konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,666
- 8,582
TRA acheni ubabaishaji. Kama hamkuwa tayari kuingia kwenye mfumo wa kidigitali mlitakiwa msubiri mpaka pale mtakapokuwa tayari. Sio kulazimisha kuonekana mpo advanced wakati ni ubabaishaji mtupu.
Toka tarehe 1 February mtandao wenu unasumbua kufanya e-filing. Na due date ikipita mnaimpose penalties. Au ndio mpango wenu watu washindwe kufile on time ili mpate hela?
Toka tarehe 1 February mtandao wenu unasumbua kufanya e-filing. Na due date ikipita mnaimpose penalties. Au ndio mpango wenu watu washindwe kufile on time ili mpate hela?