traffic

  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Je wajua, Magari hupita pembeni ya barabara kunapokuwa na foleni ili kuacha nafasi ya magari ya dharura?

    Kunapokuwa na foleni nchini Ujerumani, madereva hulazimika kisheria kupita pembeni ya barabara ili kuacha nafasi ya magari ya dharura kama magari ya wagonjwa na zimamoto. Je unadhani ni muhimu kwa nchi nyingine kufuata utaratibu huu?
  2. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Sare za traffic wa Uganda ni za ovyo Ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Kwenye pita pita zangu hapa Entebbe ninekuwa nikichoshwa na hizi sare za askari wa usalama barabarani hapa Uganda hasa kwa upande wa wanawake. Hazivutii, ni mbaya kwelikweli, kuna namna wanatakiwa waje wajifunze huko nyumbani jinsi askari wetu wanavyovaa na kuvutia.
  3. Mr Sir1

    JamiiForums Tanzania Uonevu wa Traffic Barabara ya Nyerere

    Kuna tabia mpya Traffic wameanzisha barabara ya Nyerere baada ya Quality Center ikiwa unaelekea mjini wanaweka utepe kwenye uelekeo wa Service Road ilipo bank ya Absa karibu na Lifemate Furniture. Hata ikiwa dhamira yao ni kuzuia watu wanaeonda mjini wasichepuke, lakini haileti maana kwa sehemu...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Traffic police na kosa la ubovu wa gari

    Habari, Juzi kuna mdau kasimamishwa na Traffic police anataka amwandikie fine kisa ubovu wa gari yaani bumper la mbele limeharibika, Tulikua tunawaza, huu ujasiri wanautoa wapi? Bumper la gari limeharibika kutokana na ubovu wa barabara, kwa nini fine wasitozwe wajenzi wa barabara kwani wao ndo...
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Nchi ilipo sasa: Mwanajeshi anakuwa Traffic Police, Taasisi zinajipangia faini zao bila utaratibu

    Mama tunaomba litizame hili si kil chombo kinaweza ingilia mhimili mwingine na mtu anaapataje mamlaka ya kumkamata raia na kumtesa kisa tu yeye ni Mwanajeshi? Na taasisi kama hii ya Maegesho how come service fee 500 halafu faini 10,000 ? Sasa mambo yanavyokwenda ndio kulee enzi zile "Unajua...
  6. aka2030

    JamiiForums Tanzania Trafiki kama kupita service road ni makosa basi muwaambie Tanroads wasizijenge

    Nashangaa sana haya mambo wanayofanya hasa hapa Mbezi Beach Massana mpaka Tanki Bovu gari ikipita service road wanaikamata. Nauliza ile barabara matumizi yake ni nini?
  7. Kiwa

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kukodi msafara wenye king’ora cha polisi (Traffic )

    Wakuu naomba muongozo kuhusu misafara binafsi kupewa escort! Ni vigezo vipi inabidi uwe navyo ili kupewa escort? Maana siku hizi kwenye foleni kuwekwa pembeni then hiyo misafara ipite ni jambo la kawaida sana! Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
  8. K

    JamiiForums Tanzania Trafiki ni halali kusimamisha gari kwenye kona?

    Leo saa 5.42 asubuhi traffic wenye Pikipiki No. MC.......BXR wamesababisha msongamano na mvutano na abiria baada ya kusimamisha Daladala kwenye kona iliyoko kati ya barabara ya bandari na Devis Corner wakilazimisha gari hilo lirudi kituoni. Kwanza kulikuwa na joto kali mno kina mama abiria...
  9. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU mnapofumbia macho Rushwa ya Trafiki mnazidi kuwachonganisha wanyonge na Serikali

    Nadhini mnaopita barabarani mtakuwa shahidi kwamba Sasa hivi Rushwa si siri tena. Unapanda bajaji wanalalamika kuna maeneo wanatoa elfu mbili kwa siku na maeneo mengine elfu moja kwa siku. Daladala kila siku lazima watoe kuanzia elfu mbili Hadi tano kwa siku na usipotoa gari Yako haitafanya...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Picha ilipigwa mwaka 1950 mjini Karachi, traffic police akiongoza magari

