MHE. BALOZI OMAR: AIMWAGIA SIFA TRA UKUSANYAJI WA MAPATO YA NDANI
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka uliowezesha Mamlaka hiyo kuendelea kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato kila mwezi na kueleza imani...
Na. Benny Mwaipaja, Kizimkazi, ZANZIBAR
Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), ameimwagia sifa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA kwa utendaji uliotukuka uliowezesha Mamlaka hiyo kuendelea kuvuka malengo ya ukusanyaji wa mapato kila mwezi na kueleza imani yake kwamba kwa kushirikiana...
Plot For Sale at Mwenge.
Location: TRA rd/Mazwile st, opposite Kenton High School.
Size: 1154.5061 SQM (12,427 SQFT).
Land use: Commercial/Residential.
Price: TZS 2.5B, Negotiable.
Document: Title Deed.
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee will...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa hoja kwa kuhoji “Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa?”
Kama hukusoma, bofya hapa ~ Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa Wafanyabiashara wapya ila TRA bado wanakomaa nao, msamaha ulifutwa...
Chukulia mfano, mchakachuaji ana kiwanda bubu cha kutengeneza pombe feki.
Je hawezi kwenda dukani kununua chupa origial au na kubandua hio stika kisha kumpa mtaalamu wa mambo ya printing amtengenezee hata 100 ?
Mteja au hata hao hao TRA wanafika kukagua mzigo, wanascan QR code, kitu kinasoma...
Kama sikosei, mwaka huu 2026 Serikali ilitoa utaratibu wa kuwaruhusu wafanyabiashara wapya kufanya biashara kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kutozwa kodi, ikiwa wamejisajili na kupata namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN), na suala hilo lilipitishwa na Bunge.
Swali langu ni moja: kwa nini...
Anonymous
Thread
bado
ila
kodi
kodi kwa wafanyabiashara
msamaha
msamaha wa kodi
serikali
tra
wafanyabiashara
TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-.
Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter.
Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati...
User interface si rafiki, errors kibao wakati wakutuma taarifa na hazieleweki, ukienda kuangalia manual huzikuti hizo errors, ama ukifungua manual unakutana na kitu ambacho ni tofauti kabisa.
Mfano kwenye INNOVATION PORTAL ukijaza fomu yao, ukitaka kutuma zinakuja errors kibao haiendi...
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
Wakuu samahani naomba mtu yeyote aliyewahi kukutana na changamoto yoyote katika suala lolote linalohusiana na Huduma za TRA aandike hapa,itapendeza zaidi ukifafanua ugumu ulikuwa wapi,?
Zaidi naangazia katika malipo ya kodi,kujaza compliance,kutoa mzigo bandarini,kupitisha mzigo mpakani,nk...
Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
Kaka Pascal Mayalla umeeleza kuhsu TRA.
Ila mda unavyozidi kwenda mimi nawazo kuhusu ufanisi wa TRA wanavyoweza kuona kila mfanyabiashara anapata faida.
kwa nini hii miradi na pesa zinazopotea mfano mashirika mengi ya serikali pesa zinapotea wasiwe wao kama ndio wanafanya hii kazi.
Ili pato...
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari.
Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
Anonymous
Thread
changamoto
fedha
kodi
magari
mpya
ongezeko
tra
wizara
wizara ya fedha
Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023).
Epuka kuingiza...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Four Points by Sheraton, nikiwaripotia live mubashara, Kikao Kazi kati ya Kamishna Mkuu wa TRA, Yusuph Juma Mwenda, na Wahariri wa Vyombo vya Habari nchini kupitia Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Kuzungumzia siku ya Tuzo ya Rais Kwa Mlipakodi Bora na Maadhimisho...
Yanga wanashuka dimbani muda huu kucheza mchezo wake wa ligi kuu NBC dhidi ya TRA.
Moja ya mchezo mzuri na muhimu kwa Yanga kujihakikishia ubingwa
Lakini pia hata TRA nao wanataka kumaliza top 4
===========
Klabu ya Yanga imeendelea kuonyesha ubora wake katika Ligi Kuu ya NBC baada ya kuibuka...
Wafanyabiashara wadogo ambao wanapanga kwenye nyumba za mitaani hutozwa Withholding Tax yaani kodi ya zuio! Hapa anayezuiwa ni nani! Hakuna jibu isipokuwa imetengenezwa kuiongezea mapato serikali ambayo hayana haki.
Mimi mpangaji natozwa kodi ya jengo kisa ni mpangaji japo mwenye nyumba yupo...