World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Kulingana na bajeti ilivyopangwa, ni kwamba kila kishkwambi kilipaswa kiambatane na powerbank yake. Lakini makarani wengi waliopo mitaani hasa maeneo ya mijini hawana hizo powerbank.
Kila wakifika kwenye kaya inabidi waombe kufanya kazi yao wakiwa wamechomeka vishkwambi kwenye umeme.
Kumbuka...
Propaganda ni kitu kinachotajwa sana kwenye ulingo wa siasa na vita hasa pale panakuwa na pande mbili zinazochuana kupata ushawishi wa jambo flani.
Hali kadhalika wakati wa vita ''propaganda" huchukua mkondo wake kama njia ya kuongeza au kupunguza hamasa ya mapigano kwenye uwanja wa medani...
Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida?
Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na:
1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo)
2: matumizi ya vishikwambi
3: mabadiliko ya siku, (sensa...
Takribani mitandao yote ya kijamii ina sheria zinazofanana kwa watumiaji wake ikiwemo kutokuunga mkono kabisa maswala ya uhalifu, kuvunja haki za binadamu, nakadhalika.
Lakini mtandao wa Twitter ndio mtandao pekee unaounga mkono maudhui ya Pornography.
Mitandao mingine ya kijamii unapochapisha...
PATA ELIMU KIDOGO KUHUSU NMB & CRDB MAKATO
Maswali ya msingi kabla sijakuelezea makato
a) Kipi Bora kutoa hela kupitia kwa Wakala, ATM au Ndani ya benk (Over the counter)?
a) Kipi Bora kuangalia salio kupitia kwa Wakala, NMB mobile/CRDB Simbanking, ATM au Ndan ya benk (Over the counter) au...
Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers!
Matokeo ni haya hapa:
Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3)
Final results from IEBC
Candidates
Vote
William Ruto
50%
50.5%
7,176,141
Raila Odinga
48.8%
6,942,930
Other Candidates
0.6%
93,956...
Wanabodi
Shuhudia sensa live kupitia TBC, nimeshuhudia live, citizen No. 1, Rais wa JMT, Rais Samia Suluhu Hassan akihesabiwa toka katika makazi yake rasmi ya kiserikali Ikulu ya Chamwino Dodoma!.
Saa hizi ameisha maliza kuhesabiwa.
Wana JF, let's share different experiences za sensa na...
VYOMBO VYA HABARI NA SHERIA NCHINI TANZANIA
Tasnia ya habari kwa hapa nchini Tanzania inakuwa kwa kiwango kikubwa sana. Tofauti na zamani, vyanzo vya habari vikuu vilikuwa ni Televisheni, Redio na Magazeti. Ila kutokana na ukuaji wa teknolojia na utandawazi kwasasa kuna vyanzo vya habari vya...
Rais mstaafu JK naona anasifia tume huru ya Kenya, wagombea binafsi na uwazi wa uchaguzi na anasema Africa ijifunze Kenya.
Binafsi maswali ni mengi kuliko majibu, alipokuwa Rais alifanya nini kuhakikisha hayo yanatokea? Si, ni yeye aliyeusambaratisha rasimu ya Warioba kwa hotuba yake pale...
Habari ,Hivi wana Jf hizi tofauti zina Maana gani katika sekta ya Afya ? hizi tofauti kimtazamo ni kama ndogo lakini madhara yake yanaweza kuwa makubwa :-
1.Unakwenda hospitali A unambiwa kwenye figo kuna Maji unakwenda hospitali B siku hiyo hiyo unambiwa hauna shida yoyote au unaenda...
Mmoja ni kiprofeshino na mwingine wa chuplichupli....
Mfano wa hundi ya malipo ya sportpesa kwa Yanga
Mfano wa hundi ya malipo ya m-bet kwa simba
Nadhani hapo mmejionea nani ana mkataba wa ukweli na nani katupiga changa la macho🥳🥳🥳🥳
Ni swali ambalo linaweza kuwa na majibu ya ndio na sio kutokana na hali halisi.
Alipoingia tu madarakani 'kwa kudra' kama alivyojinasibu, alifanya mabbadiliko mengi kwa haraka na pengine kwa kutaka kuridhisha kundi dogo la watu wenye maisha bora maarufu kama wawekezaji.
Huku watanzania wa hali...
Niko hapa nasikiliza nyimbo mbalimbali za kidunia na kidini!
Aisee nyimbo kama za Twenty percent ukisikiliza una feel kabisa ubunifu waziwazi, pia nyimbo kama za prof. J, Wagosi wa kaya, Mwinjuma muumini na wasanij wengine wengi unaona kabisa kuna kitu kilifanyika! (Wasanii na maproducer)...
Mfano, mlio wa Nissan Safari ni tofauti na WA Toyota Land Cruiser, Mlio wa Toyota Land Cruiser ni tofauti na WA Toyota Hilux na Mlio wa Hilux ni tofauti na wa VW double cabin.
Je ni kitu Gani kinachopelekea tofauti hizi?
Hapa Abraar Education Centre tunatoa mafunzo yafuatayo kwa vitendo...
1) Mafunzo ya kuunda vifaa vya ujenzi (masonry).
2) Mafunzo ya ujenzi (masonry).
3) Mafunzo ya lugha ya Kingereza (Engloish language).
4) Mafunzo ya ya Lugha ya Kiarabu (Arabic language).
Na hivi karibuni mafunzo ya...
Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga.
Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
Huu mkoa hauna tofauti na mikoa mingine maarufu kwa mambo ya kishirikina. Tofauti na watu wanavyodhani, ukienda Bukoba vijijini kuna vilinge vya Mshana JR.
Matambiko, mila potofu, taboo, mizimu(enchweke)ndio kwao. Ukienda Karagwe, Kyerya usiseme, Ngara nao wako vizuri kwa ndumba mpaka walikuwa...
Naomba huu uzi utumike kuelezea maneno ya aina moja yenye maana moja kwa makabila tofauti tofauti mfano neno kuigota linapatikana katika makabila ya wakurya na wasukuma na lina maana moja ya kushiba
Neno kuhangua lipo katika makabila mawili ya wa
sukuma na wakurya na lina maana moja ya kuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.