tma

In Arthur C. Clarke's Space Odyssey, Monoliths are machines built by an unseen extraterrestrial species.
In the series of novels (and the films based on these), three Monoliths are discovered in the Solar System by humans. The response of the characters to their discovery drives the plot of the series. It also influences the fictional history of the series, particularly by encouraging humankind to progress with technological development and space travel.
The first Monolith appears at the beginning of the story, set in prehistoric times. It is discovered by a group of hominids and somehow triggers a considerable shift in evolution, starting with the ability to use tools and weaponry. It is later revealed that thousands of other monoliths exist elsewhere in the Solar System.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Ukanda wa Pwani na ukame uliokithiri, TMA ukame huu unasababishwa na nini?

    Mfano Tanga hapakuwa na mvua kabisa. Hapakuwa na masika. Jua ni kali sana, Tatizo linasababishwa na nini? TMA tunaomba maelezo ya kitaalamu
  2. Kwani TMA wamasemaji na hii Mvua ya ghafla Jijini Dar es Salaam ambayo pia imekuja na baridi la kuliogopa na kulikimbia Bafu?

    Mamlaka ya Hali ya Hewa ( TMA ) walikuwa very active kutupa updates za Kimbunga Jobo, ila nashangaa kuhusu hii Mvua kubwa na ya ghafla iliyoleta Baridi Jijini Dar es Salaam hawajatuambia na moaka sasa wameendelea Kuuchuna ( Kunyamaza ) tu. Kwa Ubaridi huu ( Baridi hili ) la Sasa hapa Dar es...
  3. TMA siku zingine kama hamna uhakika na Hali ya Hewa bora mnyamaze tu kwani mmenichania Mkeka wangu

    Nilibeti sehemu kutokana na Tabiri zenu juu ya Kimbunga Jobo kuwa Mkoa wote wa Dar es Salaam utazama Bahari ya Hindi na Watu wengi tutakufa cha Kushangaza Mimi nipo Hai hadi sasa hivi, Mkoa wa Dar es Salaam mkavu, Watu wanaenda Kuogelea Baharini na Anga la Dar es Salaam liko shwari tu. TMA...
  4. Nimeanza kupata wasiwasi na TMA tangu waanze na tamthilia ya JOBO

    Hanari wadau..! Binafsi nimeanza kupata wasiwasi na TMA juu ya ufanisi wao tangu tamthilia ya kimbunga JOBO ianze.😂😂😂😂😂
  5. Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  6. Kimbunga cha JOBO chazidi kuikaribia Lindi

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “Jobo” kilichopo bahari ya Hindi kaskazini mwa kisiwa cha Madagascar. Kimbunga Jobo kimeendelea kuimarika na kusogea kuelekea maeneo ya nchi yetu ambapo leo usiku wa kuamkia tarehe 23/4/2021 kimbunga hiki...
  7. Lindi na Mtwara zatahadharishwa kimbunga cha Jobo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania(TMA) imetahadharisha mikoa ya mwambao wa Bahari ya Hindi hasa mikoa ya Lindi na Mtwara kuhusu kimbunga cha Jobo ambacho kipo kaskazini mwa Madagascar Kimbunga kitasababisha ongezeko la upepo na mawimbi katika bahari ya Hindi. TMA wanaendelea kufuatilia kuangalia...
  8. R

    TMA vs BBC/CNN weather forecast: Mama Kijazi mnakosea wapi?

    Kwa wiki kama mbili nyuma sasa, TMA walitoa utabiri kuwa kutakuwa na mvua kubwa mikoa ya ukanda wa pwani ya Tanzania. Haikutokea mpaka leo hii hakuna mvua. Jana nikaangalia BBC/CNN weather wakasema coast of Tanzania with a mentin of DSM kutakuwa na mvua. Kweli sasa hivi niadikapo mvua kubwa...
  9. Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) yaonya ongezeko la joto

    Dar es Salaam. Wataalamu wa afya wameshauri wakazi wanaoishi katika mikoa 15 inayotarajiwa kuwa na kiwango cha juu cha joto kuzingatia ulaji, unywaji, uvaaji na mtindo wa maisha unaofaa ili kupunguza kero itakayowakabili. Jana, Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) ilisema mikoa hiyo inatarajiwa...
  10. TMA yatoa tahadhari ya mvua kubwa kunyesha leo

    Taarifa ya TMA iliyotolewa jana na Utabiri wa siku tano inasema mvua ya leo inaweza kusababisha athari mbalimbali pamoja na baadhi ya makazi kuzungukwa na maji na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kiuchumi huku ikisisitiza wananchi kuzingatia agizo hilo pamoja na kujiandaa.
  11. J

    TMA: Mvua zinazonyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hewa, kesho zitapungua sana!

