tukio

Arto Tukio (born April 4, 1981) is a Finnish professional ice hockey defenceman, currently playing for Ilves in the SM-liiga.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini tukio la mwezi kupasuka/kugawanyika vipande viwili lilionekana Mecca, Saudia tu?

    Kwa nini tofauti na maandiko kutoka Mecca hakuna rekodi nyingine yoyote ya kihistoria duniani kwingine kote kuhusu binadamu mwingine yeyote kuwahi kushuhudia mwezi ukigawanyika vipande viwili kama ilivyoandika katika Surah Al-Qamar 54:1–2? Hii ni kwa kuzingatia pia kwamba dunia ni sayari yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Tukio lingine tena la mwanamke kujilipua bomu sokoni, Uganda

    Museveni siku hizi amelegea, makobaz ameyaachia yanaanza kuzagaa na yanamshika kidevu, hili ni tukio la pili mwanamke kujilipua bomu. Kuna lile la kwanza ambapo mwanamke na mwanaume walilipukiwa na bomu walilokusudia kutumia kulipua Wakatoliki waliokua wamekwenda kuhiji. Halafu hili soko...
  3. JamiiForums Tanzania Hili tukio limenifanya nitumie choo (toilet 🚽) vizuri na kwa adabu. Ni tukio la kusikitisha mno na lenye funzo

    No reforms no election! Iran piga hao Israel! Nilikuwa form five ambapo siku moja nilipewa kazi ya kudeki choo cha walimu, bila kufanya ajizi nikachukua ndoo zangu mbili nikaenda bombani kuchota maji. Nilipotoka bombani wakati nakaribia choo cha waalimu ambalo lilikuwa karibu kabisa na staff...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Iran inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa

    Iran leo inapanga maandamano makubwa almaarufu "Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi," baada ya sala ya Ijumaa. Tukio hilo, linakusudiwa kuonyesha umoja na ukaidi katika kukabiliana na mashambulizi wa Israeli. Iran plans public rallies after Friday prayers amid ongoing Israeli strikes Public...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Je, uliyapokeaje matokeo yako ya mitihani?. Na je ni tukio gani la kimatokeo ambalo ukilikumbuka hukuacha hoi hadi leo!?

    Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau vialama vyangu vilinifanya nipande basi la sumry, kwa mara kwanza na kutua ndani ya hii shule ambayo ni...
  6. JamiiForums Tanzania Israel kuhusu tukio la octoba ilituchezea akili. Ilishirikiana na Hamas wahuni kuteka wale watu ipate sababu

    Israel haikuwa inawataka wale mateka.hawa jamaa ni wahuni sana.walijitekesha ili wapate sababu ya kutupiga Hamas na Hirizbola. Ndo maana hawakutaka hata kuwatafuta Israel haikushindwa wapata mateka.sema imewatoka kafara ili sasa ipatikane sababu ya kuichakaza Gaza,Hamas na Hirzibollah. Na sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Tukio hili siwezi msahau mchumba wangu Aisha. Aliyemwoa atalaaniwa kabisa

    MARA YA KWANZA NAFINYIWA KWA NDANI. Aliifinyia kwa ndani.... Nlishtuka nikapiga nduru, Aishaaaaaaaaaaaa unafanya nini sasa.... Nikamwaga mzigo woooote... Nikawa kama nimezimia. Ile kelele nlitoa wacha. Wakati huo kanikalia..... Alikuwa kachuchumaa akasugua akasugua akasugua... Nlipoanza...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tukio la mwanafunzi aliyejifungulia chooni limemtia aibu RC zaidi kuliko hata hao walimu

    Kupitia taarifa ya habari STAR TV naona habari huko Tabora kuna mwanagunzi wa shule ya waschana Tabora akiwa amejifungulia chooni na mtoto kufariki. RC amefika hapo na nimemsikia anasema eti walimu waliokaa hapo kwa zaidi ya miaka 10 wahamishwe Anaelekeza zaidi kwamba makamu wa mkuu wa shule...
  9. JamiiForums Tanzania Je, una tukio gani la bodaboda lililowahi kukuudhi?

