga mpira mzuri mithili ya Yanga

    Akielezea timu ya Bunge, Mapema leo katika mkutano wa 11 kikao cha 39 cha Bunge tukufu la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge, Dr.Tulia Ackson ameisifia timu ya Bunge kwa kiwango chake bora cha mpira. Pia Spika ameongeza kwa kuilinganisha ubora huo na Klabuya Young Africans ambayo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Video: Nyumba ya Tulia Ackson

    Uwezo wa mtumishi wa serikali kujenga huo mjengo.
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaoamini nguvu ya dola ilitumika uchaguzi 2020 ni imani tu, hamna mtu ameona mahali. Auliza mbona hawakwenda mahakamani!

    Spika Tulia amesema wanaoamini nguvu ya dola ilitumika 2020 kuwaingiza wabunge wa CCM bungeni ni imani tu na hakuna mtu ameona mahali. Amesema nchi hii ina utaratibu wa kwenda mahakamani kuonesha imani yako inaposimamia na maeneo mengi watu wanafunguliwa kesi za ubunge na wapo walioondolewa huko...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Wanaotaka Kugombea Ubunge Jimbo la Mbeya Mjini Wapime Kina Cha Maji

    Mbunge wa Mbeya mjini kupitia CCM, Dkt. Tulia Ackson amesema lengo la kugawanya jimbo la Mbeya mjini ni kusogeza huduma kwa wananchi na mchakato huo sio wa Mbeya pekee. Dkt Tulia aliongea hayo wakati akihojiwa na kituo cha redio cha wasafi leo asubuhi. Tulia amesema ubunge wake yeye haijalishi...
  5. Victoire

    JamiiForums Tanzania Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

    Huyu ndo Speaker/Rais wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ila nimeamini viongozi wetu ndo reflection ya wananchi. Speaker yupo hivi, wananchi je? Zaidi, soma: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
  6. Robot la Matope

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa

    Picha: Spika Dkt. Tulia Akson Spika wa Bunge, Tulia Ackson ni miongoni wa wabunge waliowasilisha maombi ya kugawa majimbo yao ili kuwa mawili kutokana na ukubwa na wingi wa watu. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Ummy...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson jimbo lako linapoteza timu mbili Ligi Kuu, unazisaidiaje?

    Tulia Ackson Mbunge wa Mbeya Mjini, Mbeya City FC na Prison ziko kwenye hatari kubwa ya kuporomoka daraja. Una mikakati gani ya kuzisaidia hizi timu? Tunajua umekuwa unajinasibu kuwa wewe ni shabiki kindakindaki wa Simba. Hatujawahi kuona unatoa amsha amsha kwa timu za jimboni kwako. Hizi timu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Spika Dkt. Tulia Ackson Aache kuingilia Majukumu ya Mawaziri

    Spika wa bunge letu jana alinisikitisha sana na ameshusha credibility alliyokuwanayo. Wakati waziri wa TAMISEMI akiwa anahitimisha hoja yake alitokea mbunge moja mwanamke wa viti maalum nafikiri kutoka nyanda za juu kusini. Yule mbunge alitaka kulazimisha wale wanaoitwa walimu waliojitolea...
  9. Blender

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Bunge lasimama kujadili na kutoa azimio la kumpongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia na Diplomasia ya Uchumi

    Mhandisi Ezra Chiwelesa amewasilisha azimio la Bunge kumpongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuimarisha demokrasia nchini na kuimarisha diplomasia ya Uchumi. Mhandisi Ezra pia amemshukuru Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwa kuruhusu na kumpa fursa ya kuwasilisha hoja ya azimio...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: Gazeti la mwananchi, JamiiForums tunawategemea kuwapelekea taarifa sahihi, tusipeleke za upotoshaji

    Spika wa Bunge, Tulia Ackson ameongelea vyombo vya habari na kuwaomba waandishi hawapendezwi na habari za upotoshaji kuhusu Bunge kwasababu liko wazi. Tulia kasema wanawategemea Mwananchi, JamiiForums kuwapelekea wananchi taarifa sahihi na si za upotoshaji, amesema haipendezi hasa kama...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ndiyo tishio la Katiba Mpya, awe makini!

    Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu. Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi wa kifalme kwenye vikao vya katiba kiasi kwamba akapewa ubunge na Rais wetu ambaye alitaka kugeuza...
  13. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Kunguni wa CHADEMA, NCCR, ACT, na CUF wanamshambulia Tulia Ackson - CCM tusikubali kamwe

    WanaJF, SALAAM! Niende moja kwa moja kwenye agenda ihusuyo Uhuru wa MTU kutoa maoni "Tulia Ackson ambaye pia ni Mbunge na Spika wa Bunge kwa maoni binafsi alinukuiwa akisema kuwa "Hatutaiachia Serikali". Hapo kunguni wa CDM, NCCR, ACT, CUF wakaanza ku-riot na kusema kuwa Tulia Ackson hakupaswa...
  14. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson: CCM haitoachia Dola KAMWE

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa hakuna siku itatokea chama hicho kikaruhusu nafasi ya kuachia kuitawala nchi kwakuwa imejiwekea mizizi imara katika kuwatumikia wananchi...
  15. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Tulia, karibu sana Sugu jimboni Mbeya

    Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu. Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana Mbeya. Sasa wakati umefika wa wana Mbeya kuonyesha hasira zetu kwa kumchagua mbunge ambaye atakuwa...
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania "Hatuangalii sura mtu tunataka umeme upatikane katika Bwawa la Mwalimu Nyerere" Mbunge Manyanya

    MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania lazima tujitambue na hatutaangalia sura ya mtu bali umeme upatikane Bwawa la Mwalimu Nyerere. "Na...
  17. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anapingana na Rais Samia? Kati yao nani tumsikilize na kumuamini?

    Hawa ni viongozi wawili ambao wote ni wakuu wa mihimili 2 katika nchi, wote ni wa chama kimoja, wote walikuwepo tangu enzi za Hayati JPM, wote walikuwa ni "Makamu" kipindi cha Hayati JPM, na wote kwa sasa ndiyo wakuu wa mihimili hiyo baada ya watangulizi wao mmoja kufariki na mmoja kujiuzulu...
  18. Mystery

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson anapaswa awajibike kwa kujiuzulu, kutokana na kutamka kuwa anayemsema vibaya Rais Samia, anapaswa ashughulikiwe!

    Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa kwa Demokrasia na yenye mfumo wa vyama vingi, ni jambo la kuskitisha Sana kwa matamko aliyoyatoa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson: Mtu akimsema vibaya Rais nyooka naye, akinisema vibaya Nyooka naye

    Wakuu nawaletea kideo, spika wa bunge akiwataka vijana kushughulika na yeyote anayemsema vibaya Rais, Mbunge, Diwani au Mwenyekiti wa mtaa kwa tiketi ya CCM. Hivi karibuni kuna ndugu wa Temeke alisema wao kazi yao ni kuwashugulikia wakosoaji na wazee watawaombea radhi kwa watanzania. Sijui...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson ashauri itafutwe njia ya kuzuia mauaji yatokanayo na wivu wa mapenzi

    Mh Tulia Ackson ametoa ushauri huo ndani ya bunge analoliongoza , kwa hoja kwamba Taarifa za vifo zinazotangazwa kila kukicha na Jeshi la Polisi hazisaidii kupunguza mauaji , na badala yake zinasababisha mauaji kuongezeka zaidi. Bado haijafahamika hasa lengo la hoja yake hiyo. Bali ikumbukwe...
Back
Top Bottom