tozo

Basconcillos del Tozo is a municipality and town located in the province of Burgos, Castile and León, Spain. According to the 2004 census (INE), the municipality has a population of 371 inhabitants.
The municipality of Basconcillos del Tozo is made up of twelve towns: Basconcillos del Tozo (seat or capital), Arcellares, Barrio Panizares, Fuente úrbel, Hoyos del Tozo, La Piedra, La Rad, Prádanos del Tozo, San Mamés de Abar, Santa Cruz del Tozo, Talamillo del Tozo and Trasahedo.

View More On Wikipedia.org
  1. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Hongera serikali kusikia kilio cha tozo

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza kufuta tozo tatu za miamala ya kieletroniki kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu. Naipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kuja na marekebisho yaliyowezesha kufutwa baadhi ya tozo. Aidha, naungana na wasomi na wabunge walioshauri kuangalia namna ya...
  2. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli tozo wanazotozwa wananchi zinatumika kulipa mikopo wanayochukua Zanzibar?

    Kumekuwa na hii tabia ya kuchukua mikopo kwa ajili ya shughuli mbali mbali zinazoitwa za kimaendeleo; ila kinachoshamgaza ni jinsi mikopo hiyo inavyogawanywa kwa usawa baina ya Watanzania wa Bara na Wazanzibari as kanakwamba idadi ya Zanzibar na Bara ni sawa. Hivi uwe na maandazi 10, halafu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ameondoa tozo wa Wafanyabiashara, Viongozi na Watumishi wenye mishahara mikubwa si, Wananchi masikini

    Waziri wa fedha Mwigulu alichokifanya ni kuwahadaha Watanzania maskini ambao asilimia kubwa hawatumii Benki wanatumia mitandao ya simu kufanya miamala. Kwahyo sijajua Wabunge wanakazi gani kwa huu ujinga aliofanya Waziri.
  4. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Rudisheni tu izo tozo mlizotoa

    Najua mmeshiba na kutujazia Kodi sio kuwa ndipo mnapata uchumi mkubwa wa kulipa madeni.mmeogopa kuwabana wenye pesa Ila mnababana na wajinga wanyonge wasio na nguvu Mana hawamrishi Askari masikini mwenzake. Sasa wewe eti hakuna tozo kutoa hela chini 30k kwa atm nikitoa laki mbili...
  5. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Serikali hizi tozo ni balaa. Nilichokiona Nyamhongolo stand ni wizi juu ya wizi

    Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti. Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Musa Zungu ndiye kirusi cha tozo

    Musa Zungu mbunge wa Ilala ndiye aliyependekeza na kushinikiza kuwepo kwa tozo kwa wananchi fukara wa Tanzania. Bila aibu yo yote alisimama bungeni kutoa hoja ya kuanzisha wizi wa fedha za wananchi huku yeye akiwa anaendeleza biashara zake haramu za madawa ya kulevya! Mwigulu akiwa amefikia...
  7. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Kimsingi tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo

    Tozo bado hazijafutwa kwa sababu zifuatazo: Facts Checks: 1. Wamefuta Tozo ya kuhamisha fedha kutoka benki kwenda mitandao ya simu pande zote. Fact: Makato au kodi ya kufanya hii miamala iko juu sana hata kabla ya tozo na watu wengi walikuwa wanaiepuka hii miamala sababu ya ughali wake...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Unaniibia kwa njia ya Tozo halafu unasema nimekusamehe kukuibia: Ridiculous!

    Hicho ndicho kilichotokea hicho kinachoitwa Bunge! Serikali ilikuwa inawaibia wananchi, wanasimamisha wizi huo wanasema tumekusamehe. By principle, wamesisitisha kukuibia and then wanasema tumekusamehe! Mmenisamewhe kuniibia? Maajabu ya CCM for 60 yrs! Tozo zinatozwa kwenye service rendered...
  9. Mag3

    JamiiForums Tanzania Acheni uongo, tozo hazijafutwa, zimefichwa tu. Kama zingefutwa jemadari wa tozo asingebaki kitini

    Naam tozo bado zipo tena nyingi tu. Jemadari wa tozo Field Marshal, mtaalam wa uchumi mwenye PhD, karudisha tu majeshi nyuma wakati mbinu za chini chini zikifanyika kuzikarabati zisiweze kutambulika kirahisi. Kama kweli tozo zingefutwa hivi leo Kamanda Mkuu wa Tozo, aliyetutishia wananchi kama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tozo ni kufidia wizi wa mali za umma?

