Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao.

Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna Tukio Kubwa baya limetokea na limeua Mtu / Watu huku lawana nyingi zikielekezwa Kwao ili Kumzuga Rais na Wao kulinda Nafasi zao huamua Kudanganya Watu kwa kwenda Magerezani na Kuwabeba Majambazi Sugu kisha kuwaweka katika Gari ( hasa NOAH ) na kwenda Kuwauwa kisha wanasema kuwa miongoni mwao ndiyo walifanya Tukio la Karibuni.

Kiukweli Maisha ya hapa nchini Puerto Rico sasa si mazuri kwani Kwanza Gharama za Maisha zimepanda halafu kuna Uhalifu mkubwa hivyo nafikiria kurejea zangu tu Nyumbani nchini Tanzania ambako ni Salama, Maisha ni mepesi, Uhalifu hakuna kabisa na hata mzunguko wa Fedha ni mkubwa tofauti na hapa nilipo.

Cc: adriz, Daudi Mchambuzi, Bujibuji Simba Nyamaume etc.
 
Kuna waliokamatwa na askari kwa kesi ya uzururaji ahsubuhi na kusekwa rumande!! Kwamba eti wanaweza kuwa panya road !

Nina uhakika asilimia 100% sio wote walio uliwa wanahatia..

Kuna namna nchi tunakosea pakubwa sana bila kuwa na maono ya mbali tutapotea.. kuwasaidia tu ongezeni nguvu kwa wajumbe wa nyumba 10/10 kusanyeni maelezo kupitia huko na hakikisheni vijana wote wote wanajisajili kupitia wajumbe husika na shughuli zao itakuwa ni mwanzo tu.. watakao kaidi hao mnaanza nao taratibu mbiambie kama panya barabara wataendelea kuwepo

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣 rudi nyumbani kumenoga
Niko njiani Kurejea Mkuu. Mfano leo Mkuu wa Police wa Mkoa wa Kibiashara hapa Puerto Rico Afande Rolimu ametudanganya wazi wazi kuwa Wamewaua baadhi ya Wahalifu wa Matukio mabaya ya hivi karibuni wakati wenye Akili tumegundua kuwa hao Waliowaua ni wale Majambazi Sugu na Wamewaua ili Kumlinda IGP Wao, Kulinda Nafasi ( Nyadhifa ) zao lakini pia Kumzuga Mheshimiwa Rais ili asikasirike.

Bora tu nirejee zangu huko Tanzania.
 
Mkuu kwani na Wewe tuko wote hapa nchini Puerto Rico au labda Umechanganya Uzi?

Kama tuko wote turejee tu Tanzania.
 
Muda mrefu sana tulikosa updates zako kutoka Puerto Rico na Nicaragua nikajua labda labda umepata vitisho kutoka mamlaka za Puerto Rico kutokana na kuwachafua kipindi cha Rais wao ambaye wapinzani walikuwa wanadai ni Hitler wa P.Rico naona sasa umeanza tena kampeni zako.
 
Panya road ni vijana wadogo sana, wengi wao ni watoto wa mtaani kwa maana wamekuja kusaka maisha wakitokea mikoani ama wameshindikana majumbani mwao hivyo wameamua kuingia kitaa.
Mchana wanaomba na kuosha vioo vya magari pale ubungo na mwenge, wengine wanazunguka kule feri na coco munawaita beach boy, sijui kama kuna mmoja wetu hapa keshabahatisha kuona wakipigana wenyewe kwa wenyewe baada ya kuzulumiana, hautatizama mara mbili, viwembe, visu na mawe ndio silaha.
Sasa jiulize wakikuvamia wewe kwako unadhani kukucharanga na mapanga kwao ni ishu?
Polisi wasituzuge, hawa watoto wapo na watajibu mapigo muda sio mrefu, ondoeni hawa vijana barabarani, ni bomu.
 
Mkuu GENTAMYCINE nipe connection huko Puerto Rico maana unasema maisha magumu wakati nimeona kwenye Tv wezi wameendelea wanatumia mpaka magari wakati Nicaragua wezi kama hao wanatembea na siraha za jadi mitaani na ndala buku jero.
Kwa jinsi sasa Police wa hapa nchini Puerto Rico wanavyokamata hovyo Watu kutokana na Kukurupuka Kwao katika kila Kijiwe ukienda unatahadharishwa mapema kuwa Silaha yako Kuu katika kuwakwepa Askari Polisi katika Viunga vya Mji Mkuu ni Mwendo ( Kutoka Baruti ) tu.
 
Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao.

Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna Tukio Kubwa baya limetokea na limeua Mtu / Watu huku lawana nyingi zikielekezwa Kwao ili Kumzuga Rais na Wao kulinda Nafasi zao huamua Kudanganya Watu kwa kwenda Magerezani na Kuwabeba Majambazi Sugu kisha kuwaweka katika Gari ( hasa NOAH ) na kwenda Kuwauwa kisha wanasema kuwa miongoni mwao ndiyo walifanya Tukio la Karibuni.

Kiukweli Maisha ya hapa nchini Puerto Rico sasa si mazuri kwani Kwanza Gharama za Maisha zimepanda halafu kuna Uhalifu mkubwa hivyo nafikiria kurejea zangu tu Nyumbani nchini Tanzania ambako ni Salama, Maisha ni mepesi, Uhalifu hakuna kabisa na hata mzunguko wa Fedha ni mkubwa tofauti na hapa nilipo.

Cc: adriz, Daudi Mchambuzi, Bujibuji Simba Nyamaume etc.
Huku sio shwari kaka.

Wanaingia getini wanavunja.
 
Niliuliza maswali mawili

1.) Panya Road wametoa wapi Noah?

2.) Hivi mtu mwenye silaha ya moto anakwambia shuka halafu ushuke na panga?
Askari Polisi wa hapa nchini Puerto Rico hasa huyu Afande Rolimu ni Waongo na Wasanii sana.

Natamani mno waje huko Tanzania Kwenu ( Kwetu ) ili wajifunze Ubora wa Jeshi la Polisi la Tanzania na Utendaji wake Uliotukuka.
 
Panya road ni vijana wadogo sana, wengi wao ni watoto wa mtaani kwa maana wamekuja kusaka maisha wakitokea mikoani ama wameshindikana majumbani mwao hivyo wameamua kuingia kitaa.
Mchana wanaomba na kuosha vioo vya magari pale ubungo na mwenge, wengine wanazunguka kule feri na coco munawaita beach boy, sijui kama kuna mmoja wetu hapa keshabahatisha kuona wakipigana wenyewe kwa wenyewe baada ya kuzulumiana, hautatizama mara mbili, viwembe, visu na mawe ndio silaha.
Sasa jiulize wakikuvamia wewe kwako unadhani kukucharanga na mapanga kwao ni ishu?
Polisi wasituzuge, hawa watoto wapo na watajibu mapigo muda sio mrefu, ondoeni hawa vijana barabarani, ni bomu.
Samahani Mkuu unawasema Polisi wa hapa nchini Puerto Rico au wa Malawi ya Kaskazini?
 
Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao.

Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna Tukio Kubwa baya limetokea na limeua Mtu / Watu huku lawana nyingi zikielekezwa Kwao ili Kumzuga Rais na Wao kulinda Nafasi zao huamua Kudanganya Watu kwa kwenda Magerezani na Kuwabeba Majambazi Sugu kisha kuwaweka katika Gari ( hasa NOAH ) na kwenda Kuwauwa kisha wanasema kuwa miongoni mwao ndiyo walifanya Tukio la Karibuni.

Kiukweli Maisha ya hapa nchini Puerto Rico sasa si mazuri kwani Kwanza Gharama za Maisha zimepanda halafu kuna Uhalifu mkubwa hivyo nafikiria kurejea zangu tu Nyumbani nchini Tanzania ambako ni Salama, Maisha ni mepesi, Uhalifu hakuna kabisa na hata mzunguko wa Fedha ni mkubwa tofauti na hapa nilipo.

Cc: adriz, Daudi Mchambuzi, Bujibuji Simba Nyamaume etc.
ukiwa mwafrika bas hutakuwa na solutions dhidi ya matatizo yako , ukiwa na dhaman ya kumlinda mwafrika , bas hata ufanye kipi atakifiria kwa ubaya , ngoz nyeus haina fadhira kbs mtu Anaamini fununu kuliko ukwel anaouona
 
Niko njiani Kurejea Mkuu. Mfano leo Mkuu wa Police wa Mkoa wa Kibiashara hapa Puerto Rico Afande Rolimu ametudanganya wazi wazi kuwa Wamewaua baadhi ya Wahalifu wa Matukio mabaya ya hivi karibuni wakati wenye Akili tumegundua kuwa hao Waliowaua ni wale Majambazi Sugu na Wamewaua ili Kumlinda IGP Wao, Kulinda Nafasi ( Nyadhifa ) zao lakini pia Kumzuga Mheshimiwa Rais ili asikasirike.

Bora tu nirejee zangu huko Tanzania.
angalia habari acha kuishi kwa makisio
 
Back
Top Bottom