tour

  1. S

    JamiiForums Tanzania Royal Tour inaweza kugeuka kashifa kwa Rais Samia itayotumiwa na wapinzani kwenye kampeni za 2025 panapo Tume Huru ya Uchunguzi

    Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

    Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu. Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

    THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

    Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

    Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

    Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
  7. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Kilimanjaro kwa ajili ya kurekodi kipindi maalumu cha Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
  8. Chee4

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anakuza utalii wetu kupitia 'The Royal Tour’

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
  9. NairobiWalker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa Street Food Tour

  10. F

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Safari – Tour Operator General Manager

    First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Muziki na Siasa ya Wasafi Tour 2020. Eti Wamesahau

    Ninapokumbuka muziki na siasa namkumbuka msanii aliyevuma sana nchini , wakati huo hapakuwa na Diamond wala nani , huyu ni MARLAW alikuwa na kipaji sana na kuelekea kampeni za urais 2010 nyimbo zake zilikuwa HITS kwenye radio top ten zote Mwaka 2010 alipata deal la kampeni akazunguka nchi nzima...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Tour Guide wa Lissu hapa Dar

    Ratiba yangu ya siku mbili ingekuwa hivi: 1. Soko la Samaki Feri Chukua mwendokasi, tena anzia Mbezi, njoo nalo mpaka soko la samaki Feri, muda wa asubuhi ni mzuri zaidi maana utakutana na wateja wenzako wengi sana hapo Feri, nunua Samaki mkubwa aina ya Jodari. Zunguuka zunguuka humo sokoni...
  13. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta France Tour Highlights

    On september 29, His excellency president Uhuru Kenyatta left for france on arriving he was received by his counterpart emmanuel macron at the elysee palace. During their talks it was noted by both presidents that Kenya forms an important partner to France and the european union, the french...
  14. Geza Ulole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania On the eve of covid19 travel restrictions, 2 tour companies in Germany filed an injuction to lift unfounded travel warnings against Tanzania

    German Travel Warnings for Tanzania, Seychelles, Mauritius, and Namibia challenged Juergen T Steinmetz July 11, 2020 06:45 In Germany, two tour operators specialists in travel to Africa have filed a legal action at the Berlin Administrative Court for a temporary injunction to have the German...
  15. Zum

    JamiiForums Tanzania Kati ya Diploma ya IT/Computer aScience Na Tourism Tour Guider/ Travel & Tour Operator

    Habari. Naomba Msaada na ufafanuzi Wa Kuchukua Diploma Kati ya hizi Kozi tajwa apo juu.Kwa miaka tunayoendana nayo uko mbeleni ìpi ina wigo mpana katika soko na Ipi itakuwa na manufaa zaidi. Asanteni.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Turkish airlines watakuwa sponsor wa European tour ya Diamond Platnumz

    Msanii wa kimataifa kutoka nchini Tanzania Diamond platnumz amepata dili kutoka shirika kubwa la ndege la Turkish airlines kuwa Kama main sponsor wa show yake ya European tour atayoifanya hivi karibuni.Kabla ya hapo diamond aliwahi kupata dili la Emirates airlines Mwaka 2018 pamoja na kutangaza...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Akon to begin Africa tour in 2020

    The global music icon said he will start the tour in Ghana. In an interview with Joy News, he explained that the aim of the tour is to project Africa and highlight the business opportunities in Africa to the rest of the world. “We are putting together a tour all over Africa starting with...
Back
Top Bottom