tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Tunaotumia ringtone za dini kwenye simu yetu tukutane hapa. Je unatumia wimbo gani?

    Watu wengi hutumia ringtone zilizokuja na simu, na tupo sisi tunaotumia ringtone za miziki na nyimbo tuzipendazo. Mimi natumia ringtone za nyimbo za injili, nyimbo ni sehemu yangu ya ibada, je wewe unatumia wimbo gani? NI DAMU IDONDOKAYO Wimbo: There is a fountain R.L.175, S.S. & S. 129, N.K...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wale ambao wana stress ya umri kwenda huku hawana chochote, tukutane hapa

    Nakumbuka nilihitimu chuo nikiwa umri mdogo tu wa miaka 24 kasoro miezi kadhaa. Kwa enzi zile za JK sikuwa na shida sana ya kupata ajira kwahiyo nilianza ajira kwenye sekta binafsi siku chache tu baada ya mtihani wa mwisho chuo ilikuwa Julai. Pia tangu nikiwa chuo nilikuwa nikijishughulisha...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Tunaofanya biashara ya M-Pesa, Tigo-Pesa, Airtel Money, ..., na Uwakala wa Bank Tukutane hapa

    ????
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaotumia mita za luku za maji tukutane hapa

    Waziri Juma Aweso amekuwa akitangazia Umma wa watanzania kupatiwa mita Za Luku Za maji. Watanzania wenye meta hizo tukutana hapa.
  6. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Gangster movies tukutane hapa

    Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa, Tunaotarajia kufanya usaili wa kuandika kada ya MTAKWIMU DARAJA LA PILI, mwajiri MDA's & LGA's.

    Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu. Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

    Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
  9. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Ushirombo tukutane hapa

    Habari wana Familia. Naomba kufahamiana na watu wanaoishi Wilaya ya Bukombe hasa Ushirombo Mjini.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wana CCM ambao kazi yetu ni kuipigania CCM mitaani na mitandaoni lakini hatuteuliwi tukutane hapa

    Kucha kutwa sisi kazi yetu ni kupambana na wananchi wanaoibeza CCM huko mitaani na mitandaoni. Lakini miaka inaenda, mvi zinaota kichwani, nyuso zinajikunja kwa kupigwa na maisha magumu na hatuteuliwi kugombea au kupewa nyadhifa. Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu utasikia CCM ina wenyewe. Hapo...
  11. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania CHADEMA lialia tukutane hapa

    Mimi Ni mmoja wa wanachama wa CHADEMA ambao kutwa Ni kulia Lia mitandaoni tu. Mara Katiba mpya, tume huru, kukosoa mawaziri bhaasi tumemaliza ila kwenye CHADEMA hatuna demokrasia (kikomo cha miaka ya viongozi kukaa madarakani) mfano Mwenyekiti wetu yupo madarakani muda mrefu Ila ndo hatuna cha...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Darasa la Saba 2022 tukutane hapa tutiane moyo

    Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo. Yaani nina hasira kali sana kiasi sijajua nichukue hatua gani dhidi ya uongozi wa shule. Naombeni...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

    Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo wakafurahia na kunishauri nichukue mwingine wa Tsh 5m. Nikafikiria na baada ya mwezi nikachukua mkopo...
  14. Faana

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

    Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake> Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007. He was taken to the University Hospital in Kinshasa, where he died the next morning, Saturday 11 August 2007. His last album,
  15. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi juta Mara baada ya Kutoa msaada?Tukutane hapa

    Roho za huruma huangusha wengi, japo kwa imani tunaamini tenda wema malipo yaja. Nimewahi msaidia mtu, nikabaki kupigwa majungu na niliye msaidia. Hiko hivi ni jamaa tunayejuana naye, siku alipohitajika na wakubwa kazini sikuwa karibu yake kwa kuonyesha kujali ikabidi niwaulize watu kadhaa kea...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania 🇧🇷Mashabiki wa Brazil World Cup 2022 Qatar tukutane hapa🇧🇷

    Position No. Player Club Age Caps GK 1 Alisson Liverpool (ENG) 30 56 GK 23 Ederson Manchester City (ENG) 29 18 GK 12 Weverton Palmeiras (BRA) 34 11 DEF 4 Marquinhos PSG (FRA) 28 70 DEF 14 Eder Militao Real Madrid (SPA) 24 23 DEF 3 Thiago Silva Chelsea (ENG) 38 108 DEF 2 Danilo...
  17. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wale tuliounganishwa na kifurushi cha DStv Business halafu wakatubadilikia tukutane hapa tujifariji

    Wiki chache zilizopita mawakala wa DStv walitushawishi tujiunge na Dstv business kwa kifurushi cha Work Essential ambacho tulikuwa tunalipa 28,000/= na kupata mechi za EPL, La Liga, Serie A, Europa League na mechi chache za Uefa Champions League. Sasa kumbe ulikuwa mtego, watu tukaunganishwa...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wavuta sigara tukutane hapa: unapenda sigara ipi, unapenda kuvutia mazingira yapi na una lipi la ziada ?

    hamuwezi kuamini hata rafiki zangu wa karibu na ndugu mpaka leo hawajui kama navuta 😂😂 nikiwa maeneo ya karibu na home napenda kuvuta kwa kujificha ila nikiwa mitaa ya mbali au nje ya mkoa naweza kuvuta wazi. Binafsi nimevuta sigara za aina nyingi kuanzia embassy, club, spoti, nyota, winston...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  20. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tuliowahi kula michango, tukutane hapa

    Hela bwana Shetani sana hahahaah, hivi kuna mtu umewahi kukusanya mchango hata wa msiba tu halafu usichomoe hata 10,000 yaaani lazima itakuja kishawishi tu utachomoa sijui kwanini! Hivi kuna mtu ambaye hajawahi hata siku moja umechangisha hata kuchomoa kidogo?
Back
Top Bottom