Nataka kununua Toyota carina TI

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,134
Nataka kununua, toyota carina ti mkononi kwa mtu, naomba ushauri kwa wazoefu wa magari/engine, juu ya
1. Uimara wa gari
2. Upatikanaji wa spare
3. Ulaji mafuta
4. Bei za spare kuwa juu au kawaida
5. Uvumilivu wa gari, barabara za vumbi.
6. Gari kuhimili safari ndefu, mfano Dar to Kigoma.
 
Hio gari kama ingekuwa mbao ni level za mninga 🤣 Gari iliotengenezwa na Toyota precision in mind
 
Back
Top Bottom