comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,353
- 16,957
Mtu unapewa elfu 20 ukalete fujo Kwenye mkutano wa siasa, unahatarisha Maisha Kwa sababu ya hela ndogo, wakati waliokutuma wamekaa wamekunja 4 wanajilimbikizia Mali nyie ndio mnawekwa mbele kama chambo...
ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee
ila hawa VIJANA waangaliwe na mabosi zao waongezewe dau kuna Yule alipigwa Right 👊 sidhani kama leo ataamka, pesa ndogo inataka kukuua aiseee