    Mamlaka ya hali ya hewa nchini imesema mvua zinazoendelea kunyesha zimesababishwa na mgandamizo mdogo wa hali ya hewa katika bahari ya hindi. Mvua hizi zinatarajiwa kupungua sana siku ya kesho. Chanzo: Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  12. Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

    Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu? Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC) -- Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro Pia soma: Tetemeko la ardhi 14:57Hrs lapita mkoani Tabora Tetemeko dogo...
  13. TMA yatoa tahadhari ya upepo mkali unaoweza kuharibu mazao ya chakula

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imewataka wananchi wa mikoa ya Njombe, Songwe, Mbeya na Ruvuma, kuchukua tahadhari kufuatia kuwepo kwa upepo mkali ambao unaweza kusababisha mazao yao ya chakula kuathirika.
  14. TMA: Yatoa matarajio ya hali ya hewa kipindi cha kipupwe

    MWELEKEO WA HALI YA HEWA KWA TANZANIA KIPINDI CHA JUNI – AGOSTI (JJA), 2020 Dondoo muhimu za hali ya hewa kipindi cha Julai-Agosti (JJA), 2020 Taarifa hii inatoa uchambuzi wa mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa pamoja na hali ya hewa inayotarajiwa katika msimu wa Kipupwe kwa miezi ya Julai hadi...
  15. TMA yatahadharisha hali mbaya ya hewa baharini kwa siku 5 zijazo

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa matarajio ya Hali Mbaya ya Hewa kwa siku tano zijazo na Athari zinazoweza kutokea. Hali mbaya baharini inaweza kuathiri shughuli za uvuvi. Imetabiri kuwa na upepo mkali na mawimbi makubwa katika baadhi ya maeneo ya ukanda wa pwani ya bahari ya...
  16. TMA yawatahadharisha Wananchi wa Ukanda wa Pwani kuhusu mvua kubwa kwa siku 4

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha kwa mvua kubwa ndani ya siku nne kuanzia leo Aprili 17, 2020 hadi Aprili 20, 2020 katika maeneo ya Ukanda wa Pwani. Katika taarifa yake, Mamlaka hiyo imetoa angalizo kuwa kwa siku za Aprili 17 na 20, mvua kubwa itanyesha katika...
  17. TMA yatabiri mvua kubwa mikoa 12 ikiwamo Dar es Salaam

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza hali mbaya ya hewa kwa siku tano kuanzia leo Jumatano Februari 12, 2020. Taarifa ya TMA imeitaja mikoa inayotarajia kunyesha mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ni mikoa ya Lindi, Mtwara, Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam...
  18. TMA waeleza uwezekano mdogo nzige kuingia Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa utabiri wa mwenendo wa hali ya hewa kwa Mikoa ya Kaskazini inayopakana na nchi ya Kenya, ikieleza kuwa kiwango hafifu cha upepo hakiwezi kuhamisha nzige kutoka nchi hiyo kuingia Tanzania. Hayo yameelezwa leo Jumanne Februari 11, 2020 na meneja wa...
  19. Mvua zaendelea kuleta maafa katika maeneo mbalimbali Nchini, TMA watoa tahadhari kuwa mvua hizi zitaendelea maeneo tofauti

    MVUA zinazoendelea kunyesha katika mikoa mbalimbali zimesababisha maafa makubwa ikiwemo watu watatu kupoteza maisha na watu zaidi ya 661 katika vijiji zaidi ya sita wakikosa makazi ya kuishi katika mikoa ya Lindi na Iringa. Pamoja na hayo, miundombinu ikiwemo madaraja na mashamba ikiharibiwa...
  20. TMA yatabiri mvua kubwa mikoa minne Tanzania

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania ( TMA) imetoa tahadhali ya mvua kubwa itakayonyesha katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma na kusini mwa Morogoro leo Jumatano Januari 22, 2020. Pia, TMA imetoa tahadhali ya upepo mkali na mawimbi makubwa katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Pwani, Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…