    Kila mwaka ripoti ya CAG anaonyesha wizi na ubadhilifu mkubwa wa fedha za wananchi unaoipunguzia serikali uwezo wake wa kuwahudumia wananchi wake kwenye elimu, afya, usafiri, nk kama anavyosema waziri wa fedha, Dr. Mwigulu. Badala ya kudhibiti wizi na ubadhilifu kwenye vyanzo vya mapato...
  12. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Hoja yangu kuhusu Tozo iko palepale, watu wa vijijini wananyonywa kwa faida ya watu wa mijini

    Niliwahi kuandika kwamba tozo za banks zimewagusa majizi na matajiri wa Mjini wakiwemo wanasiasa na watu wa kundi la Kati ndio maana walizipigia Sana kelele. Sasa Serikali imeendeleza unyonyaji wa watu wa Vijijini Kwa kuwafutia tozo kwenye mabenks huku ikiacha tozo kwenye miamala ya simu ambayo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Raia Mwema: Tozo kufutwa, Mwigulu kuwasilisha Mapendekezo mapya Bungeni

    Hii ndiyo Taarifa mpya inayosambaa kwa kasi kwa muda huu, kwamba serikali imekubali kufuta Tozo zote ili kuitikia kilio cha wananchi. Chanzo: Raia Mwema Swali: Zile hela zetu walizotukata tangu Tozo zianze tutarudishiwaje?
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Njia 4 Kibaha - Morogoro itakuwa na Tozo

    Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Godfrey Kasekenya amesema TANROADS imetangaza zabuni ya ujenzi wa barabara ya njia 4 kutoka Kibaha hadi Morogoro ambayo itajengwa kwa utaratibu wa Engineering, Procurement, Construct and Finance (EPC + F). Kasekenya alisema gharama za ujenzi wake zitatolewa...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka. Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini? Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuvunja Kamati za Bunge: Spika aseme ukweli!

    Wiki iliyopita Spika alivunja baadhi ya Kamati za Bunge na kuziunda upya. Ikumbukwe kwamba kamati hizo zilivunjwa wakati vikao vya kamati vikiendelea sambamba na taasisi za serikali kuhojiwa mbele ya kamati. Vyanzo vyangu vimeniambia kwamba wabunge wa kamati walizungukana na kuvuta takrima kwa...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Wanahabari hawakubaliani na tozo japo wanaandaa vipindi vinavyotetea tozo

    Mmoja wa wadau katika warsha ya uandaaji wa maudhui ya ndani iliyoandaliwa na TCRA alionesha masikito yake kuwa analazimika kuandaa vipindi vinavyotetea tozo japo yeye binafsi hakubaliani na tozo za kwenye miamala ya fedha kwenye simu na benki. Mdau huyo amesema " Nazungumza uongo mbele ya...
  19. Diversity

    JamiiForums Tanzania SI KWELI BAVICHA yatofautiana na maagizo ya Baraza kuu la chama chao, yaunga mkono tozo zinazokusanywa na Serikali

    Barua inayosemekana ya CHADEMA ikieleza malalamiko ya Baraza la vijana la Chadema (BAVICHA) kutoridhishwa kwao na maagizo yanayotolewa nje ya vikao rasmi vya katiba ya chama chao. Barua inayodaiwa kutolewa na BAVICHA ikipingana na maelekezo ya baraza kuu la chama chao
  20. mshale21

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi PSSSF kikaangoni kwa kujikopesha fedha ya kujinunulia gari

    Mkurugenzi wa Ununuzi na Ugavi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Bw. Ernest Khisombi Septemba 12, 2022amefikishwa mbele ya Baraza la Maadili kwa tuhuma za kujipatia mkopo wa gari binafsi wenye thamani ya Shilingi 196,570,931.00 kinyume na Sheria ya Maadili ya Viongozi wa...
Back
Top Bottom