tour

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kutokana na Sera za PBS, Peter wa Royal Tour hakutakiwa kulipwa hata senti 5? Mchanganuo wa Bil. 7 zilizotumika ukoje?

    Wakuu Kwema? Nimekutana na habari X huko inasema kutokana na Sera za PBS (Public Broadcasting Service) wanaofanya kipindi cha Royal Tour, Peter hakutakiwa kulipwa pesa yoyote kutoka serikali ya Tanzania, sababu uhusika wake unakuwa umelipiwa kutoka kwa ufadhili wa kampuni kwenye kipindi...
  2. voicer

    JamiiForums Tanzania Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

    Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa, Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake. Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua Tanzania pamoja na vivutio vyake. Bali Royal Tour ilitumika na kundi la wajanja ndani na nje ya nchi...
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naamini Watanzania walioitazama filamu ya Royal Tour hawafiki elfu 10

    Niko Dar es salaam hapa tangu Royal Tour itoke. Sijawahi kusikia mtu yeyote au kikundi cha watu mtaani wakihadithia filamu ya Royal Tour. Mimi mwenyewe sijawahi kuiona, only kwenye vi clip vya sekunde 30 ndani ya safari channel ndo naviona. Nilijaribu kuwauliza vijana wenzangu kazini kama...
  4. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal tour yaongeza Watalii TAWA, Yatekeleza Miradi 6 kwa upande wa Elimu

    TAWA YAUNGA MKONO JITIHADA ZA MHE. RAIS SAMIA WILAYANI SERENGETI, YAGUSA MAISHA YA WANANCHI - DKT. VINCENT MASHINJI Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Mhe. Dkt. Vincent Mashinji amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA imeendelea kuunga mkono jitihada za Baba wa...
  5. Funa the Wild

    JamiiForums Tanzania Mikumi National Park Tour

    MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS (2 DAYS | 1 NIGHT) *TAREHE 16-17th December 2023 GHARAMA, 155,000/= SAFARI ITAANZIA DAR ITAHUSISHA -Malazi -Usafiri kwenda na kurudi -Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner) -Kiingilio -Muongoza watalii -Tozo za Serikali SHUGHULI - Kupanda mlima...
  6. econonist

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Royal Tour haikuleta faida

    Akiongea Leo wakati akipokea Ripoti kuhusu utendaji wa Wizara ya mambo ya nje kwenye Ikulu ya Dar, Rais Samiah amedai kwamba suala la branding sio suluhisho, kwani tumefanya branding nyingi na kutumia makampuni ya ulaya lakini hakuna faida iliyopatikana na zaidi imeleta hasara kwa serikali. Kwa...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Staa wa "Movie" Kutoka India, Sanjay Dutt atua nchini Kufanya Royal Tour kuitangaza Tanzania

    Msanii maarufu duniani kwenye eneo la filamu kutoka nchini ambaye ana zaidi ya wafuasi milioni mia mbili katika mitandao yake, Sanjay Dutt leo Septemba 18, 2023 ametua kuanza Royal Tour hapa nchini. Mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere na kupokewa na...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali: Filamu ya Royal Tour imetazamwa na watu zaidi ya bilioni moja duniani

    Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbas amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa filamu ya Royal Tour ambayo mpaka sasa imetazamwa na watu Bilioni 1 duniani. Chanzo: Clouds Media
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ya Rais Samia yaipaisha AICC

    Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Ephraimu Mafuru amesema Tanzania imepanda hadi kuwa nchi ya tano kutoka nchi ya 11 barani Afrika kwa utali wa mikutano hatua iliyochangiwa na uzinduzi wa filamu ya The Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nipo naangalia royal tour

    Nipo home naangalia royal tour
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tujadiliane: Mwaka Mmoja Filamu ya Royal Tour Imetuletea nini?

    Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka mmoja baada ya kuzinduliwa kwa filamu hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Hassan...
  13. Magari ya kukodisha

    JamiiForums Tanzania Njoo kwetu ukodishe magari ya harusi msiba, study tour, sherehe na bata mbalimbali

    Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana Dar es salaam Dodoma Mwanza Arusha Kilimanjaro Mbeya Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Royal Tour yahamia Chato

    Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawataki camera wala media coverage. Siku ya leo Chato imejaa wageni na haitopita mida kutskuwa na ongezeko la watalii wa ndani na nje kufika Chato kimyakimya na...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mabasi DRC kuonesha Filamu ya The Royal Tour kwa Lugha ya Kifaransa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake. Waziri wa...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania

    Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya meli nyingine ya kifahari kutia nanga leo fukwe za Kilwa ikiwa na abiria 125 kutokea nchini Ufaransa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katika maboresho ya utalii: Wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo katika maboresho ya utalii: wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi Cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  19. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Namna 'Royal Tour' ilivyoikoa sekta ya utalii kutoka ICU

    Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ni sumaku ya kisiasa Mkakati wa Kenya una changamoto chanya kwa Tanzania

    Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu. Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
Back
Top Bottom