tra

  1. JamiiForums Tanzania Kwenu nyie watoza kodi ; Rais Samia kawambia kilichosemwa mwaka 1776. Mnakwama wapi nyie TRA na wizara ya Fedha na Mipango?

    In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:- fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs; certainty-meaning that taxpayers should be...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tazama vile ubunifu wa maendeleo Tanzania unavyokwamishwa na Polisi na TRA kwa kuendekeza Ukoloni

    Maendeleo yoyote husukumwa na ubunifu! (Creativity) Ili mwanasayansi agundue lazima asukumwe kufanya ubunifu! Ili mfanya biashara atambulishe fursa lazime atangulize ubunifu! Ubunifu ni Imani ya kutarajia suruhisho! Endapo watu wakiongozwa kwa vitisho na sheria mbovu Imani hiyo ya ubunifu...
  3. JamiiForums Tanzania Kidata karibu tena TRA! Uungwana ni vitendo, usijaribu kuwa Kifutu

    Alphayo Kidata, Rais Samia Suluhu amekurudishia heshima yako iliyoondolewa kwa sababu ambazo hazikuelezwa, tunafahamu kwamba ulitukanwa sana hadi ukavuliwa ubalozi, yaliyopita si ndwele tugange yajayo. Nakuomba sana mkuu, tafadhali sana Mzee wangu fanya kazi yako kwa haki huku ukizingatia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dr. Mpango awataka TRA wasiwababaishe Wafanyabiashara, atoa salamu za Rais Samia kwa Kanisa!

    Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga. Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara. Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mswada/sheria ya tra kutoshikilia fedha za wafanyabiashara benki

    Nashauri kupelekwe mswada bungeni kuhusu hii sintofahamu ili wafanyabiashara wawe na imani na serikali yao. NGOJA NITOE SCENARIO: TRA imefanya uchunguzi wa mahesabu yangu na kugundua nililipa kodi pungufu miaka minne iliyopita, wananitoza faini na riba na kunipa notice ya mwezi mmoja...
  6. F

    JamiiForums Tanzania TTCL huu ndio muda wenu wa kuvuna wateja wa voda, tigo, airtel, nyinyi shusheni bei ya internet - kodi tra wanawasamehe ki siri siri

    TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF... Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
  7. D

    JamiiForums Tanzania TRA geti namba 2 bandarini kulikoni?

    Mamlaka ya mapato tunataka kujua tatizo ni nini pale bandarini gate #2 gari za transit tangu jana hazijatoka kuna nini? Hebu muwe na huruma hawa watu ni wageni pengine hata bajeti yao haiwaruhusu kukaa siku nyingi, ondoeni hii kero hizo tracking seal kama hamko tayari bora zitoeni tuendelee...
  8. JamiiForums Tanzania Nahitaji mjuzi E filling ya TRA

    Habari, Nahitaji mwenye ujuzi wa kujaza E-filing ya TRA ya mwezi huu tu wa March 2021. Kama upo tayari dm niambie cost si maelezo marefu.
  9. JamiiForums Tanzania TRA Arusha wanahujumu mapato ya Serikali

    Kwa utafiti wa siku nne niliofanya TRA Arusha hususani idara ya Dept Management ambao pia nimehusisha baadhi ya wateja waathirika wenzangu nime note deliberate sabotage ya mapato ya serikali inayofanywa na wafanyakazi haswa kwenye issue ya TAX clearence. Katika utafiti wangu nimebaini...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera TRA, hongera Rais Magufuli

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Naipongeza mamlaka ya mapato Tanzania(TRA) kwa mabadiliko makubwa mliyofanya kiasi cha kuifanya mamlaka kuwa rafiki badala ya kuwa adui kwa walipa kodi. Binafsi nimeona mabadiliko haya chanya kuanzia January 2021. Wafanyakazi wa Mamlaka hii wamekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania TRA na ada za mabango

