Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,495
- 5,529
Naandika haya huku nacheka sana,
Mmoja wa wateja wangu alitaka kufanya Campaign kubwa ya kitaifa kwa ajili ya bidhaa yake/ huduma. Kama ilivyo kawaida yangu nilimpatia baadhi ya Maangalizo ikiwamo umuhimu wa kuwa strategic na cost conscious ili asije tumia pesa nyingi kufanya matangazo ambayo sio ya lazima. Basi tukaanza mchakato wa kufanya due diligence na kuona hii kampeni yake ya kuweka mabango offline itaendaje.
Nikaenda kwa afisa wa TRA kufahamu kodi ya mabango ni kiasi gani? Akaniambia ni TZS 18000 kwa futi moja ya mraba.Kwa hesabu za haraka Bango moja kubwa linaweza kuwa na futi 8 za mraba hivyo kwa mwaka litapaswa kulipiwa kati ya TZS 40k hadi TZS 80k kwa idadi ya mabango tuliyotaka kuweka na ukubwa wake tuligundua kwamba gharama za kuyatengeneza mabango ni ndogo kuliko kuliko kodi kwa 120% yaani kodi tutakayolipa kwa kila bango ni kati ya 80% na 120% Kwanza nikashangaa lakini baadae nikaelewa ni kwa nini sasa hivi makampuni mengi yanakimbia kuweka Mabango mjini.
Hivi TRA hizi rates nilizopatiwa kweli ndo standard rates au kuna mazingira ya UPIGAJI? Ukipita mjini mabillboard yaliyokuwa yanachangamsha mji yameshushwa mji unaoneka umezeeka kumbe chanzo ni hizo kodi tata za Mabango.
Swali ni je, hiki kiwango ni fair?