Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,241
- 13,222
Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink.
Ni Nini?
Ni Nini?