Tujuzane Naweza Pata soko la ununuaji funza

Funza wanao kaa chini kwenye taka zilizo oza angalia kuku wa Singida ulete jibu hapa
hivyo singida kuna mafunza ya taka ardhini.., mikoa mingine hamna taka

hapo singida kinachokuza kuku anza na hali ya hewa ya joto zuri pia mashudu ya alizeti yanayopatikana kwa wingi
 
Back
Top Bottom