Ni nini tofauti kati ya Processor Type na Processor Model kwenye laptop

Ndove

Member
Sep 23, 2020
15
14
Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama
Processor type: Intel core 2Duo
Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea
Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
 
Gen = Generation

Kwa hiyo Ina weza ikawa 7 , Ila ni generation tofauti

Na core 3 haina generation

Labda , Nimejaribu
 
Kwa mfano unaweza kuta pc iko na specs kama
Processor type: Intel core 2Duo
Processor Model: intel 6th gen core i7 au i5 nakuendelea
Sasa nataka kujua tofauti yake ni nini?
Kwa uelewa wangu hivyo vitu haviwezi kutokea pamoja, machine ikawa na core 2 duo na i series. Vyema ukiweka screenshot tuiangalie vizuri
 
Kwa uelewa wangu hivyo vitu haviwezi kutokea pamoja, machine ikawa na core 2 duo na i series. Vyema ukiweka screenshot tuiangalie vizuri
Hiyo hapo picture
 
Attachments

  • Editor_2_20221015133624.jpg
    Editor_2_20221015133624.jpg
    32.5 KB · Views: 18
Back
Top Bottom