trafiki

  1. Video: Bodaboda Kenya ajifanya Trafiki na kuongoza magari njia ya vumbi isiyojulikana

    Huko kwa majirani zetu Kenya bhana wamepinda sana, kuna video inasambaa ikimuonesha bodaboda akiwa amepaki pikipiki yake pembeni ya barabara, na umaridadi kabisa akaingia barabarani na kuanza kuongoza magari kutoka barabara ya lami na kuelekea njia ya vumbi ambayo haijulikani inaenda wapi...
  2. SoC03 Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kujigeuza Mahakama wanafanya uonevu mkubwa kwa madereva

    Ukiwauliza madereva, kama wangependa askari wa usalama barabarani wawepo au wasiwepo barabarani, utashangaa pale robo tatu ya idadi ya madereva uliowahoji watakapokujibu kuwa wangependa barabarani kusiwe na askari wa usalama barabarani. Ukiwauliza sababu ya wao kupenda hivyo watakwambia kwa...
  3. Trafiki Shinyanga Angalieni zile Trafific Light za Phantom Pale

    Eneo la Phantom sio geni kwa waenyeji wa Shinyanga na wanao pita highway kwenda au kutoka Mwanza. Hili eneo ni kero sana hasa wakat wa Jioni Sio ajabu ukiwa pale ukaona Gari dogo lina vuta barabara ilihali Traffic light inawaka taa NYEKUNDU kuashiria kusimama Sio Ajabu gari ukiwa pale...
  4. Kwanini Trafiki akisimamisha Daladala, anayeshuka ni Kondakta?

    Wakuu, kuna jambo nataka kujifunza leo, hivi ni utaratibu kwenye Madaladala (Hasa ya Dar) kwamba Trafiki akipiga mkono anayetakiwa kwenda kuongea naye ni Kondakta? Kwa ninavyofahamu ukisamishwa na Trafiki hautakiwi kushuka kwenye gari mpaka Trafiki aje akague anachokitaka bila wahusika wa gari...
  5. R

    Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele tunasubiri ajali mbaya itokee ndio hatua ichukuliwe?

    Habari wakuu, Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani. Kubwa zaidi...
  6. Kifo cha kugongwa na gari, trafiki muwe na kiasi

    Rai yangu ni kwa matrafiki kuwa na kiasi au kupunguza unoko. Fanya kazi kwa tahadhali gari likipotea njia halijui wewe ni trafiki.
  7. Polisi: Ruksa kumrekodi Trafiki anayechukua Rushwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua rushwa kwa madereva na kisha kumtumia ili awashughulikie. Kamanda Jongo amesema hayo leo wakati akizungumuza na madereva, abiria na mawakala wa vyombo vya usafiri...
  8. Mahakama yamwachia huru aliyedaiwa kumuua Trafiki, Serikali imeshindwa kuthibitisha

    Mfanyabiashara Aman Elikana (38) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya mauaji, ameachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake. Elikana alikuwa akituhumiwa kumuua askari Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani, mwenye namba...
  9. Askari wa JWTZ kizimbani kwa kukaidi amri halali ya askari wa Usalama Barabarani

    Habari zenu ndugu, Kutoka Dar, askari wa JWTZ apandishwa Kizimbani Kwa Kukaidi Amri Halali ya Askari Trafiki wakati akitekeleza Wajibu wake. Hii safi sana, lazima ieleweke kwamba utii wa Sheria bila shurti ni Kwa Kila raia bila kujali hadhi wala vyeo. Askari Jeshi hasa JKT mara nyingi Huwa...
  10. LATRA mtoe adhabu inayomhusu mhusika, mabasi mliyoyafungia hayana makosa, igeni wafanyavyo trafiki

    Trafiki hawawezi kulifungia gari kwa kosa la kutowasha taa usiku, watamuadhibu dereva. Mabasi mliyoyafungia hayana hitilafu yoyote tatizo ni madereva walizima ving'amuzi, hivyo madereva wangeadhibiwa. LATRA hayo mabasi yapo barabarani kwa mikopo benki na wamiliki wanatakiwa wailipe hiyo mikopo...
  11. Adui wa Dereva barabarani ni Dereva mwenzie, sio Trafiki wala Polisi