  11. vivian

    JamiiForums Tanzania Traffic Police Mweupe Mfupi anayeeongoza magari kwenye taa za St. Peters Osterbay anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu

    Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake apewe, huyu Baba anafanya kazi yake kwa weledi wa hali ya juu sana. Nimekua napita hili eneo kila siku asubuhi na jioni kwenda kwenye mihangaiko yangu, ukiona siku ambayofFoleni haisogei katika mpangilio wa kueleweka jua siku hiyo sio yeye anaongoza magari...
  12. Mr DIY

    JamiiForums Tanzania Miaka 24 still strong barabarani, Yamaha 4gl-90

    Yamaha 4gl 90cc ni mfano tu wa mashine za kijapani ambazo wajapani walijitengenezea wenyewe kwa matumizi yao, pikipiki hizi ni sawa na Honda md90 ambazo zilitengenezwa maalumu kwa ajili ya shughuli za posta huko japan. Leo huyu mnyama ana miaka 24, production ya 1997, mpaka leo sijui kapita...
  13. Replica

    JamiiForums Tanzania Askari wa barabarani wamuige askari wa Morocco kuongoza magari

    Asubuhi na jioni ni muda ambao magari huwa mengi na askari wa usalama barabarani(Traffic) hujitahidi kupunguza adha hii kwa kuzipa kipaumbele barabara ambazo zina msongamano mkubwa zaidi wa magari. Kinachotokea, mathalan upo kwenye barabara yenye magari pungufu, askari huyo ukakuzuia na ukawa...
  14. Billionaire101

    JamiiForums Tanzania Matatizo ya Traffic Barabarani wanapanga njama na madereva bodaboda na raia wengine kukamatisha watu

    Hivi matraffic mnaokaa barabarani kuvizia makosa huwa mnawaza nini kupanga watu wa kuwasaidia kuwakamatisha madereva, yaani scenario ziko hivi: unaweza ukawa unatembea kwenye kimteremko barabarani, alafu mbele unaona kuna dereva bodaboda kama anasua sua kwenda ili mradi tu umkwepe alafu mbele...
  15. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania The Emir of Katsina, Muhammadu Dikko and his entourage admire the traffic lights at Hyde Park in London, 1933

  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Gauni la Beyoncé limesababisha traffic huko Instagram

    Akiwa na mume wake Jay Z kwa tuzo za Gram.
  17. L

    JamiiForums Tanzania Traffic police wa ukonga leo wamegoma?

    Sijawahi kuona hii foleni ya kutoka vingunguti hadi Banana cha ajabu sijamuona hata trafic mmoja akiongoza magari hata kwenye mataa hakuna trafic yoyote. Magari yamefungana wala hayendi kabisa,yaani hayaendi popote. Nadhani leo tutakesha hapa barabarani.
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini Mbinu za trafiki kupokea pesa ya kung'arisha kiatu ziwe kivutio kwa wenye vyombo vya Moto?

    UTANGULIZI Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama. JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
  19. maroon7

    JamiiForums Tanzania Traffic Lights Bagamoyo Road nyingi sana mpaka kero

    Nahisi wataalam wetu wanachoamini wao ni kwamba kukiwa na matrafiki light mengi ndio maendeleo...maana walichokifanya saizi kuanzia Mwenge hadi Morocco ni kukomoa. Mwenge taa, TV taa, Bamaga taa, Sayansi taa, Makumbusho taa, victoria taa, mbele ya victoria taa,then unakutana na taa za Morocco...
  20. Mulokozi GG

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tusiwageuze traffic polisi mafisadi

    Tamaduni na matendo yetu kama binaadamu ni muunganiko na matokeo ya tabia ndogo ndogo tuzifanyazo kila siku. Hivyo mtu anaye ishi maisha yake kama jambazi, mwizi au fisadi hakuzaliwa hivyo bali alilelewa hivyo. Kwa maneno mengine fisadi au jambazi sugu analelewa na kufundishwa tabia hiyo na watu...
Back
Top Bottom