Ni sehemu iko katika barabara ya Moshi kwenda Arusha. Kuna bonde kubwa na daraja na huko nyuma Wajapan walikufa kwa ajali mbaya na hata pamejengwa mnara wa kumbukumbu kwa ajili yao. Kutokana na uwepo wa daraja hili na bonde pamefanywa kuwa sehemu ambayo huruhusiwi ku-overtake na sasa trafiki...
Moshi. Wingu limegubika mahali alipo askari wa kikosi cha Usalama Barabarani maarufu kama trafiki, anayetuhumiwa kumjaza mimba mtoto mwenye umri wa miaka 14 wa askari mwenzake.
Januari 9, Kamanda wa Polisi mkoa Kilimanjaro, Salum Hamduni aliliambia gazeti hili kuwa polisi huyo anashikiliwa na...
Nina gari langu dogo la mizunguko ya kazini na watoto shule, gari hii muda wote na hasa kipindi cha Desemba na Januari lilikuwa linaendeshwa na mimi au mke wangu.
Wiki ya kwanza ya Januari na hasa tarehe 3 na 4 hatukutoka na gari kabisa, kutokana na kuwa katika likizo ya mwaka mpya. Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.