toyota

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu 1999 Toyota hilux surf 3rz powered

    Dear Wadau, Please kindly find the below snaps and Table 1: 1999 TOYOTA HILUX SURF SSR-X V SELECTION for your information and consultation. Kwangu reliability and durability kwenye gari are the key inputs ndio maana nimechagua 3RZ over 1KZ that's why naomba ushauri kwa wadau wote ambao ni...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Toyota Innova chuma inayoingia sokoni Januari 2023 ikiwa na fuel efficiency ya nguvu

    Linapokuja suala la kuunda ndinga ambazo zina high performance na higher fuel efficiency Mjep huwa hakosei. Na hapo ndipo alipowapiga Westerners na kitu kizito kiasi cha kushindwa kupenya soko la dunia na hasa Afrika kwa kuwa magari yao ni aghali sana kuyatunza. Toyota Innova Hycross: ukipenda...
  3. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa gari za Toyota town hiace au panya buku

    Wana jf nataka ninunue hii gari naomba kuijua A-Z ubora wake madhaifu yake na bei zake. Asanteni.
  4. profesawaaganojipya

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua Toyota carina TI

    Nataka kununua, toyota carina ti mkononi kwa mtu, naomba ushauri kwa wazoefu wa magari/engine, juu ya 1. Uimara wa gari 2. Upatikanaji wa spare 3. Ulaji mafuta 4. Bei za spare kuwa juu au kawaida 5. Uvumilivu wa gari, barabara za vumbi. 6. Gari kuhimili safari ndefu, mfano Dar to Kigoma.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota Alphard inauzwa Tanga mjini

  6. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Hivi tumeshindwa kushawishi TOYOTA ilete kiwanda Tanzania?

    Kwa takwimu zisizo Rasmi 75% ya magari yote Tanzania ni aina ya TOYOTA. Suala lililobaki ni kuchukua takwimu kutoka TRA ndani ya miaka 10 ni magari mangapi aina ya TOYOTA yaliingia Tanzania (mapya na yaliyotumika) jumlisha na mengine yalikuwepo ambayo bado yapo barabarani + yale yaliyoagizwa...
  7. Elivate

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota IST inauzwa.

    Sold.
  8. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania Toyota Rav 4 Miss TZ moja ya Karata nzuri walizocheza Toyota

    . Rav 4 hii ni generation ya 3 kwa Rav 4 ambayo ina generation 5, Rav 4 Miss Tz Coded XA Imeanza 2005-2012. Na naweza sema ni moya ya gari ambayo imefanikiwa kuwapa watu feeling kama wanaendesha big SUV.. . Kama ile old gari ni ngumu na himilivu aisee ndo maana wakaiita Land Cruiser mtoto na...
  9. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari zuri Toyota Crown namba D inauzwa

    Gari nzuri ipo mwanza mjini ni Toyota crown namba D..rangi ya silver ipo katika hali nzuri bei ni millioni 10 japo maongezi yapo..0769344686 nipigie tuzungumze.
  10. KndNo1

    JamiiForums Tanzania Gari za Toyota na kuishiwa mafuta barabarani

    Kwa miaka yangu mingi barabarani.. Gari zinazoongoza kuishiwa na mafuta njiani ni Toyota hasa hasa hizi wanasema zinanusa tuu mafuta.. Yaani mafuta yanaisha yote mpaka tank inanukia kutu.. Pump inashindwa kunusa inakata.. Gari inanusa tuu mafuta ila bado dereva anatembea na kidumu..taa ya low...
  11. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania kama pesa yako ni ya kuunga unga, usinunue gari zaidi ya Toyota, hii itakuhakikishia a good resale value

    Kwa Tanzania kama uchumi wako sio wa walamba asali, wala keki ya taifa usinunue brand nyingine ya gari zaidi ya Toyota. Kununua Toyota ni kujihakikishia uwepo wa wateja na pia kupata thamani nzuri ya gari yako pale utakapoamua kuiuza. Kuna watu wapumbavu huwa wanauliza eti kwani unanunua gari...
  12. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji toyota raum new model

    Habari ya usiku wakuu. Nimekuja tena kijana wenu kwani naamini JF ni uwanja wa suluhisho. 🔥Ninahitaji TOYOTA RAUM NEW MODEL iwe na engine ya 1490cc. 🔥Gari iwe na namba kuanzia DW, DX, DY, na kuendelea. 🔥 Iwe katika hali safi kabisa isiyo na tatizo lolote 🔥ISIWE rangi nyeupe. 🔥Iwe na nyaraka...
  13. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Toyota imetajwa kuwa gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani ikifuatiwa na BMW, Benz ni gari isiyoaminika kabisa

    American consumer reports inasema Toyota ni gari zinazoaminika zaidi nchini Marekani zikifuatiwa na BMW. Mazda, Honda na Audi. Magari ya Kimarekani kama Ford, Tesla nk ni magari yasiyoaminika kabisa nchini Marekani.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rav4 Massawe, vipi vya kuzingatia kuinunua mkononi?

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada naomba maelezo kuhusu kununua gari hiyo pichani yaani rav4 1995-2000 mkononi (used)uliyotumika hapa Tanzania ni vitu vipi vya kuzingatia, Budget ni mil 7
  15. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota RunX

    Wakuu kherii! Inahitajika gari tajwa hapo juu. Iwepo dar. Iwe rangi nyeusi. Tukikubaliana bei nakuja na fundi kukagua gari fast tunafanya biashara. Nicheck 0747282028
  16. E

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Toyota hiace inauzwa

    Ipo gari aina ya Toyota hiace inauzwa kwa bei ya 22M na laki 3 maongezi yapo gari ipo katika hali nzima kabisa...Full a/c Pia gari inapatikana Dar es salaam kuja na fundi hukatazwi karibu sana ndugu mteja. Mawasiliano 0718982463.
  17. Mzembe flani

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Toyota Altezza

    Habari wakuu, Nimekuwa nikipitia nyuzi nyingi kuhusu magari tofauti lakini sijabahatika kukutana na uzi ukijadili Toyota Altezza na Subaru Legacy ni gari ambazo natamani kununua. Naomba kufahamishwa pros and cons zake, binafsi sina uzoefu au ujuzi wa magari, hivyo nategemea kupata maoni yenu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanayoijua Toyota Urban Cruiser

    Naomba mwenye kuijua hii gari , Nimetokea kuipenda saana, Spea,mwendo,Mafuta nk
  19. abaa4all

    JamiiForums Tanzania Toyota Corolla Rumion 2022 New Model

    Mzigo mpyaa
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Toyota yasema taarifa binafsi za wateja wake 296,000 zimedukuliwa

    Kampuni hiyo ya kuunda Magari imesema taarifa zilizovuja ni pamoja barua pepe 296,019, namba za wateja wanaotumia mfumo wa T-Connect na namba za simu zinazounganisha magari kupitia mtandao. Wateja walioathiriwa na kuvuja kwa taarifa hizo ni kutoka duniani kote na hasa waliojiandikisha kwenye...
Back
Top Bottom