tukutane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenye kujua kazi ya 2% ya makato ya Mshahara wake kwenda CWT tukutane hapa

    Niko siti ya mbele karibuni walimu. Tahadhari, walimu wa ajira mpya itakayotolewa mapema mjihadhari na mkato ya 2% ya vyama vya wafanyakazi, lipeni 5,000 makato ya kila mwezi. KARIBUNI
  2. Kilimbatzz

    JamiiForums Tanzania Wale tunaomuua Simba leo tukutane hapa

    Leo Simba mnyama mkali mwituni (in Greatest Of All Time 's voice) anacheza na Marumo Gallants ya hapa Bongo, hivyo Mimi kama Afisa Ubashiri Mwandamizi Daraja D (Iwapo Mama akifanya kweli May hii naenda Daraja E) napenda kuwasanua kuhusu mchongo pesa. Popote ilipo hii game,iwe 1,xbet au...
  3. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Sukuma gang ni kina nani?

    Wadau Nawasabahi Nimekuwa nasikia kuna Kundi linaitwa SUKUMA GANG je Kundi hili ni la kina NANI?Je lina Lengo gani Uwepo wake?Je Ofisi zao zipo Wapi?Je Kiongozi wao ni NANI? Na kwanini liitwe SUKUMA GANG je ni kwa Ajili ya Wasukuma tu? Mwenye UFAHAMU wa Kundi hii ATUJUZE.
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kulilia mbususu hadi kuipata, japo kwa ugumu tukutane hapa

    27th April niliamua kumbananisha kwa ukuta binti mmoja mwenye 23 yrs, tako mbudule, ka nane fulani hivi kwenye nyonga na weusi wa mzeituni. Bila kuchelewa nikaanza kukafungukia ya moyoni, hakakuwa serious kiivyo, kakaishia kunipush na kuondoka zake 29th April mida ya jioni tulikuwa na party la...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania UVCCM Waliojiunga na mafunzo ya mradi wa jenga kesho iliyo bora (BBT) tukutane hapa

    Karibuni!!!
  6. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa nyama, pombe na ngono tukutane hapa

    Pombe kiasi, utamu wa wife na nyama choma ni tiba tosha. Kitimoto na konyagi, huku natomaswa na mama watoto huku naye akiwa na glass yake ya Amarula, aiseee, usiku unakuwa mfupi sana, tunasahau shida zote na paradise inakuwa ni mali yetu halali. Kama tuna share the same interest hebu tujumuike...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Rivers United fc tukutane hapa

    Umebaki muda mchache kwa sisi mashabiki wa Rivers United fc kuwakanda vibonde wetu kutoka Tanzania, Yanga Afirika fc. Mashabiki wa Rivers United tukutane hapa mida ya saa 8 mchana kwa hapa Nigeria
  8. Mributz

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid Al Fitr Waislam wote

    Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu" . Kupitia Ukurasa wake wa...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Wastaafu Waliostaafu January 2023 ambao wameshalipwa mafao/ kiinua mgongo chao tukutane hapa

    Kuna utata kuhusu ulipwaji wa mafao ya kustaafu. Tunaomba waliolipwa mafao yao mwaka 2023 tukutane hapa.
  10. nashukuru mzima

    JamiiForums Tanzania Vijana Tukatae ndoa

    Habari za usiku. Ndoa ni utumwa. Ndoa ni umasikini. Ndoa ni source ya mafarakano Ndoa ina leta chuki. Ndoa ni ubinafsi. Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa. Kijana KATAA NDOA FANYA MAISHA
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tuliocheza disco dhamani mpaka miguu inatetemeka tukutane hapa

    Maisha ni safari ndefu sana maana tulipotoka sipo tulipo sasa maana maisha yamebadilika sana. Huko nyuma kipindi kama hichi cha sikikuu watu walicheza disco na kukata ngoma haswaa, wale wa kijijini walicheza mpaka nyasi ziling'oka. Walikuwepo making wa dancing floor yaani akianza kukata wote...
  12. Deadbody