    Adui zetu wakubwa barabarani sio Polisi bali ni Madereva wenzetu. Kusema kweli adui zetu wakubwa barabarani ni madereva wenzetu kuliko hata hao Polisi tunaowaona maadui. Dereva anatumia nguvu nyingi kuchukua tahadhari dhidi ya Polisi kuliko hata dereva mwenzake. Kwa nini Polisi baadhi yetu...
  12. Jeshi la Polisi (Trafiki) lianze na vitu hivi ili kudhibiti ajali

    Haya ndiyo mambo muhimu sana kwenye kudhibiti ajali za barabarani; ~ Iwekwe sheria ambayo itahakikisha kabla ya anayetaka leseni ya udereva pamoja na mafunzo anapimwa macho na dakitari wa polisi au wa hosipitali ya serikali, madereva wengi wana tatizo la mtoto wa jicho ambalo husababisha uono...
  13. Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani. Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na...
  14. Video: Nini chanzo cha 'ujasiri' huu dhidi ya trafiki?

    Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na video hii ambayo kwa jicho la haraka inaonesha dereva akikaidi takwa la askari wa usalama barabarani kusimamisha gari. Jamaa ameonekana kugoma kufunga breki hata baada ya askari huyo kusimama mbele ya gari. Unadhani ni ipi sababu ya huyu bwana kuwa...
  15. D

    Jeshi la polisi hivi mnauhakika wale Trafiki pale mwenge (bagamoyo road) wanafanya kazi ya usalama barabarani?

    Nahisi kuna matumizi mabaya ya sare za jeshi la polisi trafiki pale Mwenge mataa, tank bovu, interchik n.k (bagamoyo road) Ukiwatazama utafikili wapo siliazi kabisa kufanya kazi ya jeshi la polisi, wanasimama na vimashine na vikaratasi vyao kukamata madaladala. Kinachonishangaza ni vile wako...
  16. D

    Ijue mipaka ya kimamlaka kwenye video ya mzozo wa mwanajeshi na trafiki wa usalama barabarani inayosambaa mitandaoni

    Kuna video inatembea mitandaoni! Video ile inamuonesha mwanajeshi wa jeshi la wananchi akiwa na sare akiwa ni moja ya abiria kwenye bus (daladala) akizozana na askari wa usalama barabarani (trafiki) Kipande hiko cha video kinaonesha kulikuwa na majibizano na lugha isiyofaa kabla! Maneno...
  17. S

    Aliyemrekodi nesi mbishi apandishwe cheo. Rais Magufuli alimpandisha cheo trafiki aliyemrekodi mke wa Waziri Mahiga

    Kuna clip imesambaa kwenye mitandao ikimuonyesha nesi anayelazimisha kutumika dawa zilizo expire. Huyu aliyerekodu video ile na ikarushwa tukaifaidi anastahili kupongezwa na kama ni mfanyakazi basi apandishwe cheo. Mwaka 2016 mke wa Waziri Maiga alifanya kosa la kutoheshimu zebra crossing...
  18. Anayedaiwa kumuua ‘Trafiki’ kuhukumiwa Machi 2023

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 17, 2023 kusoma hukumu ya kesi ya mauaji ya askari wa kikosi cha usalama barabarani, Sajenti Mensah inayomkabili Amani Philipo. Tarehe hiyo ilipangwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Lumuli Mbuya anayesikiliza kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kufunga...
  19. G

    Rushwa ya trafiki sasa ni bila kificho, yakijiri mpo?

    Leo majira ya saa 5.20 asubuhi nikiwa ndani ya daladala la Mbweni-Mawasiliano no. T 166 EAD, tulipofika Mwenge mataa askari wakawapungia mkono ili wasimame pembeni. Kisha konda akachukua hela akampa dereva akawapelekea askari wakaipokea tukaendelea na safari. Najiuliza mbona sijawahi kusikia...
  20. Rais Samia, Mteue ACP Theopista Mallya awe Mkuu wa Trafiki Nchini, asante kwa kumteua Kaganda

    Salaam Wakuu, Rais Samia ameonesha Ushujaa ukomavu mkubwa na Ushujaa wa nguvu, kumteua Suzan Kaganda kuwa Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi. Kutokana na ajali kuongezeka barabarani, ni muda mwafaka rais kumchukua Mkuu wa Polisi Mkoa wa Rukwa Kamishna Msaidizi wa Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…