Tujuzane maneno sahihi ya Kiswahili...

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
27,207
59,990
Mada hii itakuwa ni mada maalum ya kujulishana usahihi wa maneno yakiswahili,sanasana uandishi wa maneno hayo au maana n.k

Yapo maneno yanayotutatiza ama katika uandishi au matumizi yake,hapa pawe uwanja wakuchambua,kurekebisha nakuelimishana juu ya maneno hayo.
Nikianza namimi binafsi maneno haya yamekuwa yakinitatanisha...

1. Muziki au Mziki Kati ya hayo mawili lipi ni neno sahihi..??
itakuwa vyema jibu likitoka na sababu.

2. husda au husuda...??

orodha itaendelea kadri mjadala utakavyokuwa ukiendelea,lakini pia ningependa kugusia kitu hichi kidogo ni kutofurahishwa na baadhi ya maneno mapya ambayo yamekuwa yakitengenezwa ili kupanua lugha yetu!. Maneno hayo ni akili mnemba (artificial intelligence) na pia ndege nyuki yani (drone).
hili la ndege nyuki badala yakukaa kama jina limekaa kama sentensi!,ningeshauri kutunga majina badala ya kuunga sentensi!.
akili mnemba pendekezo langu ingeitwa akili sanifu!.

karibuni kwa mjadala.
 
1. Muziki
2. Husda

Ova
 
Sio ndege nyuki ni ndegenyuki. Ukisema ndege nyuki inakuwa kama jina lake na la baba yake au scientific names
ahsante kwa sahihisho lakini bado sijalipenda hilo jina... hao wazee wanaounda hayo maneno wawaalike na vijana ili mambo yaende sawa..
 
Kawaida ukialika mgeni lazima ale, kama ulivyo utamaduni wa kiafrica na kitanzania, the problem is hakuna chakula chako, hivyo huwezi alikwa maana lazima tu utadai chakula na ni haki yako kula.

Wacha wenyeji wajaze mitumbo yao.
 
Back
Top Bottom