tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Tofauti ya ufundishwaji wa masomo ya sayansi kwa Afrika na China

  2. Mistari katikati ya barabara inatumikaje kisheria?

    Tuanze na hii picha namba moja. Mstari mmoja mweupe solid katikati ya barabara maana yake hauruhusiwi ku-overtake. Si ndio hivo wakuu ama? Je, mistari ikiwa double. Kama picha namba mbili hapa chini? Tofauti na namba moja iko vipi? Tuendelee... Kuna sehemu mstari mmoja solid, mwingine...
  3. Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

    Hili suala tulijadili kwa Logic! Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia. Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu...
  4. Fikiria kesho unaamka jinsia tofauti na uliozaliwa nayo

    Yaani mwanaume umekuwa mwanamke na kinyume chake, utafanya nini? Mimi cha kwanza naenda kukojoa, halafu natafuta mbususu nione inafeel vipi. Hamna period wala kuzaa yayyy! Wewe je?
  5. Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  6. Ni nini tofauti kati ya Processor Type na Processor Model kwenye laptop

    Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama Processor type: Intel core 2Duo Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
  7. R

    Hii video inaonesha tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya hayati Magufuli na Tundu Lissu juu ya Uzalendo kwa Taifa. JPM tunamu-underrate sana

    Nawasilisha source:IBM channel youtube
  8. Naombeni kujuzwa retail prices za mabati kwa guages na size tofauti

    Wakuu kwema, Najua kuna watu wako kwenye hii industry ya hardwares hasa mabati. Nahitaji kujua bei yake ya madukani. Mfano mabati ya msauzi yale bei zake kwa gauges tofauti na size tofauti mnifahamishe tafadhali.
  9. Kama wazazi wetu ni Adam na Hawa, kwanini kuna races tofauti duniani?

    Waafrica, wachina wahindi, wakorea, warusi, wazungu na waarabu. Ukiwaangalia wawa wote unaweza kuwatambua kwa race zao kutokana na kutofautiana kwao. Ni kwa nini ipo hivi kama origin yetu ni moja (adam na hawa)? Ni kwa nini hapa africa kwa mfano, kusingekuwa na mchanganyiko wa races kwa asili...
  10. Uwekezaji wa UTT liquid Fund faida yake mbona ni tofauti na uhalisia wanaousema

    Habari wadau poleni na majukumu ya taifa lisiloeleweka kama sio lenye jana janja nyingi na yote ni kutokana na watanzania wengi kutokujali. Tuachane na hayo niliwai kusoma uzi mmoja huku jamii forums nikavutiwa nao nikajitaidi kufuatilia na kuuelewa zaidi basi nikaamua kuwekeza UTT amis mfuko...
  11. Ijue tofauti kati ya TKO na KO, Ibrahim ameshinda kwa TKO na siyo KO

    Nimeshangaa mpaka vyombo vikubwa kama Azam kutangaza kuwa Ibra ameshinda kwa KO! Kwenye boxing pale Ibra kashinda kwa TKO! Kwenye mchezo wa ngumi kuna matokeo manne; 1. Kushinda kwa point 2. Sare 3. KO 4. TKO Kushinda kwa point hapa ni kura za majaji watatu ambao mmoja wa wapiganaji...
  12. M

    Abiria wa mabasi ya kwenda Kigoma wako tofauti na mikoa migine

    Nimebahatika kutembea mikoa mingi Tanzania hii. Nikiri tu kwamba Kigoma abiria wake wako vizuri. Mabasi yao ni masafi, abiria wastaarabu, wasafi, wanawaka, wanang'ara utadhani uko kwa malkia Elizabeth abiria wananukia vizuri, mabasi full luxury first class choo ndani. Utatamani usifike Hawali...
  13. Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  14. Tofauti ya Compressor ya AC ya gari ya pump na ya umeme

    Nimeona hili swali sehemu. Kuwa gari nyingi za kisasa zinakuja na compressor za umeme. Lakini inapoharibika ukienda uliza wanakutajia bei tofauti kati ya comp ya umeme na ya pump. Hata bei zipo tofauti. Nlitaka kujua katika utendaji ipi ni bora na kwanini? Katika uimara ipi ni bora na kwanini...
  15. Utafiti tofauti ya kinga wanaoishi mijini na vijiji kufanyika

    Utofauti wa kinga ya mwili kati ya wanaoishi mjini na vijijini umewaibua wataalamu wa afya kuendesha utafiti ili kubaini chanzo cha tofauti hizo na kupima ufanisi wa chanjo katika maeneo hayo. Wataalamu hao ni kutoka Taasisi ya Utafiti (KCRI), hospitali ya Kanda ya Kaskazini (KCMC) pamoja na...
  16. Tofauti kati ya mhuni na mhalifu

    Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mhuni na mhalifu na kuleta mkanganyiko pale wanapotaka kufahamu tofauti ya watu hawa wawili. Mhuni ni mtu yeyote aliyeamua kwenda kinyume na maadaili mema au utamaduni huku mhalifu ni mtu yeyote aliyevunja sheria. Mhuni anakosa maadili mema na...
  17. Kuna tofauti gani kati ya 4WD na AWD?

    Habari wakuu, kwa mwenye uelewa. 4WD ni nini? na AWD ni nini Ni ipi tofauti kati ya 4WD na AWD?
  18. K

    Ommy Dimpoz naunga mkono msimamo wako, ila tupo wazazi tunaohukumiwa tofauti na makosa yetu

    Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae. Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu. Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa. Jirani a...
  19. T

    Afisa wa tume: Tume yetu ya uchaguzi haina tofauti na ya Kenya

    Akiongea na kituo kimoja cha redio hapa nchini, mkurugenzi msaidizi wa elimu ya mpiga kura kuhusu tathimini yake ya uchaguzi uliomalizika hivi karibuni nchini Kenya, amesema hakuna tofauti kubwa ya namna tume ya uchaguzi ya Kenya inavyotekeleza hilo jukumu na tume yetu. Inaonekana huyu afisa...
  20. What's the Tofauti between POLISI na TAKUKURU?

    What's the Tofauti between POLISI na TAKUKURU? Maana Kila kitu anafanya TAKUKURU, mtu mpaka kagombana na mkewe TAKUKURU! Naombeni majibu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…