    Ukimkuta bodaboda hospitali amevunjika viungo chake vya mwili utamwaga machozi mengi sana. Lakini pindi unapomwaga machozi yako usijaribu kukumbuka fujo zao za mtaani/barabarani, hakika machozi yako yatakata papo hapo, utaanza kucheka kitu ambacho si kizuri kama binadamu. Aisee hawa jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania Mapenzi kamali. Leo nimepigwa tukio sijuhi nimueleweje

    Nilimsajilia line kwa jina langu, sasa nimegundua ananificha mwanaume mwingine... je, msamaha wake ni wa kweli? Mwili wa Uzi: Naomba msaada wa mawazo ya kweli kutoka kwa watu waliotulia na waliowahi kupitia maisha haya. Niko kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye nimekuwa naye kwa muda sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Uchawi hupo hii ni live tukio wala sio sinema.

    Kuna kipindi kinaitwa Easterntv kupitia youtube kikionesha kisa kilianza baada ya jamaa mwenye kipindi kuibua challange ya wapenzi ambaye mwanamke wake kumbe alikuwa anauza watoto na kuwaotoa bone marrow. kama mnaweza kufatilia mtafatilia mwanzo mpaka sasa. Sasa askari wamemtafuta sana ila baada...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    Hotuba ya Mh Rais jana imeleta feelings mpya among Tanzanians particularly kuhusu watu kutekwa, kuuawa, kupotezwa. Swali lilikuwa nani anawateka? ni akina nani watu wasiojulikana? Ni kama kitendawili kimeteguliwa jana! Watu fikra zinaweza kuwa zimebadilik kuhusu mustakabali wa taifa hili...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya tukio la Gwajimanization, kati ya hawa nani utampigia kura ya urais

    1. Lisu 2. Gwajima 3. Samia Active please moderator futa thread hii nimetengeneza nyingine as per your format
  14. JamiiForums Tanzania Itakuwa tukio la kukumbukwa pale ma-captain wa vivuko vya Kigongo Busisi watakapopanga foleni kuwaaga wananchi waliowahudumia kwa miaka zaidi ya 50

    Moja kati ya matukio muhimu ambalo nataraji litapewa nafasi, ni kwa hawa manahodha wa vivuko kuandaa kama ki-parade hivi, wakiwa na mavazi yao meupe, kofia zao, huku wakipunga bendera ya taifa kuashiria kwamba wamekamilisha kazi yao ya kishujaa kwa uaminifu na uzalendo mkubwa, na sasa wanawaaga...
  15. JamiiForums Tanzania Jambo pekee la fainali ya CAFCC lililonifurahisha

    Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha. Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho mzuri wa story ya Simba katika mashindano haya. Mutale alianza msimu vibaya na mimi ni mmoja wa watu...
  16. JamiiForums Tanzania Tafakari kwa makini sana kuhusu hili tukio

    Hii si picha ngeni miongoni mwetu.. Tumeshaiona mara nyingi tuu.. Tukasikitika kidogo kisha maisha yakasonga FIKIRIA HILI KWA TAFAKURI Simba hakumwona kamwe hakumuona mtoto… alichoona yeye ni mawindo.. lakini mtoto aliona kila kitu...! Katika maisha yasiyo na huruma ya...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA wapokea wanachama wapya 3,000 pamoja na kuzindua kampeni mpya ya C4C

    https://www.youtube.com/live/yCcgZ-kIQos Hali ilivyo kwenye ukumbi ambapo kunafanyika Mkutano wa CHAUMMA Devotha Minja: Kila anayeamini uwepo wa Mungu anatakiwa kujiunga na CHAUMMA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Tanzania Bara, Devotha Minja amesema kila Mtu...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tukio la Martha Karua kuzuiwa Uwanja wa ndege limepindua meza, sasa no reform election

    Uwanja wa Ndege Julius Nyerere Intl Airport Dar es Salaam CHADEMA YAPATA BALOZI Ni dhahiri hatua ya serikali ya Dr. Samia Hassan kuwatimua waangalizi huru wa kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu imepata coverage kubwa katika lugha ya English duniani kote tofauti na siku za nyuma ambapo...
  19. JamiiForums Tanzania Mtu wa kwanza kukamatwa lile tukio la kujeruhiwa kwa Padri Kitima mbona hapelekwi mahakamani? Au movie imebuma?

    Ni wiki ya pili imeisha sasa na mtuhumiwa hajafikiswa mahakamani kulikoni? Nisema mtu wa kwanza kukamwata ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa pale pale Centre ilikiwa ni Move kama za India. Pale ilikuwa baasae abanwe asema alikuwa na ugomvu binafisi na Padri Kitima. Move imekuja kuharibika kupitia...
  20. JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…