tujuzane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nani anamfahamu mmilikiwa wa Cheche Times anaeneza sana chuki za kidini. Naombeni Tujuzane

    Nimekuwa nikiingia Facebook na Instagram nakutana na machapisho sponsored yenye chuki za kidini ambayo ni taarifa za kueneza chuki za kidini au upotoshaji. Mtu huyu wa Cheche Times analipia kabisa matangazo katika majukwaa ya Instagram na Facebook. Posts zake ni kashfa zaidi za...
  2. R

    Tujuzane kwenye hii video ni Kiongozi gani anaombewa

    Tuko kwenye maombi ya siku 7 kuombea wanaume wa Tanzania kinyume na roho za mauti kama tulivyoagizwa na Mungu. Leo ikiwa ni siku ya 3, haya ni baadhi ya aliyoyafunua Roho Mtakatifu katikati ya maombi.
  3. R

    Lisu mahakamani: Tujuzane nini kinaendelea leo.

    Hakuna farasi, mbwa, polisi na mambo kama hayo? : Ok kumbe leo kuna kesi ya wazanzibar kupinga mgaanyo wa mali za chadema https://www.youtube.com/watch?v=Do9923cZGMg
  4. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  5. Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

    Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida. Sasa jifanye unanunua vyote hivyo...
  6. Tujuzane machimbo ya wachina Dar, furniture na vifaa vya ujenzi

    Mimi naomba kujua chimbo la furniture za kichina. Kuanzia makabati ya jikoni, sofa, vitanda NK, pia vifaa vyote vya ujenzi. Kama una number za simu please share . NB, ni ktk kutafuta unafuu wa bei, sio kuua biashara za wazawa 😜 Asante
  7. Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  8. Biashara Biashara Tujuzane Hapaa

    Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara inayokua haraka. Maelezo ya Biashara: Aina ya Biashara: Duka la vipuri vya pikipiki na matairi...
  9. O

    Tujuzane kwa wale wenye ndoto za kuhama nchi kwa ajili ya utafututaji

    Habari zenu wanajukwaa, Lengo la huu uzi ni kupeana Connection nje ya nchi hususani Fursa za kazi na ushauri kwa watu ambao wameshaishi nje ya nchi na ambao wako nje ya nchi Kwa hiyo kwa wale wenye michongo nje ya nchi basi tupeane coz humu JamiiForums kuna Diaspora wengi tunaweza saidiana...
  10. Aliyepata mke kwenye bar au sehemu yeyote ya pombe tujuzane

    Kama kilivyo kichwa Cha habari hapo juu yeyote aliyepata mke kwenye sehemu hizo atoe ushuhuda pia anipe muongozo Kwa maana mpaka Leo natafuta mke wa kuishi nayo sehemu hizi Kwa sababu Wahudumu wasafi wanyenyekevu warembo pia wazuri Inafikia hatua hadi natafutiwa mke nawajibu Bado...
  11. Bajeti ya Jeshi la Polisi kutoa Elimu kwa Raia ni kiasi gani mwaka?

    Habri Wakuu, Nimewahi kujiuliza swali kuhusu elimu za kiraia ambazo jeshi la polisi huwa linatoa huwa ni finyu sana. Hakuna vipindi vya TV ama majarida yanayotoa elimu kwa Raia kuhusu haki zao ama uhuru wao. Wajuzi wa mambo nawafuatiliaji wa bajeti za Serikali embu tujuzane hapa. Bajeti ya...
  12. Tujuzane ukweli kuhusu gari kijerumani, hasa hasa AUDI

    Wakuu mko njema? Kwanza tupeane Pole kama Taifa na Janga la Kariakoo! Tumuombe Mungu asimamie afya za majeruhi na kuwarehemu waliofariki🙏 Tukirudi kwenye mada. Nimekuwa interested sana na AUDI A5 SportBack Quattro TFSI. Hivi nikivuta hii nitakuwa sijajichanganya kweli?(au nijirudishe tu kwenye...
  13. O

    Tujuzane printer nzuri kwa ajili ya kazi tofauti tofauti

    Katika Uzi huu tujadili printer nzuri za kuprint kwa level za stationery mpaka viwanda vidogo Vidogo au kampuni za kufanya printing. Tujadili na kuuliza maswali kuhusu aina ya printer, ubora , changamoto na bei zake kulingana kazi atakayotaja mtu yoyote, tunaweza kuanzia printer ndogo kabisa...
  14. Tujuzane mwenzenu nimeponea chupu chupu, je hali hii na kwenu Ipo?

    Ndugu zangu Mtaani Kwetu mambo si Mambo hali Inatisha Mwenzenu ilikuwa ndio Basi tena. Kuanzia Mwanzo wa Mwezi huu Wa kumi nilianza Kujihisi Uchovu Usio na kipimo. Nilianza Kusikia Viungo vikiniuma Sana hasa Mabega ,Mgongo,Kiuno,Kichwa mala Mikono Mwanzo Sikuwekea Maanani Kivile Siku zikaenda...
  15. Lodge chini ya 10000 jaman tujuzane

    Rejeankichwa cha habari hapo juu Naomba kujua Lodge enye bei chini ya 10000 tujuzane pls Majibu yote kuzingatiwaa
  16. Lodge chini ya 10000 tujuzane wapendwa....

    .wenye kujua Lodge nzuri chini ya 10000 tujuzane wapendwa Majibu ya heshima na hekimas kuratibiwa
  17. Kwa wapenzi wa simu za Samsung Galaxy A series, ngoja leo tujuzane kitu kidogo

    Wakuu! Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina specifications kubwa chini kidooogo ya Note Series, S series na Z Series. Sasa ukiwa unataka kununua...
  18. Tujuzane Naweza Pata soko la ununuaji funza

    Tujuzane soko la ununuji funza lipo vipi
  19. R

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
  20. Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

    Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo. Nikianza namimi binafsi maneno...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…