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi chakata papuchi za baridi tukutane hapa

    Dah wakuu hizi papuchi zinatesa sana. Niliwahi kutana na demu wa Singida aisee ,mtoto mkali anavutia sana kwa nje lakini kufika kunako 6×6 kila nikiweka sikojoi. Mara saa moja inakatika bado sijakojoa,wakati huo yeye ashakojoa Mara Tatu. Mnara unasoma 5G ila sikukojoa ,kila nikibadili style...
  13. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa vitonga tukutane hapa

    Kuna watu wameumbwa duniani na fani zao, leo tuzungumzie wale wazee wa vitonga. Mjini kugumu ila ukiwa mzee wa vitonga unaona mji mwepesi maisha yanaendelea. Bali ukiwa kitonga kuna vitu lazima uwe navyo au uvifanye kwa maisha yetu ya kimjini mjini. 1: Kitonga lazima ujue kulenga eneo la...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaozichukia simu kubwa, tunapendelea zaidi simu ndogo tunazoweza kuzimudu kiganjani kiurahisi

    Yaani siku hizi ukienda madukani simu nyingi sana za kisasa (smartphones) huwa ni kubwa kwa umbo, yani urefu tu ni kama mkebe na hii ni kero kwangu, binafsi napendelea zaidi simu ambazo zinakaa fresh kiganjani walau zikizidi sana basi iwe ni sentimita 14 na nusu kwa urefu. Simu kuziweka...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Wale ambao wake zetu bila kuwaomba mzigo hatupewi tukutane hapa

    Yaani hata ukikaa wiki bila kushiriki mechi hauulizwi chochote wala haukumbushwi
  16. W

    JamiiForums Tanzania Wale wa bao moja chaliii tukutane tufarijiane na kujadili kivyetuvyetu!

    Nazungumzia wale ambao tunapiga kabao ketu ndani ya dakika 2-3 na baada ya hapo huo usingizi unaokuja si wa nchi hii....unalala saa mbili na dakika tatu usiku (baada ya kupiga kabao kako) na, kama hujaamshwa, basi unaweza kujikuta unaamka hata saa tatu asubuhi kesho yake. Najua tupo wengi humu...
  17. Daktari wa Manchester

    JamiiForums Tanzania Kanuni 9 ambazo kila mwanaume inabidi azijue

    Habari za muda huu. Hizi ndio sheria 9 ambazo kila mwanaume inabidi asijue! 1. Mwanaume inabidi uweze ku control hisia zako. 2. Mwanaume inabidi uwe na uwezo kwa kuchanganua mambo kwa kutumia logic. 3. Mwanaume inabidi awe na uwezo wa kucontrol hasira zake. 4. Mwanaume hutakiwi kujieleza...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa watumishi ambao hawategemei mishahara, tuelezane changamoto na mbinu

    Nimefungua huu uzi kwa ajili ya kuwakutanisha watumishi wote wenye idea ya ujasiriamali, wanaofanya biashara,kilimo,ufugaji na wanaotarajia kufanya biashara, kilimo na ufugaji n.k Kwa ugumu wa maisha jinsi ulivyo mfumuko wa bei ni ndoto kwa sisi watumishi wa halmashauri kutoboa, Kuna clip moja...
  19. Jack Palladino

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

    Chat na picha ya kinywaji🥂
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata division zero na four tukutane hapa. Je, tunajuta?

    Wazee wa baka bencha mpo (ilininichukua miaka mingi kujua kwamba Ilikua inamaanisha back bench yaani seat ya nyuma 😁😁). Nimeingia secondary Mwanza pale nyakabungo nikazingua vibaya mno nikafukuzwa Shule nikahamia Thaqafa secondary kwa ogweyo na opiyo nikatandika zero takatifu. Kiukweli...
Back
Top Bottom