tra

  1. O

    JamiiForums Tanzania Rungu la TRA limepita na wengi mtaani kwetu

    Vipi uko kwenu huku hadi vibanda vimefungwa sana. Shida nini? Watu wanaanza biashara wengine mitaji michanga ukirogwa ukaingia kwenye frame na mtaji madogo unaumia
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi tarehe 15 na 16 Juni,2024

    Ofizi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA ) zitakuwa wazi siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni,2024 na Jumapili tarehe 16, Juni 2024.
  3. Chongeni

    JamiiForums Tanzania Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli?

    Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa. Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni. Thank you
  4. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kulipa kodi (VAT) kisa sijapanga fremu

    Nimeshangaa Sana kukosa huduma ya TRA (KULIPA KODI) kisa sijapanga fremu. Dunia ya Sasa haihitaji watu kuwa na fremu au kuwa ofisini ndiyo wafanye biashara. Kuna baadhi ya biashara ambazo zinaweza fanyika online vzuri Tu bila hata kupanga fremu. Kuna haja ya TRA kuja na mawazo mbadala, online...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TRA yalalamikiwa kwa Uzembe na Hujuma Bandarini, Wafanyabiashara wa Mafuta wakimbilia Mombasa

    Salaam Wakuu, Wafanyabiasha wa Mafuta wa nje ya Nchi kutoka Congo, Malawi, Rwanda na Burundi wanalalamikia TRA kwa kuchelewesha Document kitu ambacho kinawatia hasara. Tatizo hilo limeanza hivi karibuni. Ukipakia mzigo unaambiwa "System ipo down". Hali hii inafanya mfanyabiashara kusubiri...
  6. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi Juni 8 na 9, 2024 nchi nzima

    Dar es Salaam, 07 Juni, 2024: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inapenda kuwafahamisha Walipakodi na wananchi kwa ujumla kuwa, ofisi za TRA nchi nzima zitakuwa wazi kuwahudumia walipakodi siku ya Jumamosi tarehe 08 Juni, 2024 na Jumapili tarehe 09 Juni, 2024 kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa...
  7. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania TRA punguzeni hekaheka zisizo na msingi kwa wafanya biashara, fanyeni integration ya mfumo wenu na wa NIDA ili mteja apate nambari ya NIDA papohapo

    TRA sijui niseme wamekosa ubunifu ktk kutoa huduma zao au wapowapo tu kutumia nguvu ktk kutimiza majukumu yao? Ili uweze kupata nambari ya mlipa kodi TIN nilazima uwe na na kitambulisho cha NIDA,ambao nao wapowapo tu kama msumari nilazima wagongwe ndio waendee,mtu akienda kuomba TIN na hana...
  8. Candela

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wadau wa tra

    Kuna gari inauzwa for 54,000+ USD lakini ukiangalia kikokotooo cha TRA wameandika CIF yake ni 33,744.72 USD. Swali langu ni kuwa ukiinunua kwa hiyo bei ya sokoni watatumia kikokotoo chao au watakula na wewe kwenye price yako. na wenye uzoefu mnafanyaje kuagiza cars bila kuathiri utaratibu wa...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kumbe TRA hawatungi Sheria za Kodi

    Nimesikiliza clip mbili za Waziri wa fedha Mwigulu Lameck Nchemba akizungumzia kuhusu ukusanyaji wa kodi na ingine akiongelea madeni ya kodi bungeni leo. Kuna ujumbe naona kama waziri alikuwa anamjulisha mtu bungeni leo sijajua ni nani hasa. PIA SOMA - Serikali yasisitiza matumizi ya mashine za...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Toyota Hilux: Hi chuma TRA hawataki tuimiliki

    Mi hadi nachoka. Hawa jamaa bwana. Naikuta single cabin CIF $6,000 (mil 16) uko Beforward. Hafu eti ushuru sasa wa TRA mil 28 unalipa. Karibia mara mbili ya bei ya kununua. Gari ya kazi tunabaniana. Sasa ukigusa double cabin unakuta CIF kubwa na ushuru 30+
  12. Rumanyika Donatus

    JamiiForums Tanzania KERO TRA geti la Makuyuni Arusha ni tatizo, madereva wa malori tunapata tabu

    Kuna gate moja la barabarani wanakaa tra liko pale Makuyuni, jamani pale kuna tatizo. Iwapo utapita na lori lako pale umebeba mafuta ya kula umetoka zako Dar jamaa wanasumbua utadhani unavuka mpaka wakuingia nchi nyingine. Mwisho wanataka pesa ambayo hata ukifikisha mzigo hauendi kupata faida...
  13. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA inawakumbusha walipa kodi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria

  14. Candela

    JamiiForums Tanzania KERO TRA wananitumia meseji nikafanyiwe makadirio wakati hatukufikia makubaliano

    Iko hivi, nina biashara ambayo niliifungua kupitia familia, wakati huo nilikuwa bize na shule na umri haukuruhusu kupewa nyaraka na gavoo, pia familia hawakutaka nijihusishe na side hustle ila walisapoti wakawa wanasimamia show zangu. Wanasema cha mtu mavi, ukitaka ubaya kabidhi ndugu mali...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NIDA abadilishwe ili kuongeza mapato na ufanisi ili ijitegemee na kupeleka mapato serikalini kama TRA

    Ni wakati sasa mkurugenzi wa NIDA abadilishwe. Ni wakati wa NIDA ijitegemee yenyewe isipewe fedha na serikali tena Kama NIDA ingepata kiongozi mbunifu ingeingiza mapato mengi sana kama wafanyavyo TRA. Serikali yetu ifanye yafuatayo: Mkurugenzi abadilishwe. Mkurugenzi mpya imarisha kitengo...
  17. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia zaitaka TRA kuwaondolea kodi ili Watekeleze Majukumu yao kwa Uhuru

    Chama cha Wanasheria Tanganyika kimewaleta pamoja Wana-AZAKI nchini Tanzania Bara na Visiwani kujadili na kubainisha changamoto za kisera na kisheria zinazohitaji maboresho na mikakati madhubuti ya kiutatuzi ili kuboresha ufanisi wao wa wakiutendaji nchii. Akiongea Mkoani Morogoro, leo Tarehe...
  18. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mgogoro unaosemekana ulitokea Handeni kati ya Wafanyabiashara na TRA Handeni

    Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
  19. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania TRA na DC Muheza watatua changamoto za kikodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Mkuu wa Wilaya Muheza Mh. Zainab Abdallah wameendesha kliniki ya kodi katika viwanja vya Bombani Muheza mkoani Tanga. Kliniki hiyo imefanyika kwa kusikiliza na kutatua chamgamoto za kikodi kwa wafanyabiashara wa Muheza. Aidha wafanyabiashara...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye. Mfumo wa hakiki stamp wa TRA

    Kwa siku tatu sasa ukitaka kuhakiki ubora Pombe kali konyagi.k vant nk mfumo unatoa mesage.MANTANANCE MODE AU SERVER UNAVAILABILITY TRY AGAON LATER . Vile vili kuna hisia watu kuanza kupata shida kunywa vinywaji vikali. Je kuna shida gani? Wahusika tunaomba mrejesho haraka.
Back
Top Bottom