trafiki

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Mnazi Mmoja: Trafiki analipisha faini madereva kwa kosa ambalo hawajatenda kutokana na taa za kuongoza magari kuharibika

    Kuna huyu Askari Namba H 2223; Jina halikuweza kupatikana mara moja. Yupo pale Mnazi Mmoja Dar es Salaam kwenye mataa akiongoza magari. Taa za barabarani za kuongoza magari zina shida ya kuzimika kwa muda mrefu kisha zinawaka. Basi madereva wamekuwa wakijiongeza na kupita kwa usalaama kabisa...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Polisi Trafiki komesheni ajali za wakimbia kwa miguu barabarani

    Polisi Trafiki waelimisheni wanaokimbia au kutembea kwa miguu barabarani watumie upande wa kulia ambao wanatazamana na vyombo vya moto vinavyokuja upande wao. Mara nyingi zimetokea ajali za watembea au wakimbia kwa miguu kugongwa na vyombo vya moto vinavyokuja nyuma yao kutokana na kutoviona.
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

    Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi. Askari huyo alikimbilia basi...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tazama Video hii, nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki

    Nimekutana na Video hii iki-trenda Nini maoni yako kuhusu tukio hili la dereva wa Rolls-Royce na Trafiki
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Umasikini umekithiri mpaka trafiki anachota mafuta kwenye gari lililopata ajali

    Tazama jinsi lori la mafuta lilivyopata ajali Igunga mkoani Tabora kisha bila woga wananchi wakaanza kuchota mafuta. Na miongoni mwao yupo trafiki naye akichota mafuta kwenye gari lililopata ajali
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ajali ya OCD Chanika imenisikitisha ingawa upo ujumbe maalum wa kumuenzi naomba mkuu wa trafiki Tanzania aupokee

    Ajali inapotokea huwa inasikitisha sana na kuumiza sana! Lakini upande wa pili huwa inafungua ukurasa mpya wa kujadili! Mungu aliumba mitume na manabii ili kuzisaidia mamlaka za utawala katika kutekeleza sheria! Miongoni mwa manabii walioitwa na mungu ni pamoja na 1. Baadhi ya watumishi wa...
  7. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Trafiki wahamishiwe TRA

    Kulingana na uzoefu wao wa kukusanya mapato na rushwa hawa jamaa wahamishiwe TRA ili kuongeza ufanisi
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari haufanyi kazi?

    Mfumo wa trafiki wa kujua faini ya gari TMS CHECK haufanyi kazi? maana haufungui hata kidogo kuna shida gani huko?
  10. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Sare ya Trafiki wa Uganda unaipa asilimia ngapi?

  11. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS epukeni mfumo wenye traffic lights kwenye barabara kuu zilizo na magari mengi, kwanini mnatuangusha kama hamna utaalamu?

    Nimeshindwa na kutoelwewa kwa nini TANROADS wanajenga mifumo ya flyover ambayo inahitaji taa za kuongoza magari (traffic lights) kwenye barabara zilizo busy. Mfano ni flyover za Ubungo, Tazara na junction ya Kilwa road/Mandela road. Ni kwa nini TANROADS wanatumia mifumo ya flyover sehemu kama...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya polisi wanakusanya mapato kwa nguvu kwenye malori ya mizigo kwa kulipisha faini za mchongo

    Baadhi ya polisi wa barabarani wamekuwa wakiandikia fine malori ya mizigo kwa makosa ambayo hayapo ili wajipatie pesa. Mfano kosa la gari bovu. Gari limetembea kutoka Mwanza hadi Dar ila wanasimamisha wanaandika gari bovu kisa hamna nati moja au mbili au bumber limechomoka. Gari bovu linawezaje...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

    Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata...
  14. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wananchi wenye hasira kali wamkamata trafiki anayedaiwa kutaka kupokea rushwa

    Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa. Video isiyo na tarehe imewaonyesha raia wakimzingira trafiki huyo kwa madai ya kuvunja kioo cha matatu...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Trafiki 8 wafukuzwa kazi, 84 waonywa wengine wahamishwa vituo

    Askari wa usalama wa barabarani 168 wamechukuliwa hatua zikiwamo kushtakiwa kijeshi, kuhamishwa vitengo na kufukuzwa kazi, kutokana na makosa ya kinidhamu ikiwemo rushwa katika kipindi cha kuanzia Juni 2023 hadi Juni 2024. Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama wa Barabarani, Deus Sokoni ameeleza...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Rais nimemuona ana Msafara wa Gari 84 hadi Trafiki akachoka na kususa Kuziongoza, hivi nimeona peke yangu tu vibaya au nilichokiona ni sahihi?

    Ngoja tu niende tena katika Ukurasa wa X wa African Hub ili nikaingalie upya hiyo Video na nijiridhishe kwani sijaamini.
  17. Tman900

    JamiiForums Tanzania Pesa wanayolipwa Polisi Trafiki na wafanyakazi wa TRA haiendani na maisha yao

    Hawa watu wanaofanya kazi katika hizo sekta Mara kwa Mara huwa nakutana nao. Ila kinachonishangaza kwao, kwa pesa wanazopata ukiondoa mishahara wanayolipwa hawa jamaa, wanapata pesa nyingi sana. Sasa maendeleo Yao na Pesa wanazopata haviendani, pia usiombe ukutanenao ukiwa na mzigo, kweli...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona zaidi kwa Fowadi Jobe wa Simba SC ni Kuinua tu Mikono juu kama Trafiki wa Mbagala ila hana Maajabu yoyote

    Nani ndani ya Simba SC aliamua Phiri na Baleke waachwe na waje hawa Mafowadi Michosho na Vituko akina Fred na Jobe.
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali imehalalisha trafiki kupokea rushwa?

    Mimi ni mtumiaji Sana wa usafiri wa haice mkoa wa Arusha. Nimekuwa nashuhudia kila wakati nikiwa natumia usafiri huo kuona trafiki wakipokea rushwa Kama watoza ushuru wa sokoni, bila kificho chochote. Hasa maeneo ya friends cona, sasa na madereva wamezoea na kuona kwamba huo ni wajibu wao...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Makonda ni kada siyo mtumishi wa umma hastahili kusafishiwa njia na trafiki kwa kufunga barabara

    Habari wadau Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara! Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa! Siyo mtumishi wa Umma! Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia! Hata kama...
Back
Top Bottom