Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,755
- 2,861
Katibu Mkuu wa chama Cha Kutetea Haki na Maslahi ya Walimu Tanzania (CHAKAMWATA), mwalimu Kapange, amesema amechukizwa na Risala ya TUCTA ambayo ilikuwa imekaa kichonganishi kwa kumtaka Rais Samia kuvifungia vyama vya wafanyakazi nchini.