DOKEZO Halmashauri ya Temeke imeanzisha tozo mpya za taka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Dr Msweden

JF-Expert Member
Nov 3, 2020
2,632
9,445
IMG_20220912_203001_553.jpg
IMG_20220912_202948_682.jpg
IMG_20220912_203012_349.jpg

Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo Mbande Chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka.

Maswali niliyomuuliza alishindwa kujibu akasema kuwa halmashauri ya Temeke ndio wametoa hilo tamko kwa kila kata.

Kwenu halmashauri ya Temeke
Ni sawa mama lishe kulipa 2000 kila siku?
Ni sawa gereji ya bodaboda kulipa 120,000 kwa mwezi?
Ni sawa fundi seremala kulipa 100,000 kwa mwezi?
 
Kama sheria hii imepitishwa na madiwani wa halmashauri hii,basi ni kodi halali, halmashauri ni wajibu wake kuweka mazingira safi katika municipal, kama kuna mtu hakubaliani nayo au kikundi au walipa kodi wa temeke wanaweza kufungua kesi mahakamani, uzuzu wetu ngoja tunyoshwe vema, kukimbilia humu hakuta leta nafuu yeyote kinachotakiwa ni push back 🔙
 
Uzuli haya yote yanatokea hakuna wapinzani bungeni Wala halmashauri Tanzania yote yakijan nilisahau na serikali za mitaa Safi sana
 
5000 kwa mwezi kwa nyumba makazi

Ova
Sisi Kata yetu tulimgomea mkandarasi bei hiyo ukaitwa mkutano na serikali ya mtaa tukakubaliana 2500 kila kaya, kwenye guest na bar ndio wanalipa zaidi.
5000 ni nyingi Kwa malipo ya residential.
 
Wabongo kwa kulialia hatujambo..kwahiyo takataka zako unazalisha mwenyewe zije zizolewe bure.

Tunza mazingira ya kutunze..

Kwanza ulitakiwa ufurahie kuona halmashauri yako imeonyesha nia ya kisaidia usafi ambao ninyi mmeshindwa kuufanya.

Hivi unazijua gharama za usafishaji miji zilivyo kubwa..kuanzia usafishaji miji, ukusanyaji taka..usafirishaji n.k.

Labda uje na hoja ya kuwa tozo ni kubwa ipunguzwe kwa kiwango fulani sio kukataa tozo katika suala zima la usafi.

#MaendeleoHayanaChama
 
View attachment 2354860View attachment 2354861View attachment 2354862Jioni hii nimepitia kuchukua hesabu katika moja ya pharmacy yangu iliyopo mbande chamazi nikakutana na hii barua kutoka serikali ya mtaa ,bahati nzuri aliyeleta hii barua alikuwa mtendaji nimeisoma yote nikaanza kumuuliza maswali kuhusu hizi tozo mpya za taka.
Maswali niliyomuuliza alishindwa kujibu akasema kuwa halmashauri ya temeke ndio wametoa ilo tamko kwa kila kata.
Kwenu halmashauri ya temeke ni sawa mama lishe kulipa 2000 kila siku?
Ni sawa gereji ya bodaboda kulipa 120,000 kwa mwezi?
Ni sawa fundi seremala kulipa 100,000 kwa mwezi?
Na bado.

Akili zitarudi vichwani mwetu bila kupenda.

Hatukatai tozo, tunahoji hivyo viwango wanavyotoza wanamkomoa nani?
 
Wabongo kwa kulialia hatujambo..kwahiyo takataka zako unazalisha mwenyewe zije zizolewe bure.

Tunza mazingira ya kutunze..

Kwanza ulitakiwa ufurahie kuona halmashauri yako imeonyesha nia ya kisaidia usafi ambao ninyi mmeshindwa kuufanya.

Hivi unazijua gharama za usafishaji miji zilivyo kubwa..kuanzia usafishaji miji, ukusanyaji taka..usafirishaji n.k.

Labda uje na hoja ya kuwa tozo ni kubwa ipunguzwe kwa kiwango fulani sio kukataa tozo katika suala zima la usafi.

#MaendeleoHayanaChama
Hatukatai kuhusu usafi je Unaona sawa gereji bodaboda kutozwa 120000 kwa mwezi?
 
Wabongo kwa kulialia hatujambo..kwahiyo takataka zako unazalisha mwenyewe zije zizolewe bure.

Tunza mazingira ya kutunze..

Kwanza ulitakiwa ufurahie kuona halmashauri yako imeonyesha nia ya kisaidia usafi ambao ninyi mmeshindwa kuufanya.

Hivi unazijua gharama za usafishaji miji zilivyo kubwa..kuanzia usafishaji miji, ukusanyaji taka..usafirishaji n.k.

Labda uje na hoja ya kuwa tozo ni kubwa ipunguzwe kwa kiwango fulani sio kukataa tozo katika suala zima la usafi.

#MaendeleoHayanaChama
Mtaa nliyopo kila jumamosi watu wanatoa taka,hiyo ninjuu ya wapite waSipite ila taka zinatolewa
Mambo ya gari lao sijui bovu nk hilo ni juu yao as long wanapewa pesa yao
Na sisi tunataka huduma
Ila sehemu za madale huku hakunaga mambo haya ya kodi za taka

Ova
 
Back
Top Bottom