    Naandika haya huku nacheka sana, Mmoja wa wateja wangu alitaka kufanya Campaign kubwa ya kitaifa kwa ajili ya bidhaa yake/ huduma. Kama ilivyo kawaida yangu nilimpatia baadhi ya Maangalizo ikiwamo umuhimu wa kuwa strategic na cost conscious ili asije tumia pesa nyingi kufanya matangazo ambayo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania RC Mghwira: TRA acheni kufanya kazi kama polisi Wafanyabiashara siyo majambazi, mbunge asema kuwa tajiri imekuwa dhambi

    Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dr Mghwira amewatataka TRA kuacha kukusanya kodi kama polisi bali wazingatie dhana ya Huduma kwa mteja ( Customer Care) yaani kumjali mteja. Mghwira amesema wafanyabiashara siyo majambazi na siyo jambo jema kuwaona wakifunga biashara kila siku. Naye mbunge wa Hai mh...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli awataka TRA kuacha kubambikia wafanyabiashara kodi, asema wanakadiria kodi kubwa ili wapewe rushwa!

    Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe kulipa na kutafuta njia za kukwepa kabisa kulipa. Rais Magufuli amesema baadhi ya watumishi wa TRA...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

    Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria. Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa...
  15. JamiiForums Tanzania Namna TRA inavyomhujumu Rais wetu mpendwa

    Inaumiza sana kwa hizi hujuma za wazwaz kabisa ambazo TRA inafanya. Kuwachonganisha wafanyabiashara na Mh Rais. Ionekane serikali yake inaonea na kunyanyasa wafanya biashara. Ionekane haiwajali. 1. TRA walianza na kukusanya Kodi. Hapa hatukuwa na shida ndiyo ilikuwa kazi yao. Wakasifiwa sana...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada. Makadirio ya kodi kutoka TRA

    Wakuu za leo. Katika kupambana na maisha nikaamua kuanzisha duka la rejareja almaarufu la mangi mitaa ya hapa Mwanza. Nikaenda TRA kusajili TIN bana jamaa wakakadiria kodi nilipe 250,000 kwa mwaka. Sasa yaani nimeshindwa hata cha kuongea nawaambia mimi kwa hii miezi miwili kwa siku hardly...
  17. JamiiForums Tanzania Kodi za TRA kubambika: Wabunge wa CCM mmefanya kweli, mmeleta matumaini katetea wafanyabiashara!

    Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali. Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha. Serikali siyo kwamba hawajui kinachofanyika huko mitaani, ila wanafumba macho ili wawakamue na...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Siasa za Ujenzi wa Viwanda: TRA na Wizara ya Viwanda ni watuhumiwa wa kwanza

    Hongera CCM kwa kutimiza miaka 44. Jana nimefuatilia kidogo mjadala wa CCM uliokuwa unaongozwa na Comred Polepole, wachangiaji wa mada walishindwa kueleza sababu hasa za nchi yetu kushindwa kutunga na kutekeleza na kusimamia sera za kujenga uchumi wa viwanda ili kutuondoa katika dimbwi la...
  19. JamiiForums Tanzania TRA, mfumo wenu wa e-filing haufanyi kazi

    TRA acheni ubabaishaji. Kama hamkuwa tayari kuingia kwenye mfumo wa kidigitali mlitakiwa msubiri mpaka pale mtakapokuwa tayari. Sio kulazimisha kuonekana mpo advanced wakati ni ubabaishaji mtupu. Toka tarehe 1 February mtandao wenu unasumbua kufanya e-filing. Na due date ikipita mnaimpose...
  20. JamiiForums Tanzania Niko TRA Vingunguti hapa watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue

    Niko TRA Vingunguti hapa baadhi ya watu wamevaa barakoa. Nasubiri aje Manager awaamrishe wazivue Kwa nini sijawahi kushuhudia matukio isolated kama haya? Labda naweza react kitofauti. Adrenaline rush if you know what I mean.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…