tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakubwa tukutane hapa mida yetu ya kula sikukuu ikifika.

    Niko hapa nina mialiko minne ya sikukuu na bado sijarudi mkoani kwa mama yoyoo. Sitaki kuwakera maboss zangu walionialika kwa hio nimejigawa, jana usiku nimekesha kwa mmojawapo. Leo saa nne nmeenda kula supu ya jogoo shababi kwenye mwaliko wa pili, hapa naelekea kwenye mualiko wa tatu nikaguse...
  2. Tunaotumia Sim Card(Line) Moja tukutane apa

    Wakuu Mimi natumia Sim card moja tu, Kuna baadhi ya watu wamekuwa wakishangaa Ila Kiukweli naenjoy kuwa na Line moja tu
  3. Tuliohamia makwetu 2024 kabla hata ujenzi hujaisha tukutane hapa kutiana moyo na kupeana changamoto

    Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane hapa. Wengine shida maji wengine umeme na wengine usafiri.vp una solve ishu hizo kuzirahisha.mpewe...
  4. Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati. Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000...
  5. Wale tuliopoteza muda shule kusoma tukutane hapa

    ANGALIZO: Huu uzi hauwahusu wale ambao bado wapo kwenye industry ya Elimu bali ni kwa wale waliokwishatoka nje ya Game tu ⚠️ Ughonile.. kuna muda nikiwa idle nakumbuka muda niliopoteza shule kusoma hususani kuanzia A-Level na University naishiwa nguvu, nikitazama vyeti vyangu, nikiangalia...
  6. Wapenzi wa muziki wa trance na Eletronic Dance tukutane hapa

    Mimi nimekuwa mpenzi na muumini mkubwa wa nyimbo za trance na electronic karibuni tushee vitu mbali mbali juu ya mziki huu mzuri
  7. Wanaouza bidhaa za bei rahisi, sahani za plastiki na yeboyebo au viatu vya bei rahisi, mitumba nje ya dareslaam tukutane hapa

    Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio. Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba, vikombe vya plastiki na yeboyebo. Karibuni kwa mjadala
  8. Ufahamu mchezo wa Chess: wataalamu wa mchezo huu tukutane hapa.

    Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao. Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya 6 huko India. Na ikasambaa Ulaya kupitia Waarabu na Wafarsi, hatimaye kuwa mchezo wa kisasa...
  9. Waseminaristi tukutane hapa

    Habari Wana jamvi.... Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi nilisoma Nyegezi Seminary..... Unakumbuka Nini katika maisha ya shule seminary....
  10. Wadau wa Kutengeneza na Kuuza Sabuni Tukutane Hapa

    Salaam Wana JF. Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na...
  11. Nyimbo zangu za kusogeza weekend

    Zangu hizi hapa za leo nasongesha nazo weekend
  12. M

    Mdude Chadema: Tukutane kwa Kibaha kwa Mathias Kanisa la ufufuo na uzima. Maombi maalumu kwa waliotekwa.

  13. Twende China tukutane na Avatr 12 EV: Hatchback kali na Luxury kuzidi Executive cars za Ulaya!

    Wakuu, ni EV nyingine kutoka China. Kuna hii kampuni inaitwa Avatr Technologies, hadi sasa wana model mbili tu za magari, ya kwanza ni Avatr 11 na ya pili ndio hii imeingia sokoni sasa inaitwa Avatr 12. Inasomeka Avatr one two! Hii ni executive hatchback, iliyokua designed na bwana mkubwa...
  14. M

    Walimu mnaosubiri mshahara huku mkijua ukiingia utaishia kulipa madeni tukutane hapa ili tufarijiane.

    Bado masaa kidogo Hazina watajaza mzigo. Lakini balaa ni kuwa mzigo wote utaishia kwenye madeni. Kwa kweli walimu tuna wakati mgumu sana.
  15. G

    Hii ndio orodha ya majiji mazuri zaidi Tanzania

    1. DAR - ES - SALAAM Majiji Mengine .... 2. MWANZA - Ni jiji tangu enzi za Tanzania yenye majiji mawili 3. MBEYA - ni likijiji likubwa lakini kuna fursa nyingi, vyakula, unafuu wa huduma ya maji, utitiri wa vyuo, hospitali bora na huduma nyingine za jamii, n.k. 4. ARUSHA - Ni jiji zuri kwa...
  16. Mliowahi kuambiwa na wake zenu hamna utu tukutane hapa kupeana mbinu

    Ndugu zangu habari.. Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa. Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
  17. Wanazi wa mabus tukutane hapa, chuma ipi ina mwaga moto road

  18. Tunaosubiria simu za Tesla tukutane hapa

    Mambo ya apple ,sijui Google pixel na sumsung tupa kule hapa ni kitu cha Tesla , mwonekano na uwezo wa hali ya juu USSR
  19. Dada wa kazi wanasaidia sana kulinda ndoa za watu hapa mjini else nyingi zingepumua icu

    House girls wote popote mlipo. Naomba niwape heshima zenu, na kwa KONGOLO KUBWAA. Haijalishi mateso na mapito mnayopitia, ila akili zenu kubwa za kutembea na wenye nyumba na kuwasitiri zinasaidia kupunguza talaka hapa mjini. Ni wachache watashindwa kutambua hili, ila binafsi kabla ya kulala...
  20. Wataalamu wa kucheza na PC tukutane hapa

    Je, wewe ni kungwi wa kucheza na PC? Sina maana ya wale mnaoweza kuplay Games kwenye PC ama wale wenye uzoefu wa kuhamisha movies za Dj Mark kwenye flashdisk. La hasha! Nina maana ya wale mnaoweza kucheza na zile programmes za msingi sana. Nianze na ArtWork designs. Kuna wale wataalamu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…