World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.
Masaa 72 ya Ulaya na masaa 72 ya Tanzania ni tofauti kabisa. Think globally Act locally.
Masaa 72 ya kucheza baina ya mechi yamezingatia vitu mbalimbali ambavyo Tanzania havipo. Baadhi ya vitu hivyo ni pamoja na:
1. Ubora wa viwanja vyao: Wachezaji hawaumii sana mara kwa mara kwasababu za...
Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana
Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata.
Tanzania, Tanzania!
Nakupenda kwa moyo wote
Nchi yangu...
kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee.
Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
“Nilikuwa nafuga, lakini kuna vitu vya ziada nimejifunza — hasa tofauti kati ya kufuga nguruwe kwa ajili ya nyama 🥩 na kufuga kwa ajili ya uzalishaji 🐖📈.
Hilo limenifurahisha sana na nitaenda kulifanyia kazi mara moja.
Nilikuwa nafuga bila malengo mahsusi, lakini sasa nimepata mwanga 💡. Nina...
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake.
Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
Habari wakuu, moja kwa moja kwenye mada. Kwanza naomba mtambue sitaki kuleta mtafaluku kwenye dini zenu, nataka kujua kama hili gape la tofauti kati ya uhalisia na maandiko yenu hamlioni??
Natamani niweke vifungu vya maandiko lakini uzi utakua mrefu sana na utaboa. Naomba leo tutumie kigezo cha...
Na Morning Joy Motors
+255797113153
Kaloleni, Arusha
Tanzania
Kama umewahi kusikia sehemu katika pita pita zako watu wakisema kwamba gari zenye engine ya diesel ni bora zaidi kuliko zenye petrol , lakini pengine ikakuwia vigumu kuwaelewa kwa namna moja ama nyingine
Basi Leo sisi Morning Joy...
Wakuu,
Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
Wakuu Mimi ni mkali wa correct scores kwenye mikeka hata ofsini kwangu wananiita Messi wa mikeka
Toka huu mwezi uanze Kuna intuition imekaa ndani yangu ikiniambia kuwa
Arsenal atabeba ubingwa wa EPL 2025/2026 kwa tofauti ya Point moja tu
niliwahi kumtabiria Leicester city January na...
Tofauti ya Lissu na Samia ni kwamba mmoja wao ni fake!. Magufuli alipata wafuasi wengi kwasababu hakuwa fake pamoja na mapungufu yake. Lissu naye hajawahi kuwa fake.
Mama Samia ndiyo maana halisi ya mtu fake. Mama Samia watanzania wanajua anasema chaguzi zilikuwepo lakini hazikuwepo, ushindi...
Jaji hajui tofauti ya session na seatings halafu useme tuna Jaji hapa! Isije kuwa nimenukuu vibaya, maana siamini! Jaji ni mtu mkubwa sana kisheria, anajua sana sheria kuzisoma, kuzitafsiri, kuzifundisha...and lastly kuzitumia....having higher mental faculty of reasoning!
Kutoka.mtandaoni...
Kama alitaka kupotosha mahakama Nia yake nini Kwa mshitakiwa
Inakuwaje NENO dogo kama Hilo Jaji anakosa uaminifu je vipi kuhusu hukumu ya kesi yenyewe
Inakuwaje mifumo mikubwa inayoiminika kuwa katika hali hii kwenye kesi kubwa namna hii
Jaji ameleta kifungu namna Lissu alivyolitafsiri...
Jamaa mmoja alikuwa akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari, castle na kilimanjaro kisha anatafata meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka.
Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabidi amuulize...
Urais wa Samia kwa sasa hauna maana yoyote ile wala faida yoyote zaidi ya utumwa tofauti na alivyo anza ndio ulikuwa urais asione aibu kujiuzuru.
Asione haibu kusema nimechoka watanzania walinikataa nimelazimisha lakini nimechoka hata miezi minne haijaisha lazima aseme nimeacha mauwaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.