Ijue tofauti kati ya TKO na KO, Ibrahim ameshinda kwa TKO na siyo KO

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,325
3,319
Nimeshangaa mpaka vyombo vikubwa kama Azam kutangaza kuwa Ibra ameshinda kwa KO! Kwenye boxing pale Ibra kashinda kwa TKO!

Kwenye mchezo wa ngumi kuna matokeo manne;
1. Kushinda kwa point
2. Sare
3. KO
4. TKO

Kushinda kwa point hapa ni kura za majaji watatu ambao mmoja wa wapiganaji atachaguliwa mshindi kwa kura za majaji. Mfano 56-50, 57-54, 57-57, hapo mchezaji wa nyumbani atakuwa amepata kura nyingi (idadi ya ngumi zilizofika kwa usahihi) na matokeo ya sare ni hizo kura zikafunganga kwa namna yoyote.

KO (knock out), hapa ni pale mtu anapigwa Ngumi anaanguka chini na refarii anamhesabia sekunde 1-10 ,akishindwa kusimama basi Hiyo ni KO!

TKO
Ni pale mtu anapigwa Ngumi na kupoteza fahamu, au kushambuliwa mfulululizo Ngumi zaidi ya Tatu na kuonekana hawezi kujitetea hapo refa anaingilia kati na kusitisha pambano Yaani mpinzani hawezi kuendelea Tena na pambano Kwa Sababu ya kiufundi!

Soma hapa kutoka Kwenye mtandao wa thedifferencebetween.net..


are four ways to win a boxing match:

If an opponent breaks a rule and is disqualified, the other boxer wins the match.

If after an agreed number of rounds there is no stoppage of the fight, the winner is determined by the referee’s decision or by the judges’ scorecards.
If the opponent is knocked out (KO) and is unable to get up before the referee counts ten seconds, the other boxer wins by a knockout (KO).

If the opponent is injured during the fight and is unable to go on, it is considered a technical knockout (TKO) and the other boxer wins.
Sasa ipi yenye Nguvu?

Ni wazi kuwa TKO ni Kali zaidi kuliko KO!
 

CK Allan

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
2,325
3,319
Unataka kuniambia kusema nini? TKO hata bondia akiumia na kushindwa kuendelea ni TKO mfano mwakinyo ile ni TKO sasa ina ukali gani?
Ndio hivyo Sasa..
Kama mchezaji atashindwa kuendelea na pambano..
Hata akiamua kupiga magoti na kunyoosha mikono kama mwakinyo hiyo ni TKO
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom