Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari.
Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu.
Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
Kiukweli hali imekuwa mbaya sana mtaani, vyombo vya entertainment majumbani na sehemu za starehe vinazidi kuongezeka kwa kasi na sasa imefikia familia na wenye bar pamoja na makanisa wananunua maspika makubwa yanayotakiwa kufungwa kwenye kumbi za muziki yanawekwa majumbani na kwenye sehemu za...
Ni kama wiki sasa imepita mara baada ya naibu mwenyekiti ccm taifa, Dkt. Abdulahman Kinana, zimeshatokea ajali mbili za magari na kuondoka na roho za watu kadhaa, sababu ni mwendokasi.
Tukiangalia kisiasa na kimihemko,traffic police hawana cha maana wanachofanya barabarani zaidi ya...
Bei ya mafuta imepanda sana, mishahara ni midogo sana na bidhaa zote sokoni zimepanda kwa kila mtu duniani wakiwemo hata polisi traffic.
Polisi wanazidisha ugumu wa hali hii kwa njia ya kutafuta makosa kwa wenye magari na wasafirishaji wa abiria na mizigo, hali inayosababisha gharama kubwa za...
Comrade Kinana amepasua jipu.
Hili lilikuwa halisemwi na viongozi wengi maana Polisi ni chombo nyeti cha Ulinzi na Usalama.
Lakini vitendo vya Askari wetu wa Traffic vimekithiri kwa fines zinazoingizia serikali mapato na vile vile hela ya pembeni wanayopata askari.
Ni jambo la kawaida sasa...
Huu ndio ukweli mchungu sana.... Unamiliki chombo Cha usafiri? Wewe ni Mtu makini wakati wa Safari? Basi utakubaliana na ukweli huu.
1. Traffic Police wetu wamegeuka wakusanya mapato badala ya Usalama kwanza imegeuka Mapato kwanza. Ndio maana hushangai kusikia taarifa ya Jeshi la Police...
Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)...
Noamba kwa mwenye kujua tafadhari....
Wakuu, natumaini mu wazima na kwa wale wenye changamoto za afya na mengineyo nawapa pole na kuwatakia uponyaji wa haraka!
Wakuu kuna hii changamoto ya Askari police 👮♀️ kugeuza kivuko cha waenda kwa miguu sehemu yao ya kupigia hela.
Nina imani jambo hili lipo kwenye mikoa mingi na Hata humu...
Kenya Airways(KQ) has signed a deal that will see it buy 40 flying taxis from two Brazilian firms as part of the airline’s diversification through its new subsidiary Fahari Aviation.
The carrier said on Tuesday it had signed a letter of intent (LOI) with EVE UAM, LLC, a subsidiary of Eve...
Kunapokuwa na foleni nchini Ujerumani, madereva hulazimika kisheria kupita pembeni ya barabara ili kuacha nafasi ya magari ya dharura kama magari ya wagonjwa na zimamoto.
Je unadhani ni muhimu kwa nchi nyingine kufuata utaratibu huu?
Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture.
Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu...
Habari,
Juzi kuna mdau kasimamishwa na Traffic police anataka amwandikie fine kisa ubovu wa gari yaani bumper la mbele limeharibika,
Tulikua tunawaza, huu ujasiri wanautoa wapi? Bumper la gari limeharibika kutokana na ubovu wa barabara, kwa nini fine wasitozwe wajenzi wa barabara kwani wao ndo...
Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi?
Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata.
Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort!
Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort?
Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Leo saa 5.42 asubuhi traffic wenye Pikipiki No. MC.......BXR wamesababisha msongamano na mvutano na abiria baada ya kusimamisha Daladala kwenye kona iliyoko kati ya barabara ya bandari na Devis Corner wakilazimisha gari hilo lirudi kituoni.
Kwanza kulikuwa na joto kali mno kina mama abiria...
Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku.
Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.