A activist Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 187 Reaction score 306 Mar 28, 2024 #1 Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 44,623 Reaction score 36,599 Mar 28, 2024 #2 activist said: Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero Click to expand... Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi. kua mustahimilivu tu, na mwenye subra. Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒
activist said: Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero Click to expand... Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi. kua mustahimilivu tu, na mwenye subra. Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