sameer0220
Member
- Nov 10, 2024
- 21
- 37
Kwa mtazamo wangu tangu nimeanza kufatilia siasa nimeona kwamba watanzania wengi wamejaa kwenye uchama na sio Fikra zao binafsi
Kila jambo litakalosemwa na kiongozi wa chama alichochagua kukifuata basi anakishangalia bila kujali fikra yake,
Na wakati mwingine kiongozi wa vyama hivyo wanaongea ujinga lakini bado watu wanashangilia.
Ila tukiwa na fikra huru tutaweza kujikomboa kwa kupima kila kinachosemwa na kuziona red flag na kuchunguza na kuchagua kiongozi mzuri bila kujali chama